{"title":"Ruwaza za Ujalizaji wa Vitenzi vya Kiswahili Sanifu","authors":"Deograsia Ramadhan Mtego","doi":"10.4314/kcl.v20i2.9","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inahusu ruwaza za ujalizaji wa vitenzi katika Kiswahili sanifu. Lengo lake ni kufafanua ruwaza za ujalizaji wa vitenzi kwa kubainisha miundo mbalimbali ya vijalizo vya vitenzi vya Kiswahili sanifu. Data zimekusanywa maktabani kwa njia ya upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia Nadharia ya Msingi ya Isimu ya Dixon (2010). Makala hii inaonesha kuwa wanasarufi wanatofautiana katika kubainisha aina za miundo ya ruwaza za ujalizaji wa vitenzi katika lugha ya Kiswahili kutokana na maendeleo ya kinadharia. Katika sarufi mapokeo, kitenzi kinajalizwa na kirai nomino chenye uamilifu wa yambwa. Pia, katika Sarufi Mfumo Amilifu kitenzi kinajalizwa na kijalizo ambacho kinaweza kuwa kirai nomino au kirai kivumishi. Vilevile, tofauti na mitazamo iliyotangulia, katika nadharia za kimuundo, kama vile za Sarufi Geuzi inaonesha kuwa kitenzi kinaweza kujalizwa na kirai, kishazi au sentensi. Aidha, mitazamo hiyo inadhihirisha kuwapo kwa namna mbalimbali za ujalizaji wa vitenzi ambazo ndizo ruwaza za ujalizaji wa vitenzi. Katika makala hii, ruwaza za ujalizaji wa vitenzi ni miundo mbalimbali ya vijalizo vya vitenzi kutokana na hulka ya kitenzi husika kinavyoweza kujalizwa. Namna hizo ndizo ruwaza za ujalizaji wa vitenzi ambapo kitenzi kinajalizwa na neno, kirai, kishazi na sentensi. Hivyo basi, vitenzi vya Kiswahili vina namna yake ya kujalizwa ambapo kitenzi kinaweza kujalizwa zaidi ya mara moja kwa namna tofauti kutokana na kitenzi kuukilia namna ya ujalizaji wake.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"9 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.9","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在斯瓦希里语环境中,湖泊是一个重要的资源库。Lengo lake ni kufafanua ruwaza za ujalizaji wa vitenzi kwa kubainisha miundo mbalimbali ya vijalizo vya vitenzi vya Kiswahili sanifu.数据来源于 Nadharia ya Msingi ya Isimu ya Dixon(2010 年)。该书还介绍了在斯瓦希里语语言环境中和在语言学领域中的一些重要问题,并介绍了在斯瓦希里语语言环境中和在语言学领域中的一些重要问题。在语言地图上,我们可以看到自己的名字,也可以看到自己的姓氏。另外,阿米利福-姆富莫(Sarufi Mfumo Amilifu)还将在未来的提名和未来的决策中扮演重要角色。在萨鲁菲-格伊兹(Sarufi Geuzi),有许多人都在为自己的行为感到羞耻。此外,还需要注意的是,在一些情况下,在一些情况下,人们可能会不小心误入歧途。在这种情况下,我们需要对生命周期进行管理,以确保生命周期的可持续发展。因此,我们需要在我们的生命周期中,为我们的生命提供更多的关爱、更多的机会、更多的支持和更多的帮助。因此,在斯瓦希里语中,"生命 "与 "健康 "是相辅相成的,"生命 "与 "健康 "是相辅相成的。
Ruwaza za Ujalizaji wa Vitenzi vya Kiswahili Sanifu
Makala hii inahusu ruwaza za ujalizaji wa vitenzi katika Kiswahili sanifu. Lengo lake ni kufafanua ruwaza za ujalizaji wa vitenzi kwa kubainisha miundo mbalimbali ya vijalizo vya vitenzi vya Kiswahili sanifu. Data zimekusanywa maktabani kwa njia ya upitiaji wa nyaraka na kuchambuliwa kwa kutumia Nadharia ya Msingi ya Isimu ya Dixon (2010). Makala hii inaonesha kuwa wanasarufi wanatofautiana katika kubainisha aina za miundo ya ruwaza za ujalizaji wa vitenzi katika lugha ya Kiswahili kutokana na maendeleo ya kinadharia. Katika sarufi mapokeo, kitenzi kinajalizwa na kirai nomino chenye uamilifu wa yambwa. Pia, katika Sarufi Mfumo Amilifu kitenzi kinajalizwa na kijalizo ambacho kinaweza kuwa kirai nomino au kirai kivumishi. Vilevile, tofauti na mitazamo iliyotangulia, katika nadharia za kimuundo, kama vile za Sarufi Geuzi inaonesha kuwa kitenzi kinaweza kujalizwa na kirai, kishazi au sentensi. Aidha, mitazamo hiyo inadhihirisha kuwapo kwa namna mbalimbali za ujalizaji wa vitenzi ambazo ndizo ruwaza za ujalizaji wa vitenzi. Katika makala hii, ruwaza za ujalizaji wa vitenzi ni miundo mbalimbali ya vijalizo vya vitenzi kutokana na hulka ya kitenzi husika kinavyoweza kujalizwa. Namna hizo ndizo ruwaza za ujalizaji wa vitenzi ambapo kitenzi kinajalizwa na neno, kirai, kishazi na sentensi. Hivyo basi, vitenzi vya Kiswahili vina namna yake ya kujalizwa ambapo kitenzi kinaweza kujalizwa zaidi ya mara moja kwa namna tofauti kutokana na kitenzi kuukilia namna ya ujalizaji wake.