{"title":"Tamathali za Usemi, Mbinu Rejeshi na Taswira katika Utenzi wa Vita vya Uhud","authors":"Dickens Bonyi Obwogi","doi":"10.37284/jammk.5.2.1026","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Katika makala hii, tutaangazia jinsi tamathali za usemi, mbinu rejeshi pamoja na taswira vilivyotumika katika kuwasilisha ujumbe wa mtunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Utafiti wetu utaongozwa na lengo moja ambalo ni kubainisha ufaafu wa vipengele vya kimtindo kama tulivyovitaja kwenye mada yetu hapo juu katika ufumaji wa utenzi wa vita vya Uhud. Tumeelezea kila kipengele tajwa na kubainisha umuhimu wake katika utunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Nadharia ya umtindo ndiyo inayoongoza utafiti wetu kwani kwa maoni yetu, ndiyo itakayotufafanulia zaidi jinsi vipengele hivi vya kimtindo vimetumika katika uwasilishaji wa dhamira na maudhui ya mtunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Mihimili iliyohusu utafiti wetu ndiyo iliyozingatiwa katika kuongoza utafiti wetu. Vipengele tajwa vya kimtindo japo vimezamiwa na watafiti wengi wa fasihi, kipera cha ushairi hakijazamiwa sana. Tafiti ambazo tulizipitia zimekirejelea kwa njia ya juu juu. Kutokana na hali hii, utafiti wetu umelenga kuangazia vipengele hivi kwa kina ili kubainisha umuhimu wake katika kazi za kisanii, si tu katika kazi za kinadhari bali pia kwenye kazi za kishairi. Katika utafiti wetu, tutaangazia utenzi wa vita vya Uhud namna ulivyonakiliwa na Chum (1970). Kwa mtazamo wetu, vipera vingine vya kifasihi vimeangaziwa zaidi na wasanii wengi ilhali kipera cha ushairi hakijazingatiwa mno. Utafiti huu unalenga kuwapa motisha wasomi na wahakiki mbalimbali kuzamia kazi za tenzi na kuzihakiki kama vipera vingine vya kifasihi","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"28 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1026","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Katika makala hii, tutaangazia jinsi tamathali za usemi, mbinu rejeshi pamoja na taswira vilivyotumika katika kuwasilisha ujumbe wa mtunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Utafiti wetu utaongozwa na lengo moja ambalo ni kubainisha ufaafu wa vipengele vya kimtindo kama tulivyovitaja kwenye mada yetu hapo juu katika ufumaji wa utenzi wa vita vya Uhud. Tumeelezea kila kipengele tajwa na kubainisha umuhimu wake katika utunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Nadharia ya umtindo ndiyo inayoongoza utafiti wetu kwani kwa maoni yetu, ndiyo itakayotufafanulia zaidi jinsi vipengele hivi vya kimtindo vimetumika katika uwasilishaji wa dhamira na maudhui ya mtunzi wa utenzi wa vita vya Uhud. Mihimili iliyohusu utafiti wetu ndiyo iliyozingatiwa katika kuongoza utafiti wetu. Vipengele tajwa vya kimtindo japo vimezamiwa na watafiti wengi wa fasihi, kipera cha ushairi hakijazamiwa sana. Tafiti ambazo tulizipitia zimekirejelea kwa njia ya juu juu. Kutokana na hali hii, utafiti wetu umelenga kuangazia vipengele hivi kwa kina ili kubainisha umuhimu wake katika kazi za kisanii, si tu katika kazi za kinadhari bali pia kwenye kazi za kishairi. Katika utafiti wetu, tutaangazia utenzi wa vita vya Uhud namna ulivyonakiliwa na Chum (1970). Kwa mtazamo wetu, vipera vingine vya kifasihi vimeangaziwa zaidi na wasanii wengi ilhali kipera cha ushairi hakijazingatiwa mno. Utafiti huu unalenga kuwapa motisha wasomi na wahakiki mbalimbali kuzamia kazi za tenzi na kuzihakiki kama vipera vingine vya kifasihi