{"title":"Utomilisi wa Lugha kama Chanzo cha Ubadilishanaji Msimbo Miongoni mwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu katika Kaunti ya Kiambu","authors":"Beatrice Njambi Mwai, Leonard Chacha","doi":"10.37284/jammk.5.1.627","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu ulichunguza swala la kubadili msimbo miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu Kaunti ya Kiambu. Fikra kuu iliyoongoza utafiti huu ni kuwa wanafunzi hao hubadili msimbo kwa sababu ya utomilisi wa lugha. Hawana umilisiwa lugha mojaKwa mfanoutafiti huu umeangazia lugha za Kiingereza na Kiswahili. Tumedhihirisha kuwa hawa ni wanafunzi wa chuo kikuu lakini hawawezi kuwasiliana kwa lugha moja kwa ufasahalazima waingie katika lugha nyingine ili kufanikisha mawasiliano. Kwaanokama wanatumia lugha ya Kiswahili wanabadilisha na kuingia katika lugha ya Kiingereza kwa sababu wameshindwa kuendeleza mazungumzo katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu umeongozwa na nadharia tambulishi iliyopendekezwa na Myers-Scotton (1983). Kulingana na Myers-Scottonkatika mawasiliano yoyote, kuna hali ya alama inayotambulika na isiyotambulika. Katika kuchagua alamamzungumzaji huchagua alama kulingana na mahitaji ya kijamii. Pia huonyesha kuwa kubadili msimbo ni kwa sababu ya ugumu wa watu kutumia lugha moja na ugumu huo uko akilini mwa mzungumzaji. Utafiti huu umeegemea maktabani na nyanjani. Maktabaniutafiti huu umenufaika kwa kupata data kutoka kwa machapisho, vitabu na majarida kuhusu dhana ya kubadili msimbo, uwili lugha na misingi ya nadharia. Nyanjaniutafiti huu umefanywa katika Kaunti ya Kiambu, Utafiti huu umehusisha matumizi ya vifaa kama vile mwongozo wa mahojiano na kuhudhuria vikao rasmi ambavyo vijana wanawasiliana. Data iliyochanganuliwa kwa mujibu wa nadharia tambulishi imewasilishwa kwa njia ya maelezo","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"72 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-04-21","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.627","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Utafiti huu ulichunguza swala la kubadili msimbo miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu Kaunti ya Kiambu. Fikra kuu iliyoongoza utafiti huu ni kuwa wanafunzi hao hubadili msimbo kwa sababu ya utomilisi wa lugha. Hawana umilisiwa lugha mojaKwa mfanoutafiti huu umeangazia lugha za Kiingereza na Kiswahili. Tumedhihirisha kuwa hawa ni wanafunzi wa chuo kikuu lakini hawawezi kuwasiliana kwa lugha moja kwa ufasahalazima waingie katika lugha nyingine ili kufanikisha mawasiliano. Kwaanokama wanatumia lugha ya Kiswahili wanabadilisha na kuingia katika lugha ya Kiingereza kwa sababu wameshindwa kuendeleza mazungumzo katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu umeongozwa na nadharia tambulishi iliyopendekezwa na Myers-Scotton (1983). Kulingana na Myers-Scottonkatika mawasiliano yoyote, kuna hali ya alama inayotambulika na isiyotambulika. Katika kuchagua alamamzungumzaji huchagua alama kulingana na mahitaji ya kijamii. Pia huonyesha kuwa kubadili msimbo ni kwa sababu ya ugumu wa watu kutumia lugha moja na ugumu huo uko akilini mwa mzungumzaji. Utafiti huu umeegemea maktabani na nyanjani. Maktabaniutafiti huu umenufaika kwa kupata data kutoka kwa machapisho, vitabu na majarida kuhusu dhana ya kubadili msimbo, uwili lugha na misingi ya nadharia. Nyanjaniutafiti huu umefanywa katika Kaunti ya Kiambu, Utafiti huu umehusisha matumizi ya vifaa kama vile mwongozo wa mahojiano na kuhudhuria vikao rasmi ambavyo vijana wanawasiliana. Data iliyochanganuliwa kwa mujibu wa nadharia tambulishi imewasilishwa kwa njia ya maelezo