Maudhui Katika Nyimbo za Tohara Zilizodenguliwa na Nyimbo za Dini za Kiigembe katika Kuafikia Maendeleo Endelevu kwa Waigembe

Eliud Miriti Josphat, N. Gitonga, Dorcas M. Musyimi
{"title":"Maudhui Katika Nyimbo za Tohara Zilizodenguliwa na Nyimbo za Dini za Kiigembe katika Kuafikia Maendeleo Endelevu kwa Waigembe","authors":"Eliud Miriti Josphat, N. Gitonga, Dorcas M. Musyimi","doi":"10.37284/jammk.5.1.813","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Waigembe wana utamaduni ambao unafungamana na nyimbo ambazo zinaimbwa katika hafla tofauti tofauti. Nyimbo za tohara pamoja na nyimbo za kidini za Kikristo ni baadhi ya zile zinaimbwa. Nyimbo za tohara zinaimbwa wakati wa kutahiri wavulana na za kidini wakati wa shughuli za kidini ya Kikristo. Hata hivyo, hatua ya waimbaji wa nyimbo za dini ya Kikristo kubadilisha nyimbo za tohara kimaudhui, kimtindo na kiutendakazi ili kuzitumia upya katika mazingira ya kidini ili kusaidia katika maenezi ya injili ya Kikristo kwa wengi na kutumika katika hafla zingine za kijamii kando na tohara ni jambo ambalo ni mpya katika jamii ya Waigembe. Hiki ndicho kiliwachochea watafiti kutafiti udenguzi wa nyimbo za tohara za Waigembe na nyimbo za dini ya Kikristo ili kuweza kutumika katika hafla tofauti kando na tohara.   Makala haya yalilenga kubainisha maudhui ambayo nyimbo za tohara zilizodenguliwa na nyimbo za dini ya Kikristo huwa nayo katika jamii ya Waigembe. Watafiti waliongozwa na nadharia ya udenguzi. Data ya nyimbo kumi na nane imetumika katika makala haya. Awamu tatu ambazo nyimbo hizo hufuata zilichanganuliwa na kuwasilisha maudhui kwa njia ya maelezo. Makala haya yanachangia katika kuongeza maarifa ya kiutafiti kuhusu nyimbo zilizodenguliwa za tohara za Kiigembe, pamoja na kuhifadhi fasihi simulizi ya Kiafrika ili itumike na vizazi vijavyo katika kuafikia maendeleo endelevu.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"26 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-08-25","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.813","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Waigembe wana utamaduni ambao unafungamana na nyimbo ambazo zinaimbwa katika hafla tofauti tofauti. Nyimbo za tohara pamoja na nyimbo za kidini za Kikristo ni baadhi ya zile zinaimbwa. Nyimbo za tohara zinaimbwa wakati wa kutahiri wavulana na za kidini wakati wa shughuli za kidini ya Kikristo. Hata hivyo, hatua ya waimbaji wa nyimbo za dini ya Kikristo kubadilisha nyimbo za tohara kimaudhui, kimtindo na kiutendakazi ili kuzitumia upya katika mazingira ya kidini ili kusaidia katika maenezi ya injili ya Kikristo kwa wengi na kutumika katika hafla zingine za kijamii kando na tohara ni jambo ambalo ni mpya katika jamii ya Waigembe. Hiki ndicho kiliwachochea watafiti kutafiti udenguzi wa nyimbo za tohara za Waigembe na nyimbo za dini ya Kikristo ili kuweza kutumika katika hafla tofauti kando na tohara.   Makala haya yalilenga kubainisha maudhui ambayo nyimbo za tohara zilizodenguliwa na nyimbo za dini ya Kikristo huwa nayo katika jamii ya Waigembe. Watafiti waliongozwa na nadharia ya udenguzi. Data ya nyimbo kumi na nane imetumika katika makala haya. Awamu tatu ambazo nyimbo hizo hufuata zilichanganuliwa na kuwasilisha maudhui kwa njia ya maelezo. Makala haya yanachangia katika kuongeza maarifa ya kiutafiti kuhusu nyimbo zilizodenguliwa za tohara za Kiigembe, pamoja na kuhifadhi fasihi simulizi ya Kiafrika ili itumike na vizazi vijavyo katika kuafikia maendeleo endelevu.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya Dhana ya Kifo katika Mashairi Pepe ya Kumwomboleza Ken Walibora kwenye Kumbi za Kulikoni za Wataalam wa Kiswahili, Africa Mashariki Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1