Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege[1], na anayeshindwa kukabiliana vyema na uhalisia wake (Wamitila, 2002). Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua. Hivi ndivyo anavyofanya Euphrase Kezilahabi katika riwaya ya Kichwamaji (1974) anapomuumba mhusika anayejiua. Hata hivyo, kwa kuwa kujiua huambatana na viashiria mbalimbali, makala haya yanajadili viashiria vya kujiua kwa mhusika mkuu katika riwaya teule tu. Riwaya hiyo imeteuliwa kwa sababu ina mawanda ya kutosha yaliyowezesha kupata data zilizolengwa katika makala haya. Pia, riwaya hiyo imeteuliwa kama sampuli ya kuwakilisha riwaya nyingine zenye viashiria vya kujiua. Misingi ya Nadharia ya Udhanaishi imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa matini. Mjadala umebainisha kwamba katika riwaya ya Kichwamaji vipo viashiria vinne vya kujiua vilivyomkumba Kazimoto kabla ya kujiua kwake. Viashiria hivyo ni kukata tamaa, kujitenga kijamii, kuzungumzia masuala ya kujiua na mabadiliko ya tabia. Makala yanahitimisha kwamba jamii inahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu kujiua kwa wahusika pamoja na viashiria vyake ili iweze kumtambua na kumsaidia mtu mwenye viashiria vya kujiua. [1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi. Kwa mujibu wa Esslin (2001), ubwege ni hali ya kukosa nia ya kufanya jambo fulani na kutengwa katika imani za kidini, tabia za kiungu na mizizi ya akili na mawazo ya mtu. Hii ina maana kwamba ubwege ni kitendo cha kudadisi hali ya binadamu ya kuendelea kuishi ilhali maisha hayana maana tena.
我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益。Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua.在 Kichwamaji(1974 年)的研究中,我们发现了 "Euphrase Kezilahabi "这个词。在过去的日子里,我们的生活充满了变化,我们的生活方式也发生了变化,我们的生活方式也发生了变化,我们的生活方式也发生了变化。我们还将继续努力,以确保数据的准确性。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。Udhanaishi Nadharia Misingi ya imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo.数据可用于对母婴的监测。我们的目标是,在未来的几年里,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家,让更多的人了解我们的国家。卡齐姆巴-卡齐姆巴(Kazimoto Kazimoto)是一个在非洲和亚洲都有声望的人,他的名字叫 "卡齐姆巴"(Kazimoto Kazimoto)。我们还将继续努力,使我们的国家更加强大,使我们的人民更加幸福。 [1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi.在埃斯林的著作(2001 年)中,"库克萨 "的意思是 "库房",而 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子"、"孩子 "和 "孩子 "的意思是 "孩子 "和 "孩子"。我们还将继续努力,以实现我们的目标。
{"title":"Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji","authors":"Adria Fuluge","doi":"10.58721/jkal.v2i1.548","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.548","url":null,"abstract":"Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege[1], na anayeshindwa kukabiliana vyema na uhalisia wake (Wamitila, 2002). Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua. Hivi ndivyo anavyofanya Euphrase Kezilahabi katika riwaya ya Kichwamaji (1974) anapomuumba mhusika anayejiua. Hata hivyo, kwa kuwa kujiua huambatana na viashiria mbalimbali, makala haya yanajadili viashiria vya kujiua kwa mhusika mkuu katika riwaya teule tu. Riwaya hiyo imeteuliwa kwa sababu ina mawanda ya kutosha yaliyowezesha kupata data zilizolengwa katika makala haya. Pia, riwaya hiyo imeteuliwa kama sampuli ya kuwakilisha riwaya nyingine zenye viashiria vya kujiua. Misingi ya Nadharia ya Udhanaishi imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa matini. Mjadala umebainisha kwamba katika riwaya ya Kichwamaji vipo viashiria vinne vya kujiua vilivyomkumba Kazimoto kabla ya kujiua kwake. Viashiria hivyo ni kukata tamaa, kujitenga kijamii, kuzungumzia masuala ya kujiua na mabadiliko ya tabia. Makala yanahitimisha kwamba jamii inahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu kujiua kwa wahusika pamoja na viashiria vyake ili iweze kumtambua na kumsaidia mtu mwenye viashiria vya kujiua. \u0000 \u0000[1]Mtazamo wa kidhanaishi unaopinga kuwepo kwa maana na ufahamu katika maisha ya binadamu, kutokana na kukata tamaa na kukosa tumaini la kuishi. Kwa mujibu wa Esslin (2001), ubwege ni hali ya kukosa nia ya kufanya jambo fulani na kutengwa katika imani za kidini, tabia za kiungu na mizizi ya akili na mawazo ya mtu. Hii ina maana kwamba ubwege ni kitendo cha kudadisi hali ya binadamu ya kuendelea kuishi ilhali maisha hayana maana tena.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"116 17","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-05-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"141124262","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Epistemolojia ya Waafrika, wakiwamo Waswahili hubainika kupitia sanaa inayobeba mitazamo inayozingatiwa katika jamii yao. Moja kati ya mambo yanayobainisha sanaa ya Waswahili ni vazi la kanga. Kwa jumla, usanaa katika vazi hilo hudhihirika kupitia maumbo au michoro na lugha ya kiufundi ambayo hubeba semi kama vile, mafumbo, methali na misemo. Vazi la kanga huthaminiwa na hutumiwa kwa namna mbalimbali katika maisha ya Waswahili, mathalani, kufunga kiunoni, kichwani, kujifunika na kama pambo (Hanby na Bygott, 1984). Kwa jumla, semi zilizoandikwa kwenye vazi la kanga zimefafanuliwa zaidi katika muktadha wa dhamira na dhima pasipo kumakinikiwa kwa kina katika muktadha wa kiepistemolojia kulingana na kaida za Waswahili wenyewe. Hivyo, makala haya yanafafanua namna semi hizo zinavyobeba na kuhifadhi maarifa ya kiepistemolojia yanayosawiri maisha halisi ya Waswahili. Matokeo haya yaliyopatikana kupitia mbinu ya uchambuzi matini za kanga zinazotumiwa na Waswahili. Vilevile, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika kama mwegamo mkuu katika kuchunguza, kuchanganua na kuwasilisha data husika. Matokeo yanaonesha kuwa maandishi yaliyopo katika vazi la kanga yanahifadhi fasihi ya Waswahili, hususani semi ambazo hubainisha maarifa mbalimbali, yakiwemo ya kiepistemolojia. Hivyo, makala haya yanajadili baadhi ya vipengele hivyo ambavyo ni: maarifa kuhusu kuwapo kwa kani kuu, thamani ya kazi, heshima na utiifu na uvumilivu.
在瓦夫里卡语的认识论中,瓦斯瓦希里语是 "在语言上,在文化上,在行为上"。我们的目标是,在全球范围内,让瓦斯瓦希里语成为我们的语言。从现在开始,我们将在瓦斯语中使用""、""、""、""、""、""、""等词。在瓦斯瓦希里语、马萨拉尼语、库芬加基努尼语、基丘瓦尼语、库吉夫尼卡语和潘波语中,都有 "huthaminiwa na hutumiwa kwa namna mbalimbali katika maisha ya Waswahili, mathalani, kufunga kiunoni, kichwani, kujifunika na kama pambo"(Hanby na Bygott,1984 年)。在过去的十年中,半语种的语言学家们通过对华语语言的研究,发现了许多新的语种,如华语的 "谚语"、华语的 "谚语 "和华语的 "谚语"。在未来,我们还将继续加强华语教学。在瓦斯瓦希里语中,""""""""""""""等词是最常用的词组。在瓦斯瓦希里语中,"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半"、"半 "等词的用法都是一样的。在今后的日子里,我们还将继续努力,使瓦斯瓦希里语的语言更加流畅,使瓦斯瓦希里语的语言更加流畅,使瓦斯瓦希里语的语言更加流畅,使瓦斯瓦希里语的语言更加流畅。
{"title":"Epistemolojia ya Waafrika katika Semi Zilizoandikwa kwenye Vazi la Kanga za Waswahili","authors":"Martina Duwe","doi":"10.58721/jkal.v2i2.522","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i2.522","url":null,"abstract":"Epistemolojia ya Waafrika, wakiwamo Waswahili hubainika kupitia sanaa inayobeba mitazamo inayozingatiwa katika jamii yao. Moja kati ya mambo yanayobainisha sanaa ya Waswahili ni vazi la kanga. Kwa jumla, usanaa katika vazi hilo hudhihirika kupitia maumbo au michoro na lugha ya kiufundi ambayo hubeba semi kama vile, mafumbo, methali na misemo. Vazi la kanga huthaminiwa na hutumiwa kwa namna mbalimbali katika maisha ya Waswahili, mathalani, kufunga kiunoni, kichwani, kujifunika na kama pambo (Hanby na Bygott, 1984). Kwa jumla, semi zilizoandikwa kwenye vazi la kanga zimefafanuliwa zaidi katika muktadha wa dhamira na dhima pasipo kumakinikiwa kwa kina katika muktadha wa kiepistemolojia kulingana na kaida za Waswahili wenyewe. Hivyo, makala haya yanafafanua namna semi hizo zinavyobeba na kuhifadhi maarifa ya kiepistemolojia yanayosawiri maisha halisi ya Waswahili. Matokeo haya yaliyopatikana kupitia mbinu ya uchambuzi matini za kanga zinazotumiwa na Waswahili. Vilevile, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika kama mwegamo mkuu katika kuchunguza, kuchanganua na kuwasilisha data husika. Matokeo yanaonesha kuwa maandishi yaliyopo katika vazi la kanga yanahifadhi fasihi ya Waswahili, hususani semi ambazo hubainisha maarifa mbalimbali, yakiwemo ya kiepistemolojia. Hivyo, makala haya yanajadili baadhi ya vipengele hivyo ambavyo ni: maarifa kuhusu kuwapo kwa kani kuu, thamani ya kazi, heshima na utiifu na uvumilivu.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"58 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-05-04","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"141013978","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Dhana ya akili unde au akili bandia inarejelea mwigo au ukadiriaji wa akili ya binadamu katika mashine. Lengo la akili unde ni pamoja na matumizi ya kompyuta yaliyoboreshwa kuhoji na kutambua mambo anuwai unde na ya tasnia mbalimbali (Jurafsky na Martin, 2020). Makala hii inalenga kutathmini matumizi ya akili unde kama nyenzo ya kutafsiri matini za Kiingereza kwenda Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa maktabani kwa kupitia maandiko na pia uwandani kwa kuwahoji wanataaluma mbalimbali. Uchambuzi na uwasilishaji wa data ya makala hii umeongozwa na Mkabala wa Uchambuzi wa Maudhui ya Krippendorff (2004). Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa akili unde ina ubora kwa vile hufanya kazi kwa kasi, gharama ni nafuu, urahisi, kutafsiri lugha nyingi na unyumbufu wa kuunganishwa na teknolojia nyingine. Kwa upande mwingine makala hii imebainisha udhaifu wa matumizi ya akili unde kama vile kutozingatia muktadha, kukosa ubunifu, tofauti za kiisimu, kukosa usalama na upinzani wa wanaisimu. Kutokana na udhaifu huo, Makala hii inapendekeza kuwa uwekwe uangalizi wa binadamu katika mifumo, kushughulikia utata, kuboresha mifumo kila muda, kuwekwe sehemu ya maoni ya mtumiaji na matumizi ya mbinu msetu. Hivyo, ni muhimu kuweka usawa kati ya ufanisi wa mashine na uelewa wa watafsiri wa kibinadamu katika uendelezaji na utekelezaji wa akili unde katika tafsiri.
有很多事情可以说,有很多事情可以说,有很多事情可以说。Lengo la akili unde ni pamoja na matumizi ya kompyuta yaliyoboreshwa kuhoji na kutambua mambo anuwai unde na ya tasnia mbalimbali (Jurafsky na Martin, 2020)。该数据是以 Kiingereza Kwenda Kiswahili 语的含义为基础的。这些数据的依据是,"maktabani "是造成 "mbalimbali "的主要原因。Uchambuzi 的数据基于 Krippendorff(2004 年)的 umeongozwa Mkabala wa Uchambuzi wa Maudhui ya Krippendorff。这些数据是根据 Krippendorff(2004 年)的 Mkabala wa Uchambuzi wa Maudhui ya Krippendorff 编制的。我们致力于为您提供最好的服务和产品,帮助您实现目标。如果您想了解更多关于我们的信息,请联系我们,我们将竭诚为您服务。
{"title":"Tathmini ya Matumizi ya Akili Unde Kama Nyenzo ya Kutafsiri Matini za Kiingereza Kwenda Kiswahili","authors":"H. Jilala","doi":"10.58721/jkal.v2i2.518","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i2.518","url":null,"abstract":"Dhana ya akili unde au akili bandia inarejelea mwigo au ukadiriaji wa akili ya binadamu katika mashine. Lengo la akili unde ni pamoja na matumizi ya kompyuta yaliyoboreshwa kuhoji na kutambua mambo anuwai unde na ya tasnia mbalimbali (Jurafsky na Martin, 2020). Makala hii inalenga kutathmini matumizi ya akili unde kama nyenzo ya kutafsiri matini za Kiingereza kwenda Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa maktabani kwa kupitia maandiko na pia uwandani kwa kuwahoji wanataaluma mbalimbali. Uchambuzi na uwasilishaji wa data ya makala hii umeongozwa na Mkabala wa Uchambuzi wa Maudhui ya Krippendorff (2004). Matokeo ya uchunguzi yanaonesha kuwa akili unde ina ubora kwa vile hufanya kazi kwa kasi, gharama ni nafuu, urahisi, kutafsiri lugha nyingi na unyumbufu wa kuunganishwa na teknolojia nyingine. Kwa upande mwingine makala hii imebainisha udhaifu wa matumizi ya akili unde kama vile kutozingatia muktadha, kukosa ubunifu, tofauti za kiisimu, kukosa usalama na upinzani wa wanaisimu. Kutokana na udhaifu huo, Makala hii inapendekeza kuwa uwekwe uangalizi wa binadamu katika mifumo, kushughulikia utata, kuboresha mifumo kila muda, kuwekwe sehemu ya maoni ya mtumiaji na matumizi ya mbinu msetu. Hivyo, ni muhimu kuweka usawa kati ya ufanisi wa mashine na uelewa wa watafsiri wa kibinadamu katika uendelezaji na utekelezaji wa akili unde katika tafsiri.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"21 7","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-05-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"141044719","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala haya yanahusu Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri. Inafahamika kuwa chimbuko la nadharia za tafsiri zilizopo ni nchi za Kimagharibi. Hata hivyo, katika nchi za Afrika taaluma ya tafsiri imepiga hatua kubwa ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuwa na wataalamu na wanataaluma wengi wa tafsiri, kufundishwa katika shule za sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu. Pamoja na maendeleo hayo, mpaka sasa hakuna nadharia ya tafsiri iliyobuliwa kupitia mazingira, muktadha na utamaduni wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya Ki-Afrika. Hivyo, makala haya yanalenga kujadili umuhimu wa kuunda nadharia za tafsiri kwa kutumia muktadha wa lugha za Ki-Afrika na kupendekeza hatua zitakazochukuliwa katika mchakato wa kuunda nadharia za tafsiri za Kiswahili. Makala yanajadili kwamba, pamoja na kuwapo kwa nadharia zilizoibuliwa na wanazuoni wa Kimagharibi, kuna umuhimu wa kuunda nadharia za tafsiri ambazo zimefungamana na muktadha, mazingira, mila, desturi, historia, lugha na utamaduni wa Ki-Afrika. Hii ni kwa sababu tafsiri hushughulika na lugha ambayo ni mali ya jamii yenye utamaduni mahususi. Hivyo, nadharia za tafsiri zilizofumbata mtazamo wa Ki-Afrika zitakuwa msingi, dira na mwongozo wa kinadharia na kivitendo katika kushughulikia tafsiri za matini mbalimbali za lugha za Ki-Afrika, hasa zinazohusu dhana za kiutamaduni na fasihi. Vilevile nadharia hizo zitakuwa ni suluhisho la matatizo na changamoto za tafsiri kiisimu, kisemantiki, kiutamaduni na kifasihi. Makala haya yanapendekeza kuwa nadharia za tafsiri zinaweza kuundwa kwa kutumia mbinu mbalimbali kama vile kuunda nadharia mpya, kuasili nadharia zilizopo na kuziboresha nadharia hizo.
Makala haya yanahusu Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri.在 "非洲"(Ki-Afrika)中,"塔夫西里"(Tafsiri)一词的意思是 "非洲"(Kimagharibi)。在未来,非洲的非洲人将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人,他们将成为非洲的主人。在此背景下,我们需要在斯瓦希里语和非洲语之间建立联系。今后,在非洲语言地区的语言学习中,我们将继续加强对斯瓦希里语语言学习的支持。我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区。在非洲的历史中,有许多重要的历史事件,其中包括 "非洲大饥荒"、"非洲大饥荒"、"非洲大饥荒"、"非洲大饥荒"、"非洲大饥荒"、"非洲大饥荒 "等。此外,在非洲地区,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中,在非洲土著居民的生活中。我们还可以通过 "唤醒"(zitakuwa ni suluhisho la matatizo na changamoto za tafsiri kiisimu, kisemantiki, kiutamaduni na kifasihi)来实现这些目标。我们还将继续努力,以实现我们的目标。
{"title":"Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri","authors":"H. Jilala","doi":"10.58721/jkal.v2i1.491","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.491","url":null,"abstract":"Makala haya yanahusu Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri. Inafahamika kuwa chimbuko la nadharia za tafsiri zilizopo ni nchi za Kimagharibi. Hata hivyo, katika nchi za Afrika taaluma ya tafsiri imepiga hatua kubwa ya maendeleo ikiwa ni pamoja na kuwa na wataalamu na wanataaluma wengi wa tafsiri, kufundishwa katika shule za sekondari, vyuo vya kati na vyuo vikuu. Pamoja na maendeleo hayo, mpaka sasa hakuna nadharia ya tafsiri iliyobuliwa kupitia mazingira, muktadha na utamaduni wa lugha ya Kiswahili kama lugha ya Ki-Afrika. Hivyo, makala haya yanalenga kujadili umuhimu wa kuunda nadharia za tafsiri kwa kutumia muktadha wa lugha za Ki-Afrika na kupendekeza hatua zitakazochukuliwa katika mchakato wa kuunda nadharia za tafsiri za Kiswahili. Makala yanajadili kwamba, pamoja na kuwapo kwa nadharia zilizoibuliwa na wanazuoni wa Kimagharibi, kuna umuhimu wa kuunda nadharia za tafsiri ambazo zimefungamana na muktadha, mazingira, mila, desturi, historia, lugha na utamaduni wa Ki-Afrika. Hii ni kwa sababu tafsiri hushughulika na lugha ambayo ni mali ya jamii yenye utamaduni mahususi. Hivyo, nadharia za tafsiri zilizofumbata mtazamo wa Ki-Afrika zitakuwa msingi, dira na mwongozo wa kinadharia na kivitendo katika kushughulikia tafsiri za matini mbalimbali za lugha za Ki-Afrika, hasa zinazohusu dhana za kiutamaduni na fasihi. Vilevile nadharia hizo zitakuwa ni suluhisho la matatizo na changamoto za tafsiri kiisimu, kisemantiki, kiutamaduni na kifasihi. Makala haya yanapendekeza kuwa nadharia za tafsiri zinaweza kuundwa kwa kutumia mbinu mbalimbali kama vile kuunda nadharia mpya, kuasili nadharia zilizopo na kuziboresha nadharia hizo.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"136 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-04-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"140706671","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala haya yanachunguza ngazi ya utambuzi na uamilifu wake katika riwaya za Kiswahili zilizoteuliwa makusudi kwa uchunguzi huu. Riwaya hizo ni; Nyuso za Mwanamke (S. Mohamed, 2010), Harufu ya Mapera (K. Wamitila, 2012), Hujafa Hujaumbika (F. Kagwa, 2018), Haini (A. Shafi, 2002), na Ndoto ya Almasi (K. Walibora, 2006). Ngazi ya utambuzi ni mojawapo ya ngazi mbalimbali za ufokasi zilizopendekezwa na wananaratolojia. Kimsingi, ufokasi ni mtazamo ambao huchukuliwa katika kuwasilisha simulizi na kuikuza hadithi kwa ujumla. Data ya kuudhibiti na kuthibitisha madai ya mjadala wetu imetolewa katika riwaya teule. Uteuzi wa riwaya hizi unahalalishwa kwa misingi kwamba, hizi ni riwaya zilizo na matini pana zinazowezesha udondoaji wa mifano faafu inayodhihirisha ngazi za ufokasi na wakati huo huo kudhihirisha uamilifu wa ngazi hizo katika simulizi. Mjadala wa kimsingi katika makala haya umekitwa na kuongozwa na madai ya teneti za kimsingi za nadharia ya naratolojia ambayo inatambua ufokasi na uhusika kama vipengele muhimu katika uwasilishaji wa simulizi.
在本研究中,我们调查了斯瓦希里语对斯瓦希里语发展的影响。 这些地区包括:Nyuso za Mwanamke(S. Mohamed,2010 年)、Harufu ya Mapera(K. Wamitila,2012 年)、Hujafa Hujaumbika(F. Kagwa,2018 年)、Haini(A. Shafi,2002 年)和 Ndoto ya Almasi(K. Walibora,2006 年)。没有证据表明生活在这些地区的人口数量大幅增加。本研究分析了模拟研究的结果。收集到的数据都是模拟哈迪提哈迪提的数据,并没有对数据进行分析。 例如,如果你是一个成年人,你就会发现,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子,你是一个孩子。在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的,比如说,在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的。
{"title":"Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili","authors":"Dinah Sungu Osango, M. Mbatiah, Rayya Timammy","doi":"10.58721/jkal.v2i1.410","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.410","url":null,"abstract":"Makala haya yanachunguza ngazi ya utambuzi na uamilifu wake katika riwaya za Kiswahili zilizoteuliwa makusudi kwa uchunguzi huu. Riwaya hizo ni; Nyuso za Mwanamke (S. Mohamed, 2010), Harufu ya Mapera (K. Wamitila, 2012), Hujafa Hujaumbika (F. Kagwa, 2018), Haini (A. Shafi, 2002), na Ndoto ya Almasi (K. Walibora, 2006). Ngazi ya utambuzi ni mojawapo ya ngazi mbalimbali za ufokasi zilizopendekezwa na wananaratolojia. Kimsingi, ufokasi ni mtazamo ambao huchukuliwa katika kuwasilisha simulizi na kuikuza hadithi kwa ujumla. Data ya kuudhibiti na kuthibitisha madai ya mjadala wetu imetolewa katika riwaya teule. Uteuzi wa riwaya hizi unahalalishwa kwa misingi kwamba, hizi ni riwaya zilizo na matini pana zinazowezesha udondoaji wa mifano faafu inayodhihirisha ngazi za ufokasi na wakati huo huo kudhihirisha uamilifu wa ngazi hizo katika simulizi. Mjadala wa kimsingi katika makala haya umekitwa na kuongozwa na madai ya teneti za kimsingi za nadharia ya naratolojia ambayo inatambua ufokasi na uhusika kama vipengele muhimu katika uwasilishaji wa simulizi.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"405 28","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"140490453","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala haya yanachunguza matumizi ya uchopekaji wa vipande vya simulizi katika riwaya mbili za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Uchunguzi huu uliongozwa na Nadharia ya Ubaadausasa ambayo hupendekeza uanuwai wa mawazo kwa kukaidi kuwepo na mtazamo mmoja wa kueleza ulimwengu na tajriba za binadamu, au simulizi kuu. Uchanganuzi umedhihirisha kuwa mwandishi wa riwaya hizi alitumia kimakusudi vipengele vya kibaadausasa ili kukaidi simulizi kuu zilizotawala. Riwaya hizi zilitumia uchopekaji wa vipande vya simulizi kuvuruga urazini, mshikamano, na muumano wa usimulizi wa riwaya za kimapokeo. Kimaudhui, riwaya hizi zinasaili mwelekeo chanya uliohusishwa na uhuru. Zinaonyesha kuwa mataifa mengi ya Afrika yametawaliwa na hali ya utamauishi baada ya uhuru. Vilevile, misaada inayotolewa na mataifa ya ulaya hutumika kama chambo cha kueneza ukoloni mamboleo katika mataifa ya Afrika. Hali kadhalika, riwaya hizi zinaonyesha changamoto ambazo wahamiaji hupitia wanapohamia ughaibuni kutafuta maisha bora. Ni bayana kuwa mwandishi wa riwaya hizi ametumia mtindo wa uandishi wa ubaadausasa kama mbinu ya kiumbuji inayokaidi uandishi wa kimapokeo. Vilevile, riwaya hizi zimetumika kudhihirisha fujo, ghasia, na ukosefu wa mshikamano katika ulimwengu wa karne ya ishirini na moja.
在 S. A. Mohamed、Dunia Yao(2006 年)和 Nyuso za Mwanamke(2010 年)等人的著作中,他们都有类似的论述。Uchunguzi huu uliongozwa na Nadharia ya Ubaadausasa ambayo hupendekeza uanuwai wa mawazo kwa kukaidi kuwepo na mtazamo mmoja wa kueleza ulimwengu na tajriba za binadamu, au simulizi kuu.在 "飓风 "的影响下,"飓风 "的影响范围扩大到了 "飓风 "的所有地区,以及 "飓风 "的所有 "模拟 "地区。我们还将继续努力,在我们的努力下,让我们的生活更加美好。我们要做的是,在我们的国家,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是。在非洲,有许多人都在为非洲的发展而努力。在非洲地区,有很多人都不知道自己在做什么。在这里,我们要强调的是,在非洲,我们要做的是 "以人为本",而不是 "以暴制暴"。我们的国家将在 "飓风 "来临之际,为 "飓风 "提供更多的帮助。此外,在 "ishirini "和 "moja "中的 "ulimwengu "中,"riwaya hizi "是 "kudhihirisha fujo"、"ghasia "和 "ukosefu wa mshikamano"。
{"title":"Uchopekaji wa Vipande vya Simulizi katika Riwaya za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso na Mwanamke (2010)","authors":"Mary Njambi Muigai, I. Mwamzandi, Robert Oduori","doi":"10.58721/jkal.v2i1.409","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.409","url":null,"abstract":"Makala haya yanachunguza matumizi ya uchopekaji wa vipande vya simulizi katika riwaya mbili za S. A. Mohamed, Dunia Yao (2006) na Nyuso za Mwanamke (2010). Uchunguzi huu uliongozwa na Nadharia ya Ubaadausasa ambayo hupendekeza uanuwai wa mawazo kwa kukaidi kuwepo na mtazamo mmoja wa kueleza ulimwengu na tajriba za binadamu, au simulizi kuu. Uchanganuzi umedhihirisha kuwa mwandishi wa riwaya hizi alitumia kimakusudi vipengele vya kibaadausasa ili kukaidi simulizi kuu zilizotawala. Riwaya hizi zilitumia uchopekaji wa vipande vya simulizi kuvuruga urazini, mshikamano, na muumano wa usimulizi wa riwaya za kimapokeo. Kimaudhui, riwaya hizi zinasaili mwelekeo chanya uliohusishwa na uhuru. Zinaonyesha kuwa mataifa mengi ya Afrika yametawaliwa na hali ya utamauishi baada ya uhuru. Vilevile, misaada inayotolewa na mataifa ya ulaya hutumika kama chambo cha kueneza ukoloni mamboleo katika mataifa ya Afrika. Hali kadhalika, riwaya hizi zinaonyesha changamoto ambazo wahamiaji hupitia wanapohamia ughaibuni kutafuta maisha bora. Ni bayana kuwa mwandishi wa riwaya hizi ametumia mtindo wa uandishi wa ubaadausasa kama mbinu ya kiumbuji inayokaidi uandishi wa kimapokeo. Vilevile, riwaya hizi zimetumika kudhihirisha fujo, ghasia, na ukosