{"title":"Uhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogo","authors":"John Kennedy Mwangi","doi":"10.37284/jammk.5.1.671","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Fasihi ni zao la jamii na hubadilika kila uchao. Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya. Hii ni kwa sababu, kutokana na jinsi dunia inavyobadilika ndivyo masuala ya kiteknolojia pia yanavyoathiri fasihi ya sasa na kuipa mguso na taathira mpya. Licha ya uwakilishi wa TEKNOHAMA kuwa na umuhimu katika kukuza fani na maudhui katika fasihi, mchango wake katika tamthilia ya Kigogo haujafanyiwa utafiti, suala linalomchochea mtafiti kulitafiti. Lengo kuu la utafiti huu ni kutathmini mchango wa TEKNOHAMA katika kukuza maudhui katika tamthilia ya Kigogo ya Pauline Kea (2016). Utafiti huu unaongozwa na Nadharia ya Uhalisia. Uteuzi wa sampuli utafanywa kimakusudi na utafiti wenyewe ni wa muundo wa kiudhamano. Mtafiti atasoma makala mbali mbali kuhusiana na mada na kisha kuichanganua data kwa njia ya kimaelezo","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-05-18","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.5.1.671","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
这是与您的朋友和家人联系的绝佳方式。Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya.在我们的网站上,您可以找到您所在地区的相关信息,包括您的工作地点、您的生活习惯、您的兴趣爱好、您的生活方式、您的生活习惯、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式、您的生活方式。TEKNOHAMA's TEKNOHAMA is the world leading authority on the use of technology to improve quality of children and young people, and the development of the Kigogo haujafanyiwa utafiti, as well as the linalomchochea mtafiti kulitafiti.在保利娜-凯亚(Pauline Kea)的 "基戈"(Kigogo)项目(2016 年)中,有一个名为 "特克诺哈马"(TEKNOHAMA)的项目。Utafiti huu unaongozwa na Nadharia ya Uhalisia.在 "雏菊 "中,我们可以找到 "雏菊",也可以找到 "雏菊"。在此,我们希望您能对我们的工作给予支持。
Uhakiki wa Nafasi ya TEKNOHAMA katika Kukuza Maudhui katika Tamthilia ya Kigogo
Fasihi ni zao la jamii na hubadilika kila uchao. Uwakilishi wa suala la TEKNOHAMA katika tamthilia za kisasa umechukua mkondo mpya. Hii ni kwa sababu, kutokana na jinsi dunia inavyobadilika ndivyo masuala ya kiteknolojia pia yanavyoathiri fasihi ya sasa na kuipa mguso na taathira mpya. Licha ya uwakilishi wa TEKNOHAMA kuwa na umuhimu katika kukuza fani na maudhui katika fasihi, mchango wake katika tamthilia ya Kigogo haujafanyiwa utafiti, suala linalomchochea mtafiti kulitafiti. Lengo kuu la utafiti huu ni kutathmini mchango wa TEKNOHAMA katika kukuza maudhui katika tamthilia ya Kigogo ya Pauline Kea (2016). Utafiti huu unaongozwa na Nadharia ya Uhalisia. Uteuzi wa sampuli utafanywa kimakusudi na utafiti wenyewe ni wa muundo wa kiudhamano. Mtafiti atasoma makala mbali mbali kuhusiana na mada na kisha kuichanganua data kwa njia ya kimaelezo