{"title":"Matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu za Nida (1949) katika utambuzi wa mofimu za lugha ya Kiswahili","authors":"Elishafati J. Ndumiwe, Tasiana Jasson","doi":"10.4314/kcl.v20i1.7","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utambuzi wa mofimu katika lugha tofautitofauti huongozwa na kanuni za kimajumui zilizopendekezwa na Nida (1949). Kanuni hizo zimehakikiwa katika baadhi ya lugha za Afrikasia ambazo ni Kiyoruba, Kigala na Kihausa. Hata hivyo, kuna utofauti kati ya lugha za Afrikasia na lugha za Kibantu. Isitoshe, kanuni hizo haziko bayana katika lugha za Kibantu. Kwa hiyo, makala hii inahakiki matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2013) kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka. Aidha, uchambuzi wa data umeongozwa na mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis (2008). Matokeo ya makala hii yanaonesha kwamba kanuni tano kati ya sita zinafaa katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita. Kanuni ya tatu haitumiki katika kutambua mofimu za lugha ya Kiswahili kwa sababu maumbo yanayoelezwa na kanuni hii hayamo katika lugha ya Kiswahili kutokana na tofauti za kimuundo kati ya lugha moja na nyingine. Aidha, tumependekeza kuwa uundwaji wa kanuni uendane na maumbo ya lugha tofautitofauti kwa sababu ya umajumui wake.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"2 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.7","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
卡努尼对《尼达维亚语》(1949 年)中的 "基奥鲁巴语"(Kiyoruba)和 "基加拉语"(Kigala)以及 "基豪萨语"(Kihausa)有着浓厚的兴趣。卡努尼对基约鲁巴(Kiyoruba)、基加拉(Kigala)和基豪萨(Kihausa)的南非荷兰语有着浓厚的兴趣。卡努尼对基约鲁巴语、基加拉语和基豪萨语有着浓厚的兴趣。因此,我们需要对非洲和加勒比地区的情况有更深入的了解。此外,卡穆西的研究数据还显示,他对非洲和吉班图语的了解还不够深入。Kamusi's Kiswahili Sanifu(2013 年)的数据显示,"upitiaji wa nyaraka "的数量有所增加。此外,数据还显示,Rastle和Davis(2008年)的mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis(2008年)。在斯瓦希里语的语言环境中,数据的重要性不言而喻。Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita.在斯瓦希里语的语言环境中,语言学家们可以在语言环境中寻找到更多的机会来学习斯瓦希里语。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。
Matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu za Nida (1949) katika utambuzi wa mofimu za lugha ya Kiswahili
Utambuzi wa mofimu katika lugha tofautitofauti huongozwa na kanuni za kimajumui zilizopendekezwa na Nida (1949). Kanuni hizo zimehakikiwa katika baadhi ya lugha za Afrikasia ambazo ni Kiyoruba, Kigala na Kihausa. Hata hivyo, kuna utofauti kati ya lugha za Afrikasia na lugha za Kibantu. Isitoshe, kanuni hizo haziko bayana katika lugha za Kibantu. Kwa hiyo, makala hii inahakiki matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2013) kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka. Aidha, uchambuzi wa data umeongozwa na mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis (2008). Matokeo ya makala hii yanaonesha kwamba kanuni tano kati ya sita zinafaa katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita. Kanuni ya tatu haitumiki katika kutambua mofimu za lugha ya Kiswahili kwa sababu maumbo yanayoelezwa na kanuni hii hayamo katika lugha ya Kiswahili kutokana na tofauti za kimuundo kati ya lugha moja na nyingine. Aidha, tumependekeza kuwa uundwaji wa kanuni uendane na maumbo ya lugha tofautitofauti kwa sababu ya umajumui wake.