Helina Wanjiku Njuguna, G. K. King'ei, R. M. Wafula
{"title":"Hali ya Kipindi cha Kupigania Uhuru na Mabadiliko ya Kimaudhui ya Ushairi wa Kiswahili Kati ya Miaka 1930 Hadi 1960 Nchini Tanzania","authors":"Helina Wanjiku Njuguna, G. K. King'ei, R. M. Wafula","doi":"10.37284/jammk.7.1.1804","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza jinsi hali ya kipindi cha kupigania uhuru ilivyochochea mabadiliko ya kimaudhui ya ushairi wa Kiswahili kati ya miaka 1930 hadi 1960 nchini Tanzania. Kulingana na makala hii hali ni matukio mahsusi yanayoathiri ubunifu wa maudhui ya ushairi. Ili kukuza mjadala wetu, makala hii imezingatia kipindi cha kupigania uhuru nchini Tanganyika. Uchunguzi unazingatia mashairi teule kutoka diwani za watunzi wafuatao: Mathias Mnyampala, “Diwani ya Mnyampala (1965)”, Amri Abedi, “Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri (1954)”, Akilimali Snow-White, “Diwani ya Akilimali (1963)”, Shaaban Robert , “ Koja la Lugha (1969), Pambo la Lugha (1966), Kielezo cha Fasili (1968), na Masomo Yenye Adili (1967)”, na Saadani Kandoro, “Mashairi ya Saadani, (1966)”. Mashairi yaliyoteuliwa yanasomwa na kuhakikiwa ili kubainisha maudhui yaliyomo. Uchanganuzi wa data unaongozwa na mihimili ya Nadharia ya Utegemezi na Nadharia ya Ubidhaaishaji wa Lugha. Katika mashairi teule, inabainishwa kuwa washairi walishiriki katika siasa. Vyama vya kisiasa vilitumia Kiswahili kama chombo cha kuunganisha Watanganyika kisiasa. Mashairi yaliandikwa katika magazeti ili kuhamasisha na kuzindua watu wapiganie uhuru. Mashairi yalibeba maudhui ya dhuluma za kikoloni, utetezi wa haki, umoja wa Waafrika, uzalendo, chama cha TANU, uhuru, sifa za viongozi bora, madaraka na utamaduni wa Waafrika","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"21 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-03-06","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1804","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Makala hii inachunguza jinsi hali ya kipindi cha kupigania uhuru ilivyochochea mabadiliko ya kimaudhui ya ushairi wa Kiswahili kati ya miaka 1930 hadi 1960 nchini Tanzania. Kulingana na makala hii hali ni matukio mahsusi yanayoathiri ubunifu wa maudhui ya ushairi. Ili kukuza mjadala wetu, makala hii imezingatia kipindi cha kupigania uhuru nchini Tanganyika. Uchunguzi unazingatia mashairi teule kutoka diwani za watunzi wafuatao: Mathias Mnyampala, “Diwani ya Mnyampala (1965)”, Amri Abedi, “Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri (1954)”, Akilimali Snow-White, “Diwani ya Akilimali (1963)”, Shaaban Robert , “ Koja la Lugha (1969), Pambo la Lugha (1966), Kielezo cha Fasili (1968), na Masomo Yenye Adili (1967)”, na Saadani Kandoro, “Mashairi ya Saadani, (1966)”. Mashairi yaliyoteuliwa yanasomwa na kuhakikiwa ili kubainisha maudhui yaliyomo. Uchanganuzi wa data unaongozwa na mihimili ya Nadharia ya Utegemezi na Nadharia ya Ubidhaaishaji wa Lugha. Katika mashairi teule, inabainishwa kuwa washairi walishiriki katika siasa. Vyama vya kisiasa vilitumia Kiswahili kama chombo cha kuunganisha Watanganyika kisiasa. Mashairi yaliandikwa katika magazeti ili kuhamasisha na kuzindua watu wapiganie uhuru. Mashairi yalibeba maudhui ya dhuluma za kikoloni, utetezi wa haki, umoja wa Waafrika, uzalendo, chama cha TANU, uhuru, sifa za viongozi bora, madaraka na utamaduni wa Waafrika
Hali ya Kipindi cha Kupigania Uhuru na Mabadiliko ya Kimaudhui ya Ushairi wa Kiswahili Kati ya Miaka 1930 Hadi 1960 Nchini Tanzania
在坦桑尼亚,1930 年至 1960 年间,坦桑尼亚的斯瓦希里语在世界范围内被广泛使用。在坦桑尼亚的1930年至1960年期间,在斯瓦希里语的基础上发展起来的马图基奥-马赫苏西(Mahsusi yanayoathiri ubunifu wa maudhui ya ushairi)。在坦噶尼喀地区,我们将继续努力。我们将继续努力,以实现我们的目标:Mathias Mnyampala,"Diwani ya Mnyampala(1965 年)",Amri Abedi,"Sheria za Kutunga Mashairi na Diwani ya Amri(1954 年)",Akilimali Snow-White,"Diwani ya Akilimali(1963 年)"、Shaaban Robert,"Koja la Lugha(1969 年),Pambo la Lugha(1966 年),Kielezo cha Fasili(1968 年),na Masomo Yenye Adili(1967 年)",na Saadani Kandoro,"Mashairi ya Saadani,(1966 年)"。Mashairi yaliyoteuliwa yanasomwa na kuhakikiwa ili kubainisha maudhui yaliyomo。Uchanganuzi wa data unaongozwa na mihimili ya Nadharia ya Utegemezi na Nadharia ya Ubidhaaishaji wa Lugha.如果你是学生,你就是老师。如果你是学生,你就是老师。我们的老师都有一个共同的特点,那就是 "有教无类"。Mashairi yalibeba maudhui ya dhuluma za kikoloni, utetezi wa haki, umoja wa Waafrika, uzalendo, chama cha TANU, uhuru, sifa za viongozi bora, madaraka na utamaduni waafrika.