{"title":"UHALISIA wa MAUDHUI YA USALAMA KATIKA FASIHI ya WATOTO:MFANO wa RIWAYA ya KIJANA MPELELEZI,WAMITILA K.W (2003) na USIKU wa MANANE,KOBIA J. (2010)","authors":"Rose Ndanu Mboya","doi":"10.47941/ejl.999","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya ya Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007) na Usiku wa Manane (Kobia, 2010). Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu ni kubainisha masuala ya usalama yaliyodhihirishwa na waandishi wa riwaya za Usiku wa Manane (Kobia ,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007), kueleza jinsi wahusika watoto wanaohusishwa na maudhui ya usalama wanavyosawiriwa na kutathmini uhalisia wa maudhui yanayohusu usalama na yanayonuiwa watoto kama hadhira lengwa katika riwaya za Usiku wa Manane (Kobia,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007). Nadharia za uhalisia wa kijamaa na Soshiolojia ya fasihi zilitoa msingi madhubuti kuhusu mada husika. Makala hii inathibitisha kuwa masuala ya usalama yanayobainika yanafungamana na hali ilivyo katika maisha ya jamii ya karne hii ya ishirini na moja. Vita vya kikabila na ukosefu wa usalama katika jamii vinapaswa kuondolewa na kusahaulika kabisa. Hadithi za watoto za waandishi hawa zinadhihirisha uhalisia wa maudhui ya usalama. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuchukua hatua za dharura kuwafahamisha watoto kuhusu umuhimu wa amani katika taifa ili wakikua wawe na uwezo wa kueneza maridhiano baina ya jamii lugha zote.","PeriodicalId":43181,"journal":{"name":"European Journal of Applied Linguistics","volume":null,"pages":null},"PeriodicalIF":0.8000,"publicationDate":"2022-08-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"European Journal of Applied Linguistics","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.47941/ejl.999","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"Q3","JCRName":"LINGUISTICS","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inachunguza uhalisia wa maudhui ya usalama katika fasihi ya watoto kwa kuchanganua riwaya ya Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007) na Usiku wa Manane (Kobia, 2010). Hadithi hizi za watoto zimejikita katika fasihi ya watoto. Madhumuni ya utafiti huu ni kubainisha masuala ya usalama yaliyodhihirishwa na waandishi wa riwaya za Usiku wa Manane (Kobia ,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007), kueleza jinsi wahusika watoto wanaohusishwa na maudhui ya usalama wanavyosawiriwa na kutathmini uhalisia wa maudhui yanayohusu usalama na yanayonuiwa watoto kama hadhira lengwa katika riwaya za Usiku wa Manane (Kobia,2010) na Kijana Mpelelezi (Wamitila,2007). Nadharia za uhalisia wa kijamaa na Soshiolojia ya fasihi zilitoa msingi madhubuti kuhusu mada husika. Makala hii inathibitisha kuwa masuala ya usalama yanayobainika yanafungamana na hali ilivyo katika maisha ya jamii ya karne hii ya ishirini na moja. Vita vya kikabila na ukosefu wa usalama katika jamii vinapaswa kuondolewa na kusahaulika kabisa. Hadithi za watoto za waandishi hawa zinadhihirisha uhalisia wa maudhui ya usalama. Ni dhahiri kuwa kuna haja ya kuchukua hatua za dharura kuwafahamisha watoto kuhusu umuhimu wa amani katika taifa ili wakikua wawe na uwezo wa kueneza maridhiano baina ya jamii lugha zote.