{"title":"Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano","authors":"M. Karama","doi":"10.37284/jammk.6.1.1181","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Katika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇a mumewe, ni ule wa Ṁanakupona. K̇a mara ya k̇anza, makala haya yanaangaziya uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na majukumu ya mume k̇a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha aliyonayo mtunzi k̇a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa. Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa: k̇enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke yao bali na jamii k̇a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇idhibiṭi nrowa. Naṭija ilopatikana k̇a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇a k̇angaziwa sana Ṁanakupona na kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa kiyume.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"10 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-04-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1181","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Katika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇a mumewe, ni ule wa Ṁanakupona. K̇a mara ya k̇anza, makala haya yanaangaziya uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na majukumu ya mume k̇a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha aliyonayo mtunzi k̇a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa. Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa: k̇enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke yao bali na jamii k̇a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇idhibiṭi nrowa. Naṭija ilopatikana k̇a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇a k̇angaziwa sana Ṁanakupona na kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa kiyume.
如果你能言善辩,kiSwahili uṭeṇḍi 将能够与你谈论你自己的生活,你的生活,你的生活,你的生活。在你的人生道路上,你会遇到很多困难和挫折,但你都能迎刃而解。Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake.在这种情况下,你将能够认识到造物主的正义和造物主的正直。Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa:在此基础上,我们还可以对乌梅扎诺的 "狩猎 "和 "狩猎 "进行分析;我们还可以对乌梅扎诺的 "狩猎 "和 "狩猎 "进行分析;最后,"inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka"。在这种情况下,你的生活会变得更加美好。Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze kideshibiṭi nrowa.我们的国家在语言、文化和社会方面都取得了长足的进步。