Rebecah Wanja Kirimi, Martin Mugambi Allan, Onesmus Gitonga Ntiba
{"title":"Sifa Za Wahusika Za Kisimulizi Katika Ngano Za Wachuka","authors":"Rebecah Wanja Kirimi, Martin Mugambi Allan, Onesmus Gitonga Ntiba","doi":"10.37284/jammk.6.1.1467","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanalenga kujadili sifa za wahusika wa kisimulizi zilivyoendelezwa kiujumi katika ngano simulizi za Wachuka, kwa kuongozwa na nadharia ya Ujumi wa Kinudhuma inayotetea upekee wa kiujumi wa kazi za kisanaa. Madhumuni ya Makala yalikuwa kuchanganua sifa za wahusika wa kisimulizi katika ngano za Wachuka na namna wanavyoendeleza ujumi katika ngano husika. Makala haya yalibaini kwamba wahusika katika ngano za wachuka hugawika mara mbili yaani wahusika wawi na wahusika wema ili kujenga ujumi katika ngano. Mbinu elezi ilitumika kuwasilisha na kuchanganua data","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"49 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-09-27","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Sifa Za Wahusika Za Kisimulizi Katika Ngano Za Wachuka\",\"authors\":\"Rebecah Wanja Kirimi, Martin Mugambi Allan, Onesmus Gitonga Ntiba\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.1.1467\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Makala haya yanalenga kujadili sifa za wahusika wa kisimulizi zilivyoendelezwa kiujumi katika ngano simulizi za Wachuka, kwa kuongozwa na nadharia ya Ujumi wa Kinudhuma inayotetea upekee wa kiujumi wa kazi za kisanaa. Madhumuni ya Makala yalikuwa kuchanganua sifa za wahusika wa kisimulizi katika ngano za Wachuka na namna wanavyoendeleza ujumi katika ngano husika. Makala haya yalibaini kwamba wahusika katika ngano za wachuka hugawika mara mbili yaani wahusika wawi na wahusika wema ili kujenga ujumi katika ngano. Mbinu elezi ilitumika kuwasilisha na kuchanganua data\",\"PeriodicalId\":112928,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"49 1\",\"pages\":\"0\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-09-27\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1467\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1467","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
Sifa Za Wahusika Za Kisimulizi Katika Ngano Za Wachuka
Makala haya yanalenga kujadili sifa za wahusika wa kisimulizi zilivyoendelezwa kiujumi katika ngano simulizi za Wachuka, kwa kuongozwa na nadharia ya Ujumi wa Kinudhuma inayotetea upekee wa kiujumi wa kazi za kisanaa. Madhumuni ya Makala yalikuwa kuchanganua sifa za wahusika wa kisimulizi katika ngano za Wachuka na namna wanavyoendeleza ujumi katika ngano husika. Makala haya yalibaini kwamba wahusika katika ngano za wachuka hugawika mara mbili yaani wahusika wawi na wahusika wema ili kujenga ujumi katika ngano. Mbinu elezi ilitumika kuwasilisha na kuchanganua data