Urudiaji wa Kisarufi Katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari Bin Darimi

A. Odhiambo, Kineene Wa Mutiso, K. W. Wamitila
{"title":"Urudiaji wa Kisarufi Katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari Bin Darimi","authors":"A. Odhiambo, Kineene Wa Mutiso, K. W. Wamitila","doi":"10.37284/jammk.3.1.404","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Katika makala haya, tumechunguza aina na mchango wa urudiaji wa kisarufi katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari bin Darimi. Ili kufanikisha hili, tumeongozwa na nadharia ya Umtindo ambayo inachunguza na kutoa fasiri kwa kazi za isimu na fasihi. Hii ni kwa sababu uchunguzi wa vipengele vya kifasihi hauwezi kujisimamia. Nadharia ya Umtindo inahusishwa na Geoffrey Leech katika mwaka wa 1969 kutokana na kazi yake ya kwanza ya ushairi alioandika huku akizingatia mawazo ya nadharia hii. Lengo la uhakiki wetu ni kuweka wazi aina mbalimbali za urudiaji wa kisarufi zilizotumiwa katika utenzi huu na michango yake katika kufanikisha fani na maudhui kwenye utungo huu. Baada ya uhakiki wetu, tumegundua kuwa urudiaji wa kisarufi unachangia maudhui, wahusika, vipengele vya kimtindo na vipengele vingine vya fani kwa ujumla katika utungo huu. Isitoshe, urudiaji huu wa kisarufi umekuwa na umuhimu katika kuleta mwangwi na usisitizaji. Tumetumia maelezo na ufafanuzi kutoka katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari bin Darimi kama njia ya kubainisha haya.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"7 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-09-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.3.1.404","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Katika makala haya, tumechunguza aina na mchango wa urudiaji wa kisarufi katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari bin Darimi. Ili kufanikisha hili, tumeongozwa na nadharia ya Umtindo ambayo inachunguza na kutoa fasiri kwa kazi za isimu na fasihi. Hii ni kwa sababu uchunguzi wa vipengele vya kifasihi hauwezi kujisimamia. Nadharia ya Umtindo inahusishwa na Geoffrey Leech katika mwaka wa 1969 kutokana na kazi yake ya kwanza ya ushairi alioandika huku akizingatia mawazo ya nadharia hii. Lengo la uhakiki wetu ni kuweka wazi aina mbalimbali za urudiaji wa kisarufi zilizotumiwa katika utenzi huu na michango yake katika kufanikisha fani na maudhui kwenye utungo huu. Baada ya uhakiki wetu, tumegundua kuwa urudiaji wa kisarufi unachangia maudhui, wahusika, vipengele vya kimtindo na vipengele vingine vya fani kwa ujumla katika utungo huu. Isitoshe, urudiaji huu wa kisarufi umekuwa na umuhimu katika kuleta mwangwi na usisitizaji. Tumetumia maelezo na ufafanuzi kutoka katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari bin Darimi kama njia ya kubainisha haya.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Urudiaji wa Kisarufi Katika Utenzi wa Seyidina Ali na Mudhari Bin Darimi
如果你和我一样,你可以从乌坦兹、塞伊迪纳-阿里和穆德哈里-本-达里米身上学到很多东西。如果你像我一样,你可以从乌滕齐和塞伊迪纳-阿里以及穆德哈里-本-达里米身上学到很多东西。这就是我们所说的 "vipengele vya kifasihi hauwezi kujisimamia"。杰弗里-利奇(Geoffrey Leech)的《乌姆廷多》(Umtindo)是作者于1969年出版的一本书。这本书的作者是一位作家,他在书中写道:"在我的记忆中,我是一个'糊涂'的人。在 "uhakiki wetu "中,"urudiaji huu wa kisarufi unachangia maudhui"、"wahusika"、"vipengele vya kimtindo na vipengele vingine vya fani kwa ujumla katika utungo huu. Isitoshe, urudiaji huu wa kisarufi umekuwa na umuhimu katika kuleta mwangwi na usisitizaji.阿里-穆德哈里-本-达里米-乌腾兹(Utenzi wa Seyidina Ali)和阿里-穆德哈里-本-达里米(Mudhari bin Darimi)的昵称是 "阿里"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Tathmini ya Aina za Ujumbe Unaoibuliwa Kutokana na Matumizi ya Lugha katika Kuwasilisha Habari za Mazingira katika Gazeti la Taifa Leo, Kenya Dhana ya Kifo katika Mashairi Pepe ya Kumwomboleza Ken Walibora kwenye Kumbi za Kulikoni za Wataalam wa Kiswahili, Africa Mashariki Maana za Majina ya Asili ya Watoto katika Jamii ya Waasu TEHAMA na Athari zake katika Ufundishaji na Ujifunzaji wa Kiswahili katika Shule Teule za Sekondari Nchini Rwanda Mikakati ya Udumishaji wa Lugha ya Kishona Nchini Kenya
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1