Gideon K Ipyegon Rono, C. Kitetu, Abdulrahim Hussein Taib Ali
{"title":"Muundo wa Mazungumzo ya Uuzaji na Ununuzi wa Nguo za Mitumba katika Soko Mjinga Kaptembwo","authors":"Gideon K Ipyegon Rono, C. Kitetu, Abdulrahim Hussein Taib Ali","doi":"10.37284/jammk.5.1.664","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Mazungumzo ndio njia mojawapo ya kuchochea maingiliano baina ya watu. Lugha ya mazungumzo hutokea katika miktadha mbalimbali kama vile shuleni, hospitalini na hata nyumbani. Utafiti huu uliangazia mpangilio na nafasi ya muundo wa mazungumzo. Wanaojihusisha na mazungumzo haya ni muuzaji na mnunuzi. Lengo la makala haya ni kubainisha namna matumizi ya lugha ya kuafikiana bei wakati wa kuuza na kununua huathiri muundo wa mazungumzo. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni Uchanganuzi wa Mazungumzo iliyoasisiwa na Sacks (1960). Kuonyesha kuwa, mazungumzo yanayotekelezwa na binadamu huwa na mpangilio maalum. Utafiti huu ulichunguza muundo wa mazungumzo katika soko la mtumba. Matokeo yake yalibainisha kuwa muundo wa mazungumzo haukuweza kufuatwa kwa wakati mwingi kikamilifu, kupashana zamu katika mazungumzo kulipewa kipau mbele, nguo za wanawake na watoto zilinunuliwa sana zikilinganishwa na za kiume na tabia za wanunuzi kutoka katika jamii na kabila tofauti kimazungumzo zilijikita katika utamaduni aliolelewa nayo.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"249 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-05-16","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.664","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Mazungumzo ndio njia mojawapo ya kuchochea maingiliano baina ya watu. Lugha ya mazungumzo hutokea katika miktadha mbalimbali kama vile shuleni, hospitalini na hata nyumbani. Utafiti huu uliangazia mpangilio na nafasi ya muundo wa mazungumzo. Wanaojihusisha na mazungumzo haya ni muuzaji na mnunuzi. Lengo la makala haya ni kubainisha namna matumizi ya lugha ya kuafikiana bei wakati wa kuuza na kununua huathiri muundo wa mazungumzo. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni Uchanganuzi wa Mazungumzo iliyoasisiwa na Sacks (1960). Kuonyesha kuwa, mazungumzo yanayotekelezwa na binadamu huwa na mpangilio maalum. Utafiti huu ulichunguza muundo wa mazungumzo katika soko la mtumba. Matokeo yake yalibainisha kuwa muundo wa mazungumzo haukuweza kufuatwa kwa wakati mwingi kikamilifu, kupashana zamu katika mazungumzo kulipewa kipau mbele, nguo za wanawake na watoto zilinunuliwa sana zikilinganishwa na za kiume na tabia za wanunuzi kutoka katika jamii na kabila tofauti kimazungumzo zilijikita katika utamaduni aliolelewa nayo.