Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya
Linnah Apondi Okeyo, John N. Kimemia, Sophia M. Ndethiu
{"title":"Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya","authors":"Linnah Apondi Okeyo, John N. Kimemia, Sophia M. Ndethiu","doi":"10.37284/jammk.6.1.1551","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Utafiti huu ulichunguza mielekeo ya walimu na wanafunzi kuhusu mbinu na nyenzo zlizotumiwa wakati wa kufunza Kiswahili katika shule za upili katika Kaunti za Kisumu na Kakamega nchini. Lengo la utafiti huu lilikuwa kutambua mbinu na nyenzo zilizotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi wao kufunza na kujifunza Kiswahili pamoja na mielekeo yao kuzihusu.Utafiti ulilenga idadi ya walimu na wakuu wa idara 12 katika kila Kaunti pamoja na wanafunzi 960. Data ilikusanywa kupitia hojaji za wanafunzi na walimu, mwongozo wa usaili kwa wakuu wa Idara ya Kiswahili pamoja na uchunguzi wa darasani. Data zilichanganuliwa kwa kutumia Toleo la takwimu 13 kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi.Mbinu walizochangamkia wanafunzi masimulizi, mihadhara na maonyesho) sizo zilizotumiwa na walimu kila mara kuwafunza. Mbinu za kikoa, na mseto pamoja na usomaji mpana na wa kina (vitabu vya ziada, viteule na gazeti la Taifa Leo) zilitumika sana Kakamega hali iliyochangia matokeo yao kuwa bora kiasi kuliko ya Kisumu. Mbinu za jadi zilichangamkiwa zaidi katika kaunti zote madjhali mbinu za kidijitali hazikutumiwa sana.Ilibainika kuwa pana uhusiano kati ya mielekeo, utendakazi na matokeo ya wanafunzi somoni; mielekeo chanya iliathiri utendakazi na matokeo kwa namna chanya bali mielekeo hasi ikiathiri haya yote kwa namna hasi. Walimu waboreshe mbnu na nyenzo wanazozitumia kufunza Kiswahili ili matokeo yake yapate kuimarika zaidi katika shule zote, kaunti zote na nchini","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"36 4","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-03","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya\",\"authors\":\"Linnah Apondi Okeyo, John N. Kimemia, Sophia M. Ndethiu\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.1.1551\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Utafiti huu ulichunguza mielekeo ya walimu na wanafunzi kuhusu mbinu na nyenzo zlizotumiwa wakati wa kufunza Kiswahili katika shule za upili katika Kaunti za Kisumu na Kakamega nchini. Lengo la utafiti huu lilikuwa kutambua mbinu na nyenzo zilizotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi wao kufunza na kujifunza Kiswahili pamoja na mielekeo yao kuzihusu.Utafiti ulilenga idadi ya walimu na wakuu wa idara 12 katika kila Kaunti pamoja na wanafunzi 960. Data ilikusanywa kupitia hojaji za wanafunzi na walimu, mwongozo wa usaili kwa wakuu wa Idara ya Kiswahili pamoja na uchunguzi wa darasani. Data zilichanganuliwa kwa kutumia Toleo la takwimu 13 kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi.Mbinu walizochangamkia wanafunzi masimulizi, mihadhara na maonyesho) sizo zilizotumiwa na walimu kila mara kuwafunza. Mbinu za kikoa, na mseto pamoja na usomaji mpana na wa kina (vitabu vya ziada, viteule na gazeti la Taifa Leo) zilitumika sana Kakamega hali iliyochangia matokeo yao kuwa bora kiasi kuliko ya Kisumu. Mbinu za jadi zilichangamkiwa zaidi katika kaunti zote madjhali mbinu za kidijitali hazikutumiwa sana.Ilibainika kuwa pana uhusiano kati ya