{"title":"Ufungamano wa Itikadi na Propaganda katika Tamthilia za Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001)","authors":"Minyade Sheril Mugaduka, Jessee Murithi","doi":"10.37284/jammk.5.2.1004","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Itikadi ni fikra zote za maoni ya wanadamu kuhusu wanayoyasema na wanayoyafikiria kuhusu dini, sheria siasa, maadili na falsafa kama wanavyotaja Marx na Engels (1977). Propaganda hushawishi fikra za mtu kutenda jambo kwa namna fulani. Ni ushawishi unaoratibiwa kwa malengo fiche (Ellul, 1965). Tafiti zimefanywa katika kipengele cha itikadi. Murithi (2017) ametafitia itikadi katika riwaya za Said A. Mohamed; amechunguza itikadi katika riwaya teule kwa kuangazia maudhui, dhamira, wahusika mtindo na usemaji katika vipindi tofauti. Suala la itikadi pia limeshughulikiwa na Kitto (2019) ambaye ameonyesha ufungamano kati ya siasa na itikadi. Katika kipengele cha propaganda, Mlaga (2020) ameangazia uhusiano kati ya propaganda na fasihi. Ameonyesha mikakati na mbinu za kubainisha propaganda katika kazi za fasihi kwa kuegemea tungo teule za Muyaka, Mnyapala na Kezilahabi. Wahakiki wanachukulia propaganda na itikadi kama dhana moja. Utafiti haujafanywa unaobainisha itikadi na propaganda katika tamthilia za Kiswahili. Makala haya yanalenga kubainisha uhusiano uliopo kati ya itikadi na propaganda katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Makala yataonyesha kuwa hizi ni dhana mbili tofauti lakini zina uhusiano. Utafiti umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Ni nadharia ambayo hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kiusemi, kisiasa, kimatini, kijamii na kiutamaduni yanavyoathiriwa na itikadi. Huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio katika jamii","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"56 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1004","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Itikadi ni fikra zote za maoni ya wanadamu kuhusu wanayoyasema na wanayoyafikiria kuhusu dini, sheria siasa, maadili na falsafa kama wanavyotaja Marx na Engels (1977). Propaganda hushawishi fikra za mtu kutenda jambo kwa namna fulani. Ni ushawishi unaoratibiwa kwa malengo fiche (Ellul, 1965). Tafiti zimefanywa katika kipengele cha itikadi. Murithi (2017) ametafitia itikadi katika riwaya za Said A. Mohamed; amechunguza itikadi katika riwaya teule kwa kuangazia maudhui, dhamira, wahusika mtindo na usemaji katika vipindi tofauti. Suala la itikadi pia limeshughulikiwa na Kitto (2019) ambaye ameonyesha ufungamano kati ya siasa na itikadi. Katika kipengele cha propaganda, Mlaga (2020) ameangazia uhusiano kati ya propaganda na fasihi. Ameonyesha mikakati na mbinu za kubainisha propaganda katika kazi za fasihi kwa kuegemea tungo teule za Muyaka, Mnyapala na Kezilahabi. Wahakiki wanachukulia propaganda na itikadi kama dhana moja. Utafiti haujafanywa unaobainisha itikadi na propaganda katika tamthilia za Kiswahili. Makala haya yanalenga kubainisha uhusiano uliopo kati ya itikadi na propaganda katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Makala yataonyesha kuwa hizi ni dhana mbili tofauti lakini zina uhusiano. Utafiti umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Ni nadharia ambayo hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kiusemi, kisiasa, kimatini, kijamii na kiutamaduni yanavyoathiriwa na itikadi. Huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio katika jamii
这是一本由马克思和恩格斯(1977 年)撰写的书籍。Propaganda hushawishi fikra za mtu kutenda jambo kwa namna fulani.没有所谓的 "菲切"(埃卢尔,1965 年)。Tafiti zimefanywa katika kipengele cha itikadi.穆里蒂(2017)发现,赛义德-A-穆罕默德;amechunguza itikadi katika riwaya teule kwa kuangazia maudhui, dhamira, wahusika mtindo na usemaji katika vipindi tofauti.This study (2019) was conducted in the context of the research.说到宣传,《姆拉加》(2020年)是一部 "宣传的口才"(ameangazia uhusiano kati ya propaganda na eloquence)。姆拉加(2020 年)是一个宣传口才的好机会。这些宣传的基础是克什米尔人的语言。宣传的基础是斯瓦希里语。Makala haya yanalenga kubainisha uhusiano uliopo kati ya itikadi na propaganda katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001)。Makala yataonyesha kuwa hizi ni dhana mbili tofauti lakini zina uhusiano.采用诺曼-费尔克拉夫(Norman Fairclough,1989 年)的 Uchanganuzi Tahakiki Usemi(UTU)方法。该研究以研究者的亲身经历为背景,以研究者的亲身经历为背景,以研究者的亲身经历为背景,以研究者的亲身经历为背景。Huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio katika jamii