{"title":"TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda","authors":"Stanislas Munyengabire","doi":"10.37284/jammk.7.1.1795","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Katika enzi hizi, TEHAMA inatazamwa kama kifaa cha kurahisisha maisha. Inarahisisha maisha kwa kuathiri kila uwanja wa maisha ya mwanadamu (Mikre, 2011). Athari hizi zinajitokeza katika shughuli zote za mtu wa kisasa. Katika uga wa elimu, ufundishaji na ujifunzaji wa lugha ya pili nao uliathiriwa sana kutokana na TEHAMA. Hali hii ilisababisha kuibuka kwa makala haya kutokana na malengo mahsusi matatu. Lengo la kwanza lilikuwa kubainisha mchango wa TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda. Lengo la pili lilikuwa kuchambua hasara za matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili miongoni mwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda. Lengo la tatu nalo lilikuwa kubainisha namna ya kutumia TEHAMA katika ufundishaji wa Kiswahili nchini Rwanda. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya ushuhudiaji, usaili, na upitiaji wa maandiko. Sampuli ilikuwa walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda pamoja na wazazi wa wanafunzi hao. Sampuli ilipatikana kwa mbinu ya sampuli lengwa. Utafiti ulioibua makala haya uliongozwa na Nadharia ya Uunganisho. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba TEHAMA ni nyenzo mwafaka katika ufundishaji wa Kiswahili. Hii ni kwa sababu hutumiwa kufundisha msamiati, sarufi na stadi nne za lugha hasa kwa kutumia nyeno kadhaa za kiteknolojia. Aidha, utafiti huu umebaini kwamba TEHAMA inapotumiwa vibaya inaweza kusababisha madhara makubwa kwa wanafunzi. Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na kuamini lugha ya mtandaoni zaidi, maandishi ya mkononi (kalamu) mabaya, kuathiriwa na tabia na damaduni za nje, na kutokubaliana kati ya mwalimu na wanafunzi juu ya masomo. Mwishoni, makala imejadili namna ya kuitumia TEHAMA katika ufundishaji wa lugha ya pili hususan nchini Rwanda","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"5 6","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-03-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1795","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Katika enzi hizi, TEHAMA inatazamwa kama kifaa cha kurahisisha maisha. Inarahisisha maisha kwa kuathiri kila uwanja wa maisha ya mwanadamu (Mikre, 2011). Athari hizi zinajitokeza katika shughuli zote za mtu wa kisasa. Katika uga wa elimu, ufundishaji na ujifunzaji wa lugha ya pili nao uliathiriwa sana kutokana na TEHAMA. Hali hii ilisababisha kuibuka kwa makala haya kutokana na malengo mahsusi matatu. Lengo la kwanza lilikuwa kubainisha mchango wa TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili kwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda. Lengo la pili lilikuwa kuchambua hasara za matumizi ya TEHAMA katika ufundishaji na ujifunzaji wa Kiswahili miongoni mwa wanafunzi wa kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda. Lengo la tatu nalo lilikuwa kubainisha namna ya kutumia TEHAMA katika ufundishaji wa Kiswahili nchini Rwanda. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya ushuhudiaji, usaili, na upitiaji wa maandiko. Sampuli ilikuwa walimu na wanafunzi wa Kiswahili katika kidato cha nne katika shule teule za sekondari nchini Rwanda pamoja na wazazi wa wanafunzi hao. Sampuli ilipatikana kwa mbinu ya sampuli lengwa. Utafiti ulioibua makala haya uliongozwa na Nadharia ya Uunganisho. Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba TEHAMA ni nyenzo mwafaka katika ufundishaji wa Kiswahili. Hii ni kwa sababu hutumiwa kufundisha msamiati, sarufi na stadi nne za lugha hasa kwa kutumia nyeno kadhaa za kiteknolojia. Aidha, utafiti huu umebaini kwamba TEHAMA inapotumiwa vibaya inaweza kusababisha madhara makubwa kwa wanafunzi. Baadhi ya madhara hayo ni pamoja na kuamini lugha ya mtandaoni zaidi, maandishi ya mkononi (kalamu) mabaya, kuathiriwa na tabia na damaduni za nje, na kutokubaliana kati ya mwalimu na wanafunzi juu ya masomo. Mwishoni, makala imejadili namna ya kuitumia TEHAMA katika ufundishaji wa lugha ya pili hususan nchini Rwanda
在卢旺达境内的斯瓦希里语学习中心(Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda)的斯瓦希里语学习中心(Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili
TEHAMA inatazamwa kama kifaa cha kurahisisha maisha.Inarahisisha maisha kwa kuathiri kila uwanja wa maisha ya mwanadamu(Mikre,2011 年)。Athari hizi zinajitokeza katika shughuli zote za mtu wa kisasa.在消除贫困的过程中,我们需要对贫困的根源进行研究,而不是对贫困的根源进行分析。我们还将继续努力,以实现我们的目标。在卢旺达,卢旺达人的语言与斯瓦希里人的语言不同。在卢旺达的 "儿童之家 "中,卢旺达语和斯瓦希里语的发音相同,都是 "wanafunzi wa kidato cha nne katika shule teule za sekondari"。在卢旺达的斯瓦希里语基金中,有一个名为 "TEHAMA "的项目。数据显示,卢旺达的用户数量、用户数量和用户数量都在不断增长。在卢旺达,卢旺达人的语言是斯瓦希里语,而斯瓦希里语的意思是"......",因此,卢旺达人的语言是"......"。在卢旺达,"舢板 "的名字是在 "舢板 "的前缀上加上 "liipatikana "的。卢旺达政府的 "乌加尼绍"(Nadharia ya Uunganisho)。在斯瓦希里语的基础上,我们还可以使用 TEHAMA 的语言。在这些语言中,"shi ni kwa sababu hutumiwa kufundisha msamiati, sarufi na stadi nne za lugha hasa kwa kutumia nyeno kadhaa za kiteknolojia"。此外,我们还可以从 TEHAMA 的网站上了解到更多的信息。我们的目标是,通过对这些问题的深入研究和分析,使我们能够更好地理解这些问题,并在此基础上提出解决方案。Mwishoni, makala imejadili namna ya kuitumia TEHAMA katika ufundishaji wa lugha ya pili hususan nchini Rwanda