Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili

Dinah Sungu Osango, M. Mbatiah, Rayya Timammy
{"title":"Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili","authors":"Dinah Sungu Osango, M. Mbatiah, Rayya Timammy","doi":"10.58721/jkal.v2i1.410","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanachunguza ngazi ya utambuzi na uamilifu wake katika riwaya za Kiswahili zilizoteuliwa makusudi kwa uchunguzi huu.  Riwaya hizo ni; Nyuso za Mwanamke (S. Mohamed, 2010), Harufu ya Mapera (K. Wamitila, 2012), Hujafa Hujaumbika (F. Kagwa, 2018), Haini (A. Shafi, 2002), na Ndoto ya Almasi (K. Walibora, 2006). Ngazi ya utambuzi ni mojawapo ya ngazi mbalimbali za ufokasi zilizopendekezwa na wananaratolojia. Kimsingi, ufokasi ni mtazamo ambao huchukuliwa katika kuwasilisha simulizi na kuikuza hadithi kwa ujumla. Data ya kuudhibiti na kuthibitisha madai ya mjadala wetu imetolewa katika riwaya teule.  Uteuzi wa riwaya hizi unahalalishwa kwa misingi kwamba, hizi ni riwaya zilizo na matini pana zinazowezesha udondoaji wa mifano faafu inayodhihirisha ngazi za ufokasi na wakati huo huo kudhihirisha uamilifu wa ngazi hizo katika simulizi. Mjadala wa kimsingi katika makala haya umekitwa na kuongozwa na madai ya teneti za kimsingi za nadharia ya naratolojia ambayo inatambua ufokasi na uhusika kama vipengele muhimu katika uwasilishaji wa simulizi.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"405 28","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-01-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.410","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala haya yanachunguza ngazi ya utambuzi na uamilifu wake katika riwaya za Kiswahili zilizoteuliwa makusudi kwa uchunguzi huu.  Riwaya hizo ni; Nyuso za Mwanamke (S. Mohamed, 2010), Harufu ya Mapera (K. Wamitila, 2012), Hujafa Hujaumbika (F. Kagwa, 2018), Haini (A. Shafi, 2002), na Ndoto ya Almasi (K. Walibora, 2006). Ngazi ya utambuzi ni mojawapo ya ngazi mbalimbali za ufokasi zilizopendekezwa na wananaratolojia. Kimsingi, ufokasi ni mtazamo ambao huchukuliwa katika kuwasilisha simulizi na kuikuza hadithi kwa ujumla. Data ya kuudhibiti na kuthibitisha madai ya mjadala wetu imetolewa katika riwaya teule.  Uteuzi wa riwaya hizi unahalalishwa kwa misingi kwamba, hizi ni riwaya zilizo na matini pana zinazowezesha udondoaji wa mifano faafu inayodhihirisha ngazi za ufokasi na wakati huo huo kudhihirisha uamilifu wa ngazi hizo katika simulizi. Mjadala wa kimsingi katika makala haya umekitwa na kuongozwa na madai ya teneti za kimsingi za nadharia ya naratolojia ambayo inatambua ufokasi na uhusika kama vipengele muhimu katika uwasilishaji wa simulizi.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili
在本研究中,我们调查了斯瓦希里语对斯瓦希里语发展的影响。 这些地区包括:Nyuso za Mwanamke(S. Mohamed,2010 年)、Harufu ya Mapera(K. Wamitila,2012 年)、Hujafa Hujaumbika(F. Kagwa,2018 年)、Haini(A. Shafi,2002 年)和 Ndoto ya Almasi(K. Walibora,2006 年)。没有证据表明生活在这些地区的人口数量大幅增加。本研究分析了模拟研究的结果。收集到的数据都是模拟哈迪提哈迪提的数据,并没有对数据进行分析。 例如,如果你是一个成年人,你就会发现,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子。在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji Epistemolojia ya Waafrika katika Semi Zilizoandikwa kwenye Vazi la Kanga za Waswahili Tathmini ya Matumizi ya Akili Unde Kama Nyenzo ya Kutafsiri Matini za Kiingereza Kwenda Kiswahili Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1