{"title":"Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu","authors":"Martin Mulei","doi":"10.37284/jammk.6.1.1206","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Uwiano na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"466 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-05-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1206","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Uwiano na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu