{"title":"Majina ya Asili ya Watu Katika Jamii-lugha ya Wagogo","authors":"Jemima Lenjima, Julius Edmund Frank","doi":"10.37284/jammk.6.1.1396","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Miaka ya hivi karibuni majina ya asili katika jamii nyingi za kitanzania yamekuwa yakikabiliwa na changamoto ya kupotea kwa kasi hasa kwa vijana kutokana na ujio wa sayansi na teknolojia pamoja na dini. Makala haya yamekusanya na kubainisha majina ya asili ya watu katika jamii-lugha ya Wagogo. Makala yameongozwa na swali moja katika kuandaliwa kwake. Swali hilo linauliza; Majina yapi ya asili ya watu yanayotumika katika jamii-lugha ya Wagogo? Mbali na kujadili swali hilo muhimu, Makala haya pia yametoa mapendekezo kuhusu njia za kuendeleza matumizi ya majina ya asili ya watu katika jamii-lugha husika. Data za makala zimekusanywa kwa mbinu ya mahojiano na majadiliano ya kundi lengwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali kwa ufafanuzi zaidi. Uchanganuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Uumbaji ya (Sapir-Whorf, 1958) inayosisitiza kwamba, lugha ndio msingi wa kuuelewa ulimwengu. Unapojifunza lugha hiyo hata dunia unayoiumba akilini mwako itatokana na dunia iliyoratibiwa na wasemaji wake. Matokeo ya uchunguzi wa makala haya yamedhihiridha kuwa, majina ya asili ya watu katika jamii-lugha ya Wagogo yapo katika makundi kulingana na jinsi yanavyotolewa au kupatikana. Makundi yamebainishwa kwa kuzingatia sifa zinazofanana katika makundi mbalimbali","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-08-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1396","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Miaka ya hivi karibuni majina ya asili katika jamii nyingi za kitanzania yamekuwa yakikabiliwa na changamoto ya kupotea kwa kasi hasa kwa vijana kutokana na ujio wa sayansi na teknolojia pamoja na dini. Makala haya yamekusanya na kubainisha majina ya asili ya watu katika jamii-lugha ya Wagogo. Makala yameongozwa na swali moja katika kuandaliwa kwake. Swali hilo linauliza; Majina yapi ya asili ya watu yanayotumika katika jamii-lugha ya Wagogo? Mbali na kujadili swali hilo muhimu, Makala haya pia yametoa mapendekezo kuhusu njia za kuendeleza matumizi ya majina ya asili ya watu katika jamii-lugha husika. Data za makala zimekusanywa kwa mbinu ya mahojiano na majadiliano ya kundi lengwa na kuwasilishwa kwa njia ya maelezo na majedwali kwa ufafanuzi zaidi. Uchanganuzi wa data umeongozwa na Nadharia ya Uumbaji ya (Sapir-Whorf, 1958) inayosisitiza kwamba, lugha ndio msingi wa kuuelewa ulimwengu. Unapojifunza lugha hiyo hata dunia unayoiumba akilini mwako itatokana na dunia iliyoratibiwa na wasemaji wake. Matokeo ya uchunguzi wa makala haya yamedhihiridha kuwa, majina ya asili ya watu katika jamii-lugha ya Wagogo yapo katika makundi kulingana na jinsi yanavyotolewa au kupatikana. Makundi yamebainishwa kwa kuzingatia sifa zinazofanana katika makundi mbalimbali
我想你一定听说过这个,但我想你一定不知道。"他说,"我想你一定听说过这个,但我想你一定不知道。"他说,"我想你一定听说过这个,但我想你一定不知道。无需担心 "瓦戈戈"(Wagogo)中的 "瓦图"(Watu)。我们要做的是,在我们的国家,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是。Swali hilo linauliza; Majina yapi ya asili ya watu yanayotumika katika jamii-lugha ya Wagogo?在 "Swali hilo muhimu "中,"Makala haya pia yametoa mapendekezo kuhusu njia za kuendeleza matumizi ya majina ya asili ya watu katika jamii-lugha husika"。将对数据进行分析,以确定数据是否存在问题。(萨丕尔-沃尔夫,1958 年)在分析过程中,我们会发现一些问题。因此,世界上没有一个国家能像其他国家一样,在自己的领土上建立自己的国家。因此,世界上最重要的语言是瓦戈戈语。Makundi yamebainishwa kwa kuzingatia sifa zinazofanana katika makundi mbalimbali