Utu wa Wahusika Viumbe wa Kiuhalisiajabu: Mtazamo wa Mwandishi Said Ahmed Mohamed

Peres Akello Obondo, Juliet Akinyi Jagero, N. N. Musembi
{"title":"Utu wa Wahusika Viumbe wa Kiuhalisiajabu: Mtazamo wa Mwandishi Said Ahmed Mohamed","authors":"Peres Akello Obondo, Juliet Akinyi Jagero, N. N. Musembi","doi":"10.37284/jammk.5.2.1014","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utu ni sifa mojawapo muhimu katika mahusiano mazuri maishani mwa binadamu. Utu huhusisha wema. Utu ni sifa ambayo huhusishwa na wahusika mbalimbali katika dunia halisi na hata kwenye dunia ya fasihi. Wahusika ni muhimu katika fasihi kwa vile kupitia kwao, mwandishi huweza kupitisha ujumbe aliokusudia kwa wasomaji. Wahusika huwa wa aina mbalimbali wakiwemo wahusika wa kiuhalisiajabu ambao pia huchangia katika kupitisha ujumbe wa mwandishi sawia na wahusika wa kihalisia. Tafiti za awali zimewasawiri wahusika binadamu wakionyesha utu kwa sababu ni sifa muhimu anayopaswa kuwa nayo binadamu. Hata hivyo, waandishi wa Kiswahili akiwemo Said A. Mohamed wamesawiri wahusika wa kiuhalisiajabu wakionyesha utu kwa viumbe wengine. Huu ni mtindo ambao umeanza kutumiwa katika riwaya mpya na waandishi wa fasihi ya Kiswahili. Hivyo basi, utafiti huu ulichanganua kiuhakikifu wahusika viumbe wa kiuhalisiajabu katika riwaya teule za Said A. Mohamed ili kudhihirisha kwamba hata viumbe wasio binadamu huwa na sifa ya kibinadamu ya utu. Lengo mahususi lililoongoza utafiti huu lilikuwa kufafanua jinsi viumbe wa kiuhalisiajabu wanavyodhihirisha utu katika riwaya za Said A. Mohamed. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya kiuhalisiajabu kama inavyofafanuliwa na Zamora na Wendy (1995). Nadharia hii hueleza matukio katika hali ya kutisha, kushangaza na kuogofya kwa kuziwasilisha kana kwamba ni hali ya kawaida. Eneo la utafiti likiwa fasihi ya Kiswahili, utanzu wa Riwaya. Sampuli ya kimakusudi ilitumika kuteua riwaya tatu za Said A. Mohamed hususan: Babu Alipofufuka (2001), Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Data ilikusanywa kutokana na kusoma riwaya hizo tatu zilizoteuliwa na kudondoa sehemu zinazolingana na lengo la utafiti. Data ilidondolewa, ikanukuliwa, ikapangwa kisha kuchanganuliwa. Matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa kwa kweli viumbe wa kiuhalisiajabu wana sifa za utu kama upendo, ukarimu, kusamehe miongoni mwa mengine.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"30 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-12-17","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.2.1014","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Utu ni sifa mojawapo muhimu katika mahusiano mazuri maishani mwa binadamu. Utu huhusisha wema. Utu ni sifa ambayo huhusishwa na wahusika mbalimbali katika dunia halisi na hata kwenye dunia ya fasihi. Wahusika ni muhimu katika fasihi kwa vile kupitia kwao, mwandishi huweza kupitisha ujumbe aliokusudia kwa wasomaji. Wahusika huwa wa aina mbalimbali wakiwemo wahusika wa kiuhalisiajabu ambao pia huchangia katika kupitisha ujumbe wa mwandishi sawia na wahusika wa kihalisia. Tafiti za awali zimewasawiri wahusika binadamu wakionyesha utu kwa sababu ni sifa muhimu anayopaswa kuwa nayo binadamu. Hata hivyo, waandishi wa Kiswahili akiwemo Said A. Mohamed wamesawiri wahusika wa kiuhalisiajabu wakionyesha utu kwa viumbe wengine. Huu ni mtindo ambao umeanza kutumiwa katika riwaya mpya na waandishi wa fasihi ya Kiswahili. Hivyo basi, utafiti huu ulichanganua kiuhakikifu wahusika viumbe wa kiuhalisiajabu katika riwaya teule za Said A. Mohamed ili kudhihirisha kwamba hata viumbe wasio binadamu huwa na sifa ya kibinadamu ya utu. Lengo mahususi lililoongoza utafiti huu lilikuwa kufafanua jinsi viumbe wa kiuhalisiajabu wanavyodhihirisha utu katika riwaya za Said A. Mohamed. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya kiuhalisiajabu kama inavyofafanuliwa na Zamora na Wendy (1995). Nadharia hii hueleza matukio katika hali ya kutisha, kushangaza na kuogofya kwa kuziwasilisha kana kwamba ni hali ya kawaida. Eneo la utafiti likiwa fasihi ya Kiswahili, utanzu wa Riwaya. Sampuli ya kimakusudi ilitumika kuteua riwaya tatu za Said A. Mohamed hususan: Babu Alipofufuka (2001), Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Data ilikusanywa kutokana na kusoma riwaya hizo tatu zilizoteuliwa na kudondoa sehemu zinazolingana na lengo la utafiti. Data ilidondolewa, ikanukuliwa, ikapangwa kisha kuchanganuliwa. Matokeo ya utafiti yalionyesha kuwa kwa kweli viumbe wa kiuhalisiajabu wana sifa za utu kama upendo, ukarimu, kusamehe miongoni mwa mengine.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
我们的目标是,让我们的生活更加美好。乌图-尼法在我们的国家里,有很多人都在努力实现自己的目标。我们的国家是一个充满活力的国家,是一个充满希望的国家,是一个充满希望的国家。我们将继续努力,以实现我们的目标。我们的目标是,在未来的日子里,让我们的生活更加美好。在今后的日子里,斯瓦希里语学习者赛义德-A-穆罕默德(Said A. Mohamed)将会在他的学习生涯中继续努力。他的语言是斯瓦希里语。在此基础上,我们还将继续努力,以更大的决心和更强的能力来应对未来的挑战。马胡苏西总统将继续支持赛义德-穆罕默德的工作。在萨莫拉-温迪(1995 年)的作品中,我们发现了一些新的知识。该书的主要内容包括:(1)...在斯瓦希里语中,utanzu wa Riwaya 是一种常用语。这些数据包括:Babu Alipofufuka(2001 年)、Dunia Yao(2006 年)和 Nyuso za Mwanamke(2010 年)。Data ilikusanywa kutokana na kusoma riwaya hizo tatu zilizoteuliwa na kudondoa sehemu zinazolingana na lengo la utafiti.数据(Data ilidondolewa、ikanukuliwa、ikapangwa kisha kuchanganuliwa)。我们的目标是,在全球范围内,让我们一起努力,让世界变得更加美好。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya Dhana ya Kifo katika Mashairi Pepe ya Kumwomboleza Ken Walibora kwenye Kumbi za Kulikoni za Wataalam wa Kiswahili, Africa Mashariki Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1