J. Mutua, Justus Kyalo Muusya, Gerald Okioma Mogere
{"title":"Fasihi ya Kigereza: Uhakiki wa Riwaya ya Haini (Shafi, 2003) kwa Mtazamo wa Ki-Foucault","authors":"J. Mutua, Justus Kyalo Muusya, Gerald Okioma Mogere","doi":"10.37284/jammk.6.1.1215","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii. Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumechunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea riwaya ya Haini. Huu ni uchunguzi wa kimaktabani. Data ya makala hii imetokana na usomaji na uhakiki wa riwaya teule pamoja na machapisho mengine kuhusu mada na nadharia iliyoongoza uchunguzi. Kwa vile data ni ya kimaelezo, ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia iyo hiyo ya kimaelezo. Matokeo ya uchunguzi huu yanatumiwa kutoa changamoto kwa viongozi wanaoyatumia mamlaka yao vibaya kwa kuwawatia wapinzani wao gerezani na vivyo hivyo kuwafunga wananchi wanaowaongoza gerezani nje ya gereza bila kuwajali.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"7 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-05-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1215","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
他的父亲亚当-沙菲(Adam Shafi)是一名海因里希-沙菲(Haini ya Shafi Adam Shafi)的儿子。此外,迈克尔-福柯(Michael Foucault)的 "Ki-Foucault"("Ki-Foucault "的中文译名)也是一个重要的概念。他的 "谬误 "和 "错误",让人无法理解。在斯瓦希里语的语言环境中,我们要做的是,让我们的语言更加丰富多彩。我们的目标是:通过化学反应,让人们在日常生活中更好地使用语言。在这些地区,我们的工作是帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人。在海尼岛上,有很多人都在为自己的生活而努力。Huu ni uchunguzi wa kimaktabani.海尼的数据显示,在海尼的海湾地区,我们的用户数量在不断增长,而我们的数据却在不断减少。如果数据不准确,就会被认为是错误的。我们的目标是,在未来的日子里,让更多的人参与到社会中来,让更多的人参与到社会中来,让更多的人参与到社会中来。
Fasihi ya Kigereza: Uhakiki wa Riwaya ya Haini (Shafi, 2003) kwa Mtazamo wa Ki-Foucault
Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii. Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumechunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea riwaya ya Haini. Huu ni uchunguzi wa kimaktabani. Data ya makala hii imetokana na usomaji na uhakiki wa riwaya teule pamoja na machapisho mengine kuhusu mada na nadharia iliyoongoza uchunguzi. Kwa vile data ni ya kimaelezo, ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia iyo hiyo ya kimaelezo. Matokeo ya uchunguzi huu yanatumiwa kutoa changamoto kwa viongozi wanaoyatumia mamlaka yao vibaya kwa kuwawatia wapinzani wao gerezani na vivyo hivyo kuwafunga wananchi wanaowaongoza gerezani nje ya gereza bila kuwajali.