Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria

Maroa Dunstan Sospeter, Catherine Ndungo
{"title":"Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria","authors":"Maroa Dunstan Sospeter, Catherine Ndungo","doi":"10.37284/jammk.7.1.2048","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii imechunguza usawiri chanya wa hadhi ya mwanamke katika methali za Igikuria. Swala la usawiri wa mwanamke limeshughulikiwa na watafiti wa awali huku tafiti zao zikiibua usawiri hasi wa mwanamke. Tafiti hizi za awali kama za Matteru (1993) na Ndungo (1998) zilifanywa kuhusu vipera vya fasihi simulizi kama vile; nyimbo na methali zilidhihirisha namna tofauti mwanamke anavyodunishwa katika jamii za Kiafrika. Udunishwaji huu unatokana mifumo tawala inayompendelea mwanamume. Mifumo hii imejificha katika mila na desturi potovu za jamii mbalimbali. Aidha, ingawa jamii huweza kumdunisha mwanajamii yeyote yule kwa kutegemea matendo yake, kuna miktadha mbalimbali ambayo humfanya mtu kupata sifa nzuri kulingana na matendo yake mazuri. Mwanamke anapochangia katika shughuli mbalimbali za jamii hupewa sifa si haba. Kutokana na haya, panaibuka haja ya kuchunguza usawiri chanya wa mwanamke katika methali za Igikuria kwa kudhihirisha anavyotukuzwa katika jamii, miktadha inayompelekea kusifiwa na mchango anaotoa katika kuendeleza asasi mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, na kijamii. Makala hii imeongozwa na nadharia ya Ufeministi ambayo iliwekewa misingi na Wollstonecraft (1992), Woolf (1929) na Beauvoir (1994). Mihimili ya Ufeministi iliyotuongoza ni usawazishaji wanadamu kwa upande wa utamaduni na uana, utumiaji wa fasihi kama jukwaa la kueleza kwa uyakinifu hali inayomkumba mwanamke ili iweze kueleweka na watu wengi na kuhamasisha watumiaji wa sanaa wawe na wahusika wa kike ambao ni vielelezo wenye uwezo na wanaoweza kuigwa. Data iliyotumika katika Makala hii ilitolewa maktabani na nyanjani. Maktabani, tasnifu, makala na vitabu vinavyohusiana na mada vilisomwa kwa kina. Nyanjani, data ya methali za kumtukuza mwanamke ilikusanywa kwa njia ya hojaji. Uwasilishaji wa matokeo umefanyika kwa njia ya maelezo na michoro faafu. Matokeo yameonyesha kuwa katika methali za Igikuria, mwanamke amesawiriwa kama mfadhili katika ukoo anaotoka, mshauri wa jamii, kiongozi katika shughuli muhimu za jamii (sherehe), mtetezi wa jamii, mlezi, mjenzi wa familia na msingi thabiti katika jamii. Pia mwanamke amejitokeza kuwa chemchemi katika maisha ya Wakuria. Hidaya na uwezo wa kipekee aliotunukiwa mwanamke na Jalali katika kuendeleza jamii kupitia kwa njia ya uzazi, unamfanya kusifiwa kiasi kuwa mji usio na mwanamke hulinganishwa na chaka lisiloingilika. Aidha, miktadha ya kijamii ambayo inapelekea mwanamke kutukuzwa ni ya sherehe za kitamaduni, shughuli za kilimo na uzalishaji mali, shughuli za uzazi na malezi","PeriodicalId":504864,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"22 5","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-07-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.2048","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii imechunguza usawiri chanya wa hadhi ya mwanamke katika methali za Igikuria. Swala la usawiri wa mwanamke limeshughulikiwa na watafiti wa awali huku tafiti zao zikiibua usawiri hasi wa mwanamke. Tafiti hizi za awali kama za Matteru (1993) na Ndungo (1998) zilifanywa kuhusu vipera vya fasihi simulizi kama vile; nyimbo na methali zilidhihirisha namna tofauti mwanamke anavyodunishwa katika jamii za Kiafrika. Udunishwaji huu unatokana mifumo tawala inayompendelea mwanamume. Mifumo hii imejificha katika mila na desturi potovu za jamii mbalimbali. Aidha, ingawa jamii huweza kumdunisha mwanajamii yeyote yule kwa kutegemea matendo yake, kuna miktadha mbalimbali ambayo humfanya mtu kupata sifa nzuri kulingana na matendo yake mazuri. Mwanamke anapochangia katika shughuli mbalimbali za jamii hupewa sifa si haba. Kutokana na haya, panaibuka haja ya kuchunguza usawiri chanya wa mwanamke katika methali za Igikuria kwa kudhihirisha anavyotukuzwa katika jamii, miktadha inayompelekea kusifiwa na mchango anaotoa katika kuendeleza asasi mbalimbali za kiuchumi, kisiasa, na kijamii. Makala hii imeongozwa na nadharia ya Ufeministi ambayo iliwekewa misingi na Wollstonecraft (1992), Woolf (1929) na Beauvoir (1994). Mihimili ya Ufeministi iliyotuongoza ni usawazishaji wanadamu kwa upande wa utamaduni na uana, utumiaji wa fasihi kama jukwaa la kueleza kwa uyakinifu hali inayomkumba mwanamke ili iweze kueleweka na watu wengi na kuhamasisha watumiaji wa sanaa wawe na wahusika wa kike ambao ni vielelezo wenye uwezo na wanaoweza kuigwa. Data iliyotumika katika Makala hii ilitolewa maktabani na nyanjani. Maktabani, tasnifu, makala na vitabu vinavyohusiana na mada vilisomwa kwa kina. Nyanjani, data ya methali za kumtukuza mwanamke ilikusanywa kwa njia ya hojaji. Uwasilishaji wa matokeo umefanyika kwa njia ya maelezo na michoro faafu. Matokeo yameonyesha kuwa katika methali za Igikuria, mwanamke amesawiriwa kama mfadhili katika ukoo anaotoka, mshauri wa jamii, kiongozi katika shughuli muhimu za jamii (sherehe), mtetezi wa jamii, mlezi, mjenzi wa familia na msingi thabiti katika jamii. Pia mwanamke amejitokeza kuwa chemchemi katika maisha ya Wakuria. Hidaya na uwezo wa kipekee aliotunukiwa mwanamke na Jalali katika kuendeleza jamii kupitia kwa njia ya uzazi, unamfanya kusifiwa kiasi kuwa mji usio na mwanamke hulinganishwa na chaka lisiloingilika. Aidha, miktadha ya kijamii ambayo inapelekea mwanamke kutukuzwa ni ya sherehe za kitamaduni, shughuli za kilimo na uzalishaji mali, shughuli za uzazi na malezi
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
在 "伊吉库里亚 "方法中使用 "姆瓦纳姆卡"(Mwanamke
在伊吉库里亚地区,我们的工作是帮助当地人解决生活问题。在我们的工作中,我们的工作与我们的生活息息相关,我们的工作与我们的生活息息相关。在马特鲁(1993 年)和恩敦古(1998 年)的研究中,我们发现了一些新的现象,如在基亚弗里卡州的一些地方,有一些 "模拟 "的 "ipera";我们还发现了一些新的方法,如在基亚弗里卡州的一些地方,有一些 "anavyodunishwa"。我们将继续努力,以实现我们的目标。我们还将继续努力,以实现我们的目标。此外,我们还发现,在 "飓风 "肆虐的时候,有很多人都在为 "飓风 "而奔波,因为 "飓风 "会让他们的生活变得更加艰难。我们的工作就是要让人们了解自己的工作,让他们知道自己在做什么。在伊基克自由贸易区,女权主义者被批评为 "不尊重女性"。女权主义者受到了沃斯通克拉夫特(1992 年)、伍尔夫(1929 年)和波伏娃(1994 年)的批评。Mihimili ya Ufeministi iliyotuongoza ni usawazishaji wanadamu kwa upande wa utamaduni na uana、在妇女参与发展方面,妇女参与发展是一个重要的问题,因为妇女参与发展可以使她们的生活更加丰富多彩。在马卡拉的数据中,我们可以看到许多新的数据。数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据,数据和数据。数据和数据分析是必须的。数据和数据分析是必须的。如果您想了解更多信息,请联系我们,我们将竭诚为您服务。我正在为我的瓦库里亚姑娘寻找一位化学家。希达雅是唯一一个有能力与贾拉利合作的人,当涉及到我们的工作时,她是唯一一个有能力与贾拉利合作的人,她是唯一一个有能力与贾拉利合作的人,当涉及到我们的工作时,她是唯一一个有能力与贾拉利合作的人,她是唯一一个有能力与贾拉利合作的人。在我们的国家中,有很多人都在为自己的利益而奋斗,比如说,有的人为了自己的利益而不惜牺牲自己的利益,有的人为了自己的利益而不惜牺牲自己的利益,有的人为了自己的利益而不惜牺牲自己的利益,有的人为了自己的利益而不惜牺牲自己的利益。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Usawiri Chanya wa Hadhi ya Mwanamke katika Methali za Igikuria Mapokeo ya Utenzi wa Mwana Kupona katika Upya wa Shaaban Robert: ‘Utenzi wa Hati’ na ‘Utenzi wa Adili’ Usawiri Wa Vyanzo Vya Dhuluma Za Kijinsia Katika Riwaya Teule Za Kiswahili Upembezwaji wa Mwanamke kama Kihunzi cha Ufanisi wa Ujenzi wa Ujitambuzinafsia Katika Baadhi ya Bunilizi za Clara Momanyi Nafasi Ya Fasihi Andishi Ya Watoto Kama Chombo Cha Malezi Kwa Watoto Wa Kisasa
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1