mielekeo, utendakazi na matokeo ya wanafunzi somoni; mielekeo chanya iliathiri utendakazi na matokeo kwa namna chanya bali mielekeo hasi ikiathiri haya yote kwa namna hasi. Walimu waboreshe mbnu na nyenzo wanazozitumia kufunza Kiswahili ili matokeo yake yapate kuimarika zaidi katika shule zote, kaunti zote na nchini\",\"PeriodicalId\":112928,\"journal\":{\"name\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"volume\":\"36 4\",\"pages\":\"0\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-11-03\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African Journal of Swahili Studies\",\"FirstCategoryId\":\"1085\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1551\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African Journal of Swahili Studies","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1551","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
在基苏木和卡卡梅加的基斯瓦希里语社区中,有许多人都在学习基苏木和卡卡梅加的基斯瓦希里语。我们的数据显示,Kaunti地区的基苏木和卡卡梅加的基斯瓦希里语人口为960人,而Kaunti地区的基苏木和卡卡梅加的基斯瓦希里语人口则为1200人。数据显示,在第 12 个 Kaunti 教区的第 960 个 Wanafunzi 和 Walimu 教区的第 960 个 Wakuu 教区中,存在着使用斯瓦希里语和达拉萨尼语的用户。Data zilichanganuliwa kwa kutumia Toleo la takwimu 13 kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi.Mbinu walizochangamkia wanafunzi masimulizi, mihadhara na maonyesho) sizo zilizotumiwa na walimu kila mara kuwafunza.在卡卡梅加(Kakamega)的卡卡梅加(Kakamega)地区,有许多人在基苏木(Kisumu)的基苏木(kiasi kuliko ya Kisumu)工作。在卡卡梅加,"iliyochangia matokeo"("iliyo")和 "kuwa bora kiasi kuliko ya Kisumu"("kisumu")这两个词的发音相同。在 "儿童 "一词的前面加上 "utendakazi na matokeo ya wanafunzi somoni";"儿童 "的后面加上 "utendakazi na matokeo kwa namna chanya bali mielekeo hasi ikiathiri haya yote kwa namna hasi"。我们的目标是,在未来的几年里,通过我们的努力,让更多的人了解斯瓦希里语,让更多的人了解斯瓦希里语,让更多的人了解斯瓦希里语,让更多的人了解斯瓦希里语。
Uchunguzi wa Mielekeo ya Walimu na Wanafunzi Kuhusu Mbinu na Nyenzo za Kufundishia Kiswahili Katika Shule za Upili za Umma, Kaunti za Kisumu na Kakamega, Kenya
Utafiti huu ulichunguza mielekeo ya walimu na wanafunzi kuhusu mbinu na nyenzo zlizotumiwa wakati wa kufunza Kiswahili katika shule za upili katika Kaunti za Kisumu na Kakamega nchini. Lengo la utafiti huu lilikuwa kutambua mbinu na nyenzo zilizotumiwa na walimu pamoja na wanafunzi wao kufunza na kujifunza Kiswahili pamoja na mielekeo yao kuzihusu.Utafiti ulilenga idadi ya walimu na wakuu wa idara 12 katika kila Kaunti pamoja na wanafunzi 960. Data ilikusanywa kupitia hojaji za wanafunzi na walimu, mwongozo wa usaili kwa wakuu wa Idara ya Kiswahili pamoja na uchunguzi wa darasani. Data zilichanganuliwa kwa kutumia Toleo la takwimu 13 kuonyesha idadi katika alama za asilimia na uradidi.Mbinu walizochangamkia wanafunzi masimulizi, mihadhara na maonyesho) sizo zilizotumiwa na walimu kila mara kuwafunza. Mbinu za kikoa, na mseto pamoja na usomaji mpana na wa kina (vitabu vya ziada, viteule na gazeti la Taifa Leo) zilitumika sana Kakamega hali iliyochangia matokeo yao kuwa bora kiasi kuliko ya Kisumu. Mbinu za jadi zilichangamkiwa zaidi katika kaunti zote madjhali mbinu za kidijitali hazikutumiwa sana.Ilibainika kuwa pana uhusiano kati ya mielekeo, utendakazi na matokeo ya wanafunzi somoni; mielekeo chanya iliathiri utendakazi na matokeo kwa namna chanya bali mielekeo hasi ikiathiri haya yote kwa namna hasi. Walimu waboreshe mbnu na nyenzo wanazozitumia kufunza Kiswahili ili matokeo yake yapate kuimarika zaidi katika shule zote, kaunti zote na nchini