{"title":"Mbinu Za Lugha Katika Nyimbo Teule Za Mapenzi Kwenye Kipindi Cha Mambo Mseto Cha Redio Citizen","authors":"Lydia Chelagat, Rebecca Wanjiku-Omollo, Margan Adero","doi":"10.37284/jammk.6.1.1468","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu ulichunguza mbinu za lugha katika nyimbo za mapenzi kwenye kipindi cha Mambo mseto cha Redio Citizen. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya mtindo iliyoasisiwa na Buffon (1930) na kuendelezwa na watafiti wengine. Muundo uliotumika ni mkabala mseto kuegemea muundo wa QUAL-quan. Sampuli za maksudi zilitumika kukiteua kipindi cha Mambo mseto na wanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki cha Afrika Mashariki. Wanafunzi 83 kutoka chuo kikuu cha Kikatoliki cha Afrika mashariki walifanyiwa utafiti. Nyimbo saba kuashiria asilimia 30 kutoka jumla ya nyimbo ishirini na nne za mapenzi zilizochezwa ziliteuliwa. Uteuzi wa nyimbo hizo saba uliongozwa na maoni ya Fink (2003) anayesema kuwa, kwa watafitiwa chini ya 1000, jumla ya asilimia 30 ya usampulishaji hutumika. Hivyo katika utafiti huu, mtafiti alichukua ailimia 30 ya nyimbo 24 alizosikiza akapata nyimbo saba. Matokeo ya utafiti yalibaini kuwa mbinu za lugha zinazodhihirika katika nyimbo za mapenzi zilizochunguzwa ni kuchanganya ndimi, takrikiri, Chuku, tasfida, sitiari na tashbihi. Utafiti huu ulipendekeza watunzi wa nyimbo za mapenzi watumie pia mbinu nyingine za lugha kama vile methali ambayo haikujitokeza sana. Watafiti wengine pia wafanye utafiti kuhusu mbinu za lugha kwenye aina nyingine za nyimbo. Utafiti huu utakuwa wa manufaa kwa vyombo vya habari haswa stesheni za redio ili wafahamu mchango wao kwa ujenzi wa lugha ya Kiswahili kwani wao ndio husambaza na kucheza nyimbo hizi za mapenzi. Vilevile utafiti huu utakuwa na mchango katika kuleta ushirikiano mzuri wa kiakademia katika jumuiya ya Afrika mashariki kwa vile ilitafiti nyimbo kutoka Kenya, Uganda na Tanzania","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"42 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-09-27","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Mbinu Za Lugha Katika Nyimbo Teule Za Mapenzi Kwenye Kipindi Cha Mambo Mseto Cha Redio Citizen\",\"authors\":\"Lydia Chelagat, Rebecca Wanjiku-Omollo, Margan Adero\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.1.1468\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Utafiti huu ulichunguza mbinu za lugha katika nyimbo za mapenzi kwenye kipindi cha Mambo mseto cha Redio Citizen. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya mtindo iliyoasisiwa na Buffon (1930) na kuendelezwa na watafiti wengine. Muundo uliotumika ni mkabala mseto kuegemea muundo wa QUAL-quan. Sampuli za maksudi zilitumika kukiteua kipindi cha Mambo mseto na wanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki cha Afrika Mashariki. Wanafunzi 83 kutoka chuo kikuu cha Kikatoliki cha Afrika mashariki walifanyiwa utafiti. Nyimbo saba kuashiria asilimia 30 kutoka jumla ya nyimbo ishirini na nne za mapenzi zilizochezwa ziliteuliwa. Uteuzi wa nyimbo hizo saba uliongozwa na maoni ya Fink (2003) anayesema kuwa, kwa watafitiwa chini ya 1000, jumla ya asilimia 30 ya usampulishaji hutumika. Hivyo katika utafiti huu, mtafiti alichukua ailimia 30 ya nyimbo 24 alizosikiza akapata nyimbo saba. Matokeo ya utafiti yalibaini kuwa mbinu za lugha zinazodhihirika katika nyimbo za mapenzi zilizochunguzwa ni kuchanganya ndimi, takrikiri, Chuku, tasfida, sitiari na tashbihi. Utafiti huu ulipendekeza watunzi wa nyimbo za mapenzi watumie pia mbinu nyingine za lugha kama vile methali ambayo haikujitokeza sana. Watafiti wengine pia wafanye utafiti kuhusu mbinu za lugha kwenye aina nyingine za nyimbo. Utafiti huu utakuwa wa manufaa kwa vyombo vya habari haswa stesheni za redio ili wafahamu mchango wao kwa ujenzi wa lugha ya Kiswahili kwani wao ndio husambaza na kucheza nyimbo hizi za mapenzi. Vilevile utafiti huu utakuwa na mchango katika kuleta ushirikiano mzuri wa kiakademia katika jumuiya ya Afrika mashariki kwa vile ilitafiti nyimbo kutoka Kenya, Uganda na Tanzania\",\"PeriodicalId\":112928,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"42 1\",\"pages\":\"0\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-09-27\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1468\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1468","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
布冯(1930 年)和他的队友雷迪奥-公民(Redio Citizen)的队友。布冯(1930 年)的父亲布冯(1930 年)的母亲布冯(1930 年在 "QUAL-quan "中的 "Muundo uliotumika ni mkabala mseto kuegemea muundo wa QUAL-quan"。Sampuli za maksudi zilitumika kukiteua kipindi cha Mambo mseto na wanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki cha Afrika Mashariki.Wanafunzi 83 kutoka chuo kikuu cha Kikatoliki cha Afrika mashariki walifanyiwa utafiti.在非洲,有 30 个国家的人口在增长。芬克(2003 年)的研究表明,在 1000 人中,有 30 人的平均年龄为 30 岁。从目前的情况来看,30 个国家的 24 个国家的 30 个国家的数据都是不准确的。我们的目标是,在国家地图上建立一个由国家、地区、企业、社区和个人组成的网络,并在此基础上建立一个由国家、地区、企业、社区和个人组成的网络,并在此基础上建立一个由国家、地区、企业、社区和个人组成的网络。我们将继续努力,为国家的发展做出贡献。我们的目标是,让更多的人参与进来,让更多的人参与进来,让更多的人参与进来,让更多的人参与进来,让更多的人参与进来。我们还可以通过在基斯瓦希里语的语言环境中使用 "嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡"、"嗡嗡嗡 "等语言来学习这些语言。在肯尼亚、乌干达和坦桑尼亚的肯尼亚语、乌干达语和坦桑尼亚语学习者中,有很多人都有这样的经历。
Mbinu Za Lugha Katika Nyimbo Teule Za Mapenzi Kwenye Kipindi Cha Mambo Mseto Cha Redio Citizen
Utafiti huu ulichunguza mbinu za lugha katika nyimbo za mapenzi kwenye kipindi cha Mambo mseto cha Redio Citizen. Nadharia iliyotumika ni Nadharia ya mtindo iliyoasisiwa na Buffon (1930) na kuendelezwa na watafiti wengine. Muundo uliotumika ni mkabala mseto kuegemea muundo wa QUAL-quan. Sampuli za maksudi zilitumika kukiteua kipindi cha Mambo mseto na wanafunzi wa chuo kikuu cha kikatoliki cha Afrika Mashariki. Wanafunzi 83 kutoka chuo kikuu cha Kikatoliki cha Afrika mashariki walifanyiwa utafiti. Nyimbo saba kuashiria asilimia 30 kutoka jumla ya nyimbo ishirini na nne za mapenzi zilizochezwa ziliteuliwa. Uteuzi wa nyimbo hizo saba uliongozwa na maoni ya Fink (2003) anayesema kuwa, kwa watafitiwa chini ya 1000, jumla ya asilimia 30 ya usampulishaji hutumika. Hivyo katika utafiti huu, mtafiti alichukua ailimia 30 ya nyimbo 24 alizosikiza akapata nyimbo saba. Matokeo ya utafiti yalibaini kuwa mbinu za lugha zinazodhihirika katika nyimbo za mapenzi zilizochunguzwa ni kuchanganya ndimi, takrikiri, Chuku, tasfida, sitiari na tashbihi. Utafiti huu ulipendekeza watunzi wa nyimbo za mapenzi watumie pia mbinu nyingine za lugha kama vile methali ambayo haikujitokeza sana. Watafiti wengine pia wafanye utafiti kuhusu mbinu za lugha kwenye aina nyingine za nyimbo. Utafiti huu utakuwa wa manufaa kwa vyombo vya habari haswa stesheni za redio ili wafahamu mchango wao kwa ujenzi wa lugha ya Kiswahili kwani wao ndio husambaza na kucheza nyimbo hizi za mapenzi. Vilevile utafiti huu utakuwa na mchango katika kuleta ushirikiano mzuri wa kiakademia katika jumuiya ya Afrika mashariki kwa vile ilitafiti nyimbo kutoka Kenya, Uganda na Tanzania