Janet Jepkurui Kibet, Rebecca Wanjiru Omollo, Rose Mavisi
{"title":"Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya.","authors":"Janet Jepkurui Kibet, Rebecca Wanjiru Omollo, Rose Mavisi","doi":"10.37284/jammk.3.1.430","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu unalenga kuchunguza na kutathmini taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya kwa mtazamo wa kifasihi. Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni nadharia ya Ufeministi mathalani Ufeministi wa Kiafrika na nadharia ya mtindo. Nadharia ya Ufeministi ilifaa utafiti huu kwa kuwa inashughulika na masuala ya kijinsia hasa jinsia ya kike. Muundo wa kimfano ulitumika katika uchanganuzi wa utafiti huu. Utafiti huu ulijikita katika maktabani ili kupata maandishi yanayohusiana na mada iliyoshughulikiwa. Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen. Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi. Msafwari kiliteuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya kutazama, kusikiliza na kurekodi vipindi katika kukusanya data yake. Matokeo ya utafiti yalijitokeza wazi kuwa, nafasi ya mwanamke ni: kumfurahisha mume wake, kumsaidia mume wake, kutii, kumheshimu na kunyenyekea mbele ya mume. Pia ana nafasi ya kudumisha amani katika ndoa. Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliofanywa utawafaa watafiti wengine watakaojishughulisha na mada inayohusu mwanamke kwani wataweza kurejelea kazi hii ili kupata habari kuhusu nafasi ya mwanamke. Kwa ujumla, utafiti uliyofanywa ulichunguza taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2021-10-05","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.3.1.430","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在肯尼亚,"公民 "一词的含义是 "公民"。肯尼亚公民在肯尼亚的生活方式。Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi.Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya.肯尼亚女权运动的发展与肯尼亚女权运动的关系,以及肯尼亚女权运动的发展与肯尼亚女权运动的关系。女权运动者的工作方式与女权主义者的工作方式是一致的。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活更美好。我们的目标是,让我们的生活更美好,让我们的未来更美好。Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi.Msafwari Katika runinga ya Citizen.Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi.Msafwari kiliteuliwa. 在数据方面,我们将继续努力。我们的目标是:让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们,让更多的人了解我们。我们还将继续努力。在数据方面,Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo.我们的目标是,在全球范围内,通过对数据的分析和利用,帮助人们更好地了解自己的生活。我们的目标是,在比的基平迪地区,让我们的合作伙伴能够更有效地利用我们的资源,为我们的客户提供更好的服务。Msafwari.
Taswira ya Mwanamke katika Kipindi cha Bi. Msafwari Runinga ya Citizen Nchini Kenya.
Utafiti huu unalenga kuchunguza na kutathmini taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya kwa mtazamo wa kifasihi. Utafiti huu uliongozwa na lengo lifuatalo: Kueleza nafasi ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen nchini Kenya. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni nadharia ya Ufeministi mathalani Ufeministi wa Kiafrika na nadharia ya mtindo. Nadharia ya Ufeministi ilifaa utafiti huu kwa kuwa inashughulika na masuala ya kijinsia hasa jinsia ya kike. Muundo wa kimfano ulitumika katika uchanganuzi wa utafiti huu. Utafiti huu ulijikita katika maktabani ili kupata maandishi yanayohusiana na mada iliyoshughulikiwa. Kutokana na maelezo haya, kundi lengwa la utafiti ni kipindi cha Bi. Msafwari Katika runinga ya Citizen. Sampuli iliyotumika ni sampuli ya kimaksudi ambayo kipindi cha Bi. Msafwari kiliteuliwa. Utafiti huu ulitumia mbinu ya kutazama, kusikiliza na kurekodi vipindi katika kukusanya data yake. Matokeo ya utafiti yalijitokeza wazi kuwa, nafasi ya mwanamke ni: kumfurahisha mume wake, kumsaidia mume wake, kutii, kumheshimu na kunyenyekea mbele ya mume. Pia ana nafasi ya kudumisha amani katika ndoa. Ukusanyaji na uchanganuzi wa data, uwasilishaji wa matokeo ulifanywa kwa njia ya maelezo. Utafiti uliofanywa utawafaa watafiti wengine watakaojishughulisha na mada inayohusu mwanamke kwani wataweza kurejelea kazi hii ili kupata habari kuhusu nafasi ya mwanamke. Kwa ujumla, utafiti uliyofanywa ulichunguza taswira ya mwanamke katika kipindi cha Bi. Msafwari.