Ishara Bwege Katika Diwani ya Kichomi

Chibayi Jason Poyi
{"title":"Ishara Bwege Katika Diwani ya Kichomi","authors":"Chibayi Jason Poyi","doi":"10.37284/jammk.4.1.446","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Wasomi na watafiti wanadai kwamba ishara ni sehemu muhimu ya mtindo. Wanakubaliana kwamba ishara ni kigezo muhimu katika kufasiri maisha bwege. Ishara huonyesha hali halisi ya maisha bwege ya binadamu. Kwa hivyo, makala haya yananuia kuhakiki ishara zilizotumika kuashiria ubwege wa maisha katika diwani ya Kichomi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Mtindo iliyoasisiwa na Leech ambayo itasaidia katika kuhakiki ishara zilizotumika kuibua ubwege wa maisha katika mashairi teule ya diwani ya Kichomi.  Ishara zilifafanuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo yaliyoegemezwa kwenye mihimili teule ya nadharia ya Mtindo. Uchanganuzi wa ishara uliongozwa na mbinu ya uhakiki matini. Katika diwani ya Kichomi, Kezilahabi anaangazia ubwege kwa njia ya kifalsafa na usanii wa hali ya juu kwa kutumia ishara maalumu. Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege. Makala haya yatawafaa waandishi wa fasihi hasa ushairi kwani yatawawezesha kuelewa mbinu mbalimbali za kuandika matini zenye mvuto wa kisanaa ili kuwasilishia jamii ujumbe kwa ubunifu mkubwa.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-10-26","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.4.1.446","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Wasomi na watafiti wanadai kwamba ishara ni sehemu muhimu ya mtindo. Wanakubaliana kwamba ishara ni kigezo muhimu katika kufasiri maisha bwege. Ishara huonyesha hali halisi ya maisha bwege ya binadamu. Kwa hivyo, makala haya yananuia kuhakiki ishara zilizotumika kuashiria ubwege wa maisha katika diwani ya Kichomi. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Mtindo iliyoasisiwa na Leech ambayo itasaidia katika kuhakiki ishara zilizotumika kuibua ubwege wa maisha katika mashairi teule ya diwani ya Kichomi.  Ishara zilifafanuliwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo yaliyoegemezwa kwenye mihimili teule ya nadharia ya Mtindo. Uchanganuzi wa ishara uliongozwa na mbinu ya uhakiki matini. Katika diwani ya Kichomi, Kezilahabi anaangazia ubwege kwa njia ya kifalsafa na usanii wa hali ya juu kwa kutumia ishara maalumu. Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege. Makala haya yatawafaa waandishi wa fasihi hasa ushairi kwani yatawawezesha kuelewa mbinu mbalimbali za kuandika matini zenye mvuto wa kisanaa ili kuwasilishia jamii ujumbe kwa ubunifu mkubwa.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
重要的是要知道自己在做什么以及如何做。当你掌管你的妈妈时,你就是那个掌管你妈妈的人。Ishara huonyesha haliisi ya maisha bwege ya binadamu.在未来的日子里,我们要做的就是让自己成为一个有责任感的人。在利奇大使的案例中,我们必须认识到 "在基乔米语中使用"(zilizotumika kuibua ubwege wa maisha)的重要性。 这就要求我们必须认识到,在基乔米州的 "沼泽地 "项目中,"沼泽地 "的重要性。我相信你们都知道这一点。在 Kichomi 案中,Kezilahabi 是决定离开家的人。Mtafiti alihakiki matumizi ya ishara kwa namna ambavyo yalitumika kuangazia ubwege.他还说,"我不知道他是谁,但我知道他是我的朋友"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya Dhana ya Kifo katika Mashairi Pepe ya Kumwomboleza Ken Walibora kwenye Kumbi za Kulikoni za Wataalam wa Kiswahili, Africa Mashariki Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1