Dhima ya Toponemia kama Utambulisho wa Jamii: mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara Nchini Kenya

David Micheni Mutegi, Allan Mugambi, Timothy Kinoti M’Ngaruthi
{"title":"Dhima ya Toponemia kama Utambulisho wa Jamii: mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara Nchini Kenya","authors":"David Micheni Mutegi, Allan Mugambi, Timothy Kinoti M’Ngaruthi","doi":"10.37284/jammk.6.2.1581","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu ulikuwa wa kionomastiki uliolenga kubainisha dhima ya toponemia za shule za msingi kama utambulisho wa jamii. Utafiti ulifanyika katika eneo la Mwimbi na Muthambi Jimboni dogo la Maara. Nadharia ya Ujinaishaji pamoja na nadharia ya Uchanganuzi Hakiki Usemi na Matini ndizo zilizotumiwa kuongoza utafiti huu. Data ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu ya mahojiano na hojaji. Mahojiano yalimwezesha mtafiti kupata data ya kutosha na halisi moja kwa moja kutoka kwa wahojiwa. Hojaji ilimwezesha mtafiti kukusanya data kwa urahisi katika maeneo mengi na kutoka kwa sampuli kubwa. Walengwa katika utafiti huu walikuwa wakaazi wa Mwimbi na Muthambi. Usampulishaji ulifanywa kimaksudi kwa kuhusisha machifu 5 wa kata 5 za Mwimbi na Muthambi na manaibu wa chifu 25 kutoka kata ndogo 25 za eneo hili. Watawala hao walichaguliwa kwa sababu wao ni wenyeji wa eneo hili walio na habari kuhusu maeneo yao ya utawala kwa hivyo wangetoa habari kamilifu kuhusu maswali ya utafiti. Sampuli nyingine ya Wazee 20 wenye umri wa miaka sabini na zaidi walichaguliwa kimakusudi kwa kutumia mbinu ya kimtandao ili kutoa habari kuhusu dhima ya toponemia za shule za msingi katika eneo la Mwimbi na Muthambi. Sampuli ya wazee ilipatikana kwa urahisi kwa sababu ndio wanaopata pesa za wazee na walijulikana katika vijiji vyao. Uchambuzi na uwasilishaji wa data ya utafiti huu ulitumia mkabala wa kimaelezo kulingana na madhumuni na swali la utafiti. Matokeo ya utafiti huu ni marejeleo muhimu kwa watafiti wengine watakaoshughulikia vipengele vya onomastiki katika lahaja ya Kimwimbi na Kimuthambi. Aidha, utafiti huu ulibainisha kuwa toponemia huwa na dhima mbalimbali katika jamii","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"159 ","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-21","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1581","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Utafiti huu ulikuwa wa kionomastiki uliolenga kubainisha dhima ya toponemia za shule za msingi kama utambulisho wa jamii. Utafiti ulifanyika katika eneo la Mwimbi na Muthambi Jimboni dogo la Maara. Nadharia ya Ujinaishaji pamoja na nadharia ya Uchanganuzi Hakiki Usemi na Matini ndizo zilizotumiwa kuongoza utafiti huu. Data ya utafiti huu ilikusanywa kwa kutumia mbinu ya mahojiano na hojaji. Mahojiano yalimwezesha mtafiti kupata data ya kutosha na halisi moja kwa moja kutoka kwa wahojiwa. Hojaji ilimwezesha mtafiti kukusanya data kwa urahisi katika maeneo mengi na kutoka kwa sampuli kubwa. Walengwa katika utafiti huu walikuwa wakaazi wa Mwimbi na Muthambi. Usampulishaji ulifanywa kimaksudi kwa kuhusisha machifu 5 wa kata 5 za Mwimbi na Muthambi na manaibu wa chifu 25 kutoka kata ndogo 25 za eneo hili. Watawala hao walichaguliwa kwa sababu wao ni wenyeji wa eneo hili walio na habari kuhusu maeneo yao ya utawala kwa hivyo wangetoa habari kamilifu kuhusu maswali ya utafiti. Sampuli nyingine ya Wazee 20 wenye umri wa miaka sabini na zaidi walichaguliwa kimakusudi kwa kutumia mbinu ya kimtandao ili kutoa habari kuhusu dhima ya toponemia za shule za msingi katika eneo la Mwimbi na Muthambi. Sampuli ya wazee ilipatikana kwa urahisi kwa sababu ndio wanaopata pesa za wazee na walijulikana katika vijiji vyao. Uchambuzi na uwasilishaji wa data ya utafiti huu ulitumia mkabala wa kimaelezo kulingana na madhumuni na swali la utafiti. Matokeo ya utafiti huu ni marejeleo muhimu kwa watafiti wengine watakaoshughulikia vipengele vya onomastiki katika lahaja ya Kimwimbi na Kimuthambi. Aidha, utafiti huu ulibainisha kuwa toponemia huwa na dhima mbalimbali katika jamii
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Dhima ya Toponemia kama Utambulisho wa Jamii: mfano kutoka Jimbo Dogo la Maara Nchini Kenya
我们将继续努力,为我们的社区提供更好的服务。在 Mwimbi 和 Muthambi Jimboni 之间,Utafiti ulifanyika katika eneo la Mwimbi na Muthambi Jimboni dogo la Maara。乌吉尼沙吉州的法律与乌昌努兹-哈基基-乌斯米-马蒂尼州的法律相抵触。实用程序数据可通过 "Mahojiano "和 "hojaji "进行管理。这些数据将帮助我们更好地理解和管理我们的工作。这些数据将被用于对新用户的管理,并将被用于对新用户的管理。我们还将继续努力,以实现我们的目标。我们将继续努力,以实现我们的目标。我们的目标是,在未来的日子里,我们的目标是,在未来的日子里,我们的目标是,在未来的日子里,我们的目标是,在未来的日子里,我们的目标是,在未来的日子里,我们的目标是,让我们的生活更加美好。Wazee 20计划的目标是,在未来几年内,通过对Mwimbi和Muthambi地区的研究,实现对这些地区的经济发展和社会进步的贡献。在 "酋长之路 "上的 "俘虏"(Sampuli ya wazee ilipatikana kwa urahisi kwa sababu ndio wanaopata pesa za wazee na walijulikana katika vijiji vyao)。在公共事业数据中,我们可以看到在公共事业中的各种数据。我们的目标是在 "金文比"(Kimwimbi)和 "基姆坦比"(Kimuthambi)的基础上,通过对这些数据的分析,实现对这些数据的有效利用。在此,我们希望您能对我们的工作给予更多的支持。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria Mapokeo ya Utenzi wa Mwana Kupona katika Upya wa Shaaban Robert: ‘Utenzi wa Hati’ na ‘Utenzi wa Adili’ Usawiri Wa Vyanzo Vya Dhuluma Za Kijinsia Katika Riwaya Teule Za Kiswahili Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1