{"title":"USOMAJI-HAKIKI: MKAKATI WA UELEKEZAJI WA MBINU ZA UANDISHI KATIKA RIWAYA","authors":"J. N. Maitaria","doi":"10.58721/jkal.v1i1.96","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa. Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"23 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.96","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa. Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.