{"title":"Tathmini ya Matumizi na Kukubalika kwa Istilahi za Simu kwa Wazungumzaji wa Kiswahili Nchini Tanzania","authors":"Majura Nyangaywa, P. S. Malangwa","doi":"10.4314/kcl.v20i2.7","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inaangazia hali ya matumizi na kukubalika kwa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili nchini Tanzania. Data zilikusanywa kwa mbinu ya usomaji matini, hojaji na usaili kutoka kwa watoataarifa katika kata za Kimara na Ubungo, Dar es Salaam. Nadharia ya Ulinganifu wa Kiathariu ilitumika katika makala hii. Matokeo yanaonesha kuwa baadhi ya wazungumzaji wanakubali kutumia istilahi za Kiswahili za simu na wengine hawakubali. Aidha, makala inabainisha sababu mbalimbali zilizotolewa na kila upande. Makala inapendekeza kuwapo kwa ushirikishwaji wa wazungumzaji wa Kiswahili, wataalamu wa teknolojia ya mawasiliano na wataalamu wa istilahi wakati wa mchakato wa uundaji wa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"1216 24","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-03-24","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Tathmini ya Matumizi na Kukubalika kwa Istilahi za Simu kwa Wazungumzaji wa Kiswahili Nchini Tanzania\",\"authors\":\"Majura Nyangaywa, P. S. Malangwa\",\"doi\":\"10.4314/kcl.v20i2.7\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala hii inaangazia hali ya matumizi na kukubalika kwa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili nchini Tanzania. Data zilikusanywa kwa mbinu ya usomaji matini, hojaji na usaili kutoka kwa watoataarifa katika kata za Kimara na Ubungo, Dar es Salaam. Nadharia ya Ulinganifu wa Kiathariu ilitumika katika makala hii. Matokeo yanaonesha kuwa baadhi ya wazungumzaji wanakubali kutumia istilahi za Kiswahili za simu na wengine hawakubali. Aidha, makala inabainisha sababu mbalimbali zilizotolewa na kila upande. Makala inapendekeza kuwapo kwa ushirikishwaji wa wazungumzaji wa Kiswahili, wataalamu wa teknolojia ya mawasiliano na wataalamu wa istilahi wakati wa mchakato wa uundaji wa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi.\",\"PeriodicalId\":208716,\"journal\":{\"name\":\"Kioo cha Lugha\",\"volume\":\"1216 24\",\"pages\":\"0\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-03-24\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"Kioo cha Lugha\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.7\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Kioo cha Lugha","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i2.7","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在坦桑尼亚,有许多人在学习斯瓦希里语的过程中遇到困难。这些数据基于在达累斯萨拉姆乌本戈的基马拉进行的一项研究的结果。Nadharia ya Ulinganifu wa Kiathariu ilitumika katika makala hii.在达累斯萨拉姆的乌本戈市(Ubungo)举行的 "达累斯萨拉姆大学"(Nadharia ya Ulinganifu wa Kiathariu ilitumika katika makala hii)上进行了培训。在这方面,我们需要做的是,让我们的语言更加丰富多彩,让我们的生活更加丰富多彩。我们还将继续努力,在我们的努力下,我们将在斯瓦希里语领域取得更大的进步,我们将在斯瓦希里语领域取得更大的成就,我们将在斯瓦希里语领域取得更大的进步。
Tathmini ya Matumizi na Kukubalika kwa Istilahi za Simu kwa Wazungumzaji wa Kiswahili Nchini Tanzania
Makala hii inaangazia hali ya matumizi na kukubalika kwa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi miongoni mwa wazungumzaji wa Kiswahili nchini Tanzania. Data zilikusanywa kwa mbinu ya usomaji matini, hojaji na usaili kutoka kwa watoataarifa katika kata za Kimara na Ubungo, Dar es Salaam. Nadharia ya Ulinganifu wa Kiathariu ilitumika katika makala hii. Matokeo yanaonesha kuwa baadhi ya wazungumzaji wanakubali kutumia istilahi za Kiswahili za simu na wengine hawakubali. Aidha, makala inabainisha sababu mbalimbali zilizotolewa na kila upande. Makala inapendekeza kuwapo kwa ushirikishwaji wa wazungumzaji wa Kiswahili, wataalamu wa teknolojia ya mawasiliano na wataalamu wa istilahi wakati wa mchakato wa uundaji wa istilahi za Kiswahili za simu za mkononi.