Kioo cha Lugha Pub Date : 2023-03-24 DOI:10.4314/kcl.v20i2.3
Doroth F. Mosha, S. Omari
{"title":"Dhima ya Nyimbo za Kiswahili za Watoto katika Kujifunza Mazingira","authors":"Doroth F. Mosha, S. Omari","doi":"10.4314/kcl.v20i2.3","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Nyimbo ni fani kongwe na ya mwanzo kabisa ya fasihi simulizi kutumiwa na binadamu katika kupambana na mazingira yake. Kwa ujumla, nyimbo ni fani ya fasihi simulizi ambayo hutumika katika hatua na nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Mojawapo ya vipera vyake ni nyimbo za watoto. Nyimbo hizo, pamoja na mambo mengine, zina hazina kubwa ya mafunzo katika kuyaelewa mazingira ya jamii husika. Mazingira ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu (na mwenyewe akiwamo). Hujumuisha wanadamu, wanyama, mimea, bahari, mawingu, ardhi, majengo, milima na vitu visivyo na uhai. Lengo la makala hii ni kuchunguza mchango wa fasihi ya Kiswahili, hususani nyimbo za watoto, nchini Tanzania katika taaluma ya mazingira. Makala inachunguza namna ambavyo nyimbo za watoto zinatoa maarifa mbalimbali kuhusu mazingira katika kumfunza mtoto na jamii kwa ujumla. Data za utafiti huu zilikusanywa uwandani kwa kusikiliza nyimbo za watoto za Kiswahili kutoka katika muktadha wa kitaaluma na katika mazingira yao wanamoishi. Aidha, data nyingine zilipatikana kwa kupitia maandiko mbalimbali maktabani kuhusu nyimbo hizo. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa nyimbo za Kiswahili za michezo ya watoto ni muhimu kwa watoto na jamii, si tu katika kujifunza mazingira ya jamii mahususi, bali pia katika kuwasilisha maudhui yahusuyo mazingira kwa jamii pana.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"55 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.3","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

摘要

在 "模拟 "项目中,我们的粉丝可以通过 "模拟 "的方式,在 "模拟 "的过程中,通过 "模拟 "的方式来实现自己的目标。在这些国家中,有许多人都是通过模拟实验实现的,他们都有一个共同点,那就是在模拟实验的过程中,他们都有一个共同点,那就是在模拟实验的过程中,他们都有一个共同点,那就是在模拟实验的过程中,他们都有一个共同点,那就是在模拟实验的过程中,他们都有一个共同点,那就是他们都有一个共同点。我们的工作是让你的工作更有价值。我们的目标是,在我们的工作中,让更多的人参与到我们的工作中来,让更多的人参与到我们的工作中来。在 "我的朋友 "中,有 "我的朋友"(na mwenyewe akiwamo)。我们的目标是:让人们了解瓦纳达穆、瓦尼亚马、米米亚、巴哈里、马文古、阿尔迪、马延戈、米利马和乌海。坦桑尼亚的斯瓦希里语学习者,在坦桑尼亚的 "马拉马拉"(taaluma ya mazingira)地区学习斯瓦希里语,并在坦桑尼亚的 "尼姆博"(nyimbo za watoto)地区学习斯瓦希里语。在坦桑尼亚,"水 "和 "食物 "的概念被广泛应用。在斯瓦希里语中,"数据 "一词的意思是 "数据",而在斯瓦希里语中,"数据 "一词的意思是 "数据",而在斯瓦希里语中,"数据 "一词的意思是 "数据"。此外,我们还将通过数据分析,帮助您更好地了解自己的需求。如果你想了解更多信息,请联系我们,我们将竭诚为您服务。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Dhima ya Nyimbo za Kiswahili za Watoto katika Kujifunza Mazingira
Nyimbo ni fani kongwe na ya mwanzo kabisa ya fasihi simulizi kutumiwa na binadamu katika kupambana na mazingira yake. Kwa ujumla, nyimbo ni fani ya fasihi simulizi ambayo hutumika katika hatua na nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu. Mojawapo ya vipera vyake ni nyimbo za watoto. Nyimbo hizo, pamoja na mambo mengine, zina hazina kubwa ya mafunzo katika kuyaelewa mazingira ya jamii husika. Mazingira ni kila kitu kinachomzunguka mwanadamu (na mwenyewe akiwamo). Hujumuisha wanadamu, wanyama, mimea, bahari, mawingu, ardhi, majengo, milima na vitu visivyo na uhai. Lengo la makala hii ni kuchunguza mchango wa fasihi ya Kiswahili, hususani nyimbo za watoto, nchini Tanzania katika taaluma ya mazingira. Makala inachunguza namna ambavyo nyimbo za watoto zinatoa maarifa mbalimbali kuhusu mazingira katika kumfunza mtoto na jamii kwa ujumla. Data za utafiti huu zilikusanywa uwandani kwa kusikiliza nyimbo za watoto za Kiswahili kutoka katika muktadha wa kitaaluma na katika mazingira yao wanamoishi. Aidha, data nyingine zilipatikana kwa kupitia maandiko mbalimbali maktabani kuhusu nyimbo hizo. Matokeo ya utafiti yanaonesha kuwa nyimbo za Kiswahili za michezo ya watoto ni muhimu kwa watoto na jamii, si tu katika kujifunza mazingira ya jamii mahususi, bali pia katika kuwasilisha maudhui yahusuyo mazingira kwa jamii pana.
求助全文
通过发布文献求助,成功后即可免费获取论文全文。 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Dosari za Kisarufi za Wanafunzi Wanaojifunza Kiswahili Sanifu katika Vyuo Vikuu nchini Burundi Misingi ya Matumizi ya Wakaa katika Usimulizi wa Riwaya za Kiswahili: Mifano kutoka Nagona na Mzingile Uolezi1 katika Kujenga Utambulisho wa Wahusika katika Riwaya za Nagona na Mzingile za Euphrase Kezilahabi Itikadi za Kisiasa katika Fasihi ya Watoto ya Kiswahili Naming of Plants in Nyamwezi and Sukuma Societies of Tanzania
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1