{"title":"Tamthilia ya Kiswahili katika Ukuaji na Ustawi Endelevu wa Ujasiriamali Nchini Tanzania: Uchunguzi wa Tamthilia ya Safari ya Chinga (2009) ya Shani Omari","authors":"Furaha J Masatu","doi":"10.37284/jammk.6.1.1377","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Ujasiriamali ni wimbo unaozidi kurindima masikioni mwa wanajamii. Wimbo huu unatokana na changamoto ya fursa funge za ajira miongoni mwa vijana. Tatizo linaonekana kuwa kubwa kwa sababu vijana wengi hawaonekani kuwa na msukumo wa ndani na wa kimazingira wa kujiajiri. Vijana wengi bado wanaamini katika kuajiriwa badala ya kujiajiri ilhali fursa za ajira rasmi wazitakazo ni chache kuliko idadi yao. Serikali na wadau wa maendeleo, wanazidi kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto hii ya ajira miongoni mwa vijana. Mojawapo ya mapendekezo ya kutatua changamoto hii, ni kwa serikali na wadau kuwawezesha vijana kujikomboa kifikra kupitia elimu na mazingira rafiki kwa ujasiriamali. Baadhi ya wadau, wanaamini elimu rasmi ya ujasiriamali katika shule ya msingi na sekondari ndiyo suluhu kwa vijana kufikiria kujiajiri. Hata hivyo, kuna hoja kuwa wadau wa elimu wamechelewa sana kuiteua tamthilia ya Safari ya Chinga (2009) ya Shani Omari kuwa tamthilia ya kiada miongoni mwa tamthilia rasmi zinazopaswa kufundishia na kujifunza uhakiki wa fasihi na ujasiriamali katika ngazi ya sekondari na vyuo. Hivyo, makala haya yanawasilisha sehemu ya matokeo ya uchunguzi tulioufanya kuhusiana na maudhui ya tamthilia ya Safari ya Chinga ili kuonesha nafasi adhimu ya Tamthilia ya Kiswahili katika ukuaji na ustawi endelevu wa ujasiriamali nchini Tanzania.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"10 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-08-18","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1377","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
Ujasiriamali ni wimbo unaozidi kurindima masikioni mwa wanajamii。Wimbo 非常适合常本作为巨富的职能。这就是""""的意思。这就是我们的"",我们的""。Serikali na wadau wa maendeleo, wanazidi kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto hii ya ajira miongoni mwa vijana.在对 "新政府 "的评估中,我们发现,在 "新政府 "中,政府官员对 "新政府 "的评估是 "对'新政府'的评估",而不是 "对'新政府'的评估"。另一方面,当涉及到秘书与 vijana kufikiria kujiajiri 的工作时,官方 elimu wanaamini 正式成为 ujasiriamali。从今往后,在沙尼-奥马里(Shani Omari)的《中国野生动物园》(2009年)中,将有更多的人参与到野生动物的保护工作中来。此外,在坦桑尼亚的非洲野生动物园和斯瓦希里语野生动物园中,也存在着大量的 "uukuaji "和 "ustawi endelevu wa ujasiriamali"("uukuaji "和 "ustawi endelevu wa ujasiriamali")。
Tamthilia ya Kiswahili katika Ukuaji na Ustawi Endelevu wa Ujasiriamali Nchini Tanzania: Uchunguzi wa Tamthilia ya Safari ya Chinga (2009) ya Shani Omari
Ujasiriamali ni wimbo unaozidi kurindima masikioni mwa wanajamii. Wimbo huu unatokana na changamoto ya fursa funge za ajira miongoni mwa vijana. Tatizo linaonekana kuwa kubwa kwa sababu vijana wengi hawaonekani kuwa na msukumo wa ndani na wa kimazingira wa kujiajiri. Vijana wengi bado wanaamini katika kuajiriwa badala ya kujiajiri ilhali fursa za ajira rasmi wazitakazo ni chache kuliko idadi yao. Serikali na wadau wa maendeleo, wanazidi kukuna vichwa kutafuta ufumbuzi wa changamoto hii ya ajira miongoni mwa vijana. Mojawapo ya mapendekezo ya kutatua changamoto hii, ni kwa serikali na wadau kuwawezesha vijana kujikomboa kifikra kupitia elimu na mazingira rafiki kwa ujasiriamali. Baadhi ya wadau, wanaamini elimu rasmi ya ujasiriamali katika shule ya msingi na sekondari ndiyo suluhu kwa vijana kufikiria kujiajiri. Hata hivyo, kuna hoja kuwa wadau wa elimu wamechelewa sana kuiteua tamthilia ya Safari ya Chinga (2009) ya Shani Omari kuwa tamthilia ya kiada miongoni mwa tamthilia rasmi zinazopaswa kufundishia na kujifunza uhakiki wa fasihi na ujasiriamali katika ngazi ya sekondari na vyuo. Hivyo, makala haya yanawasilisha sehemu ya matokeo ya uchunguzi tulioufanya kuhusiana na maudhui ya tamthilia ya Safari ya Chinga ili kuonesha nafasi adhimu ya Tamthilia ya Kiswahili katika ukuaji na ustawi endelevu wa ujasiriamali nchini Tanzania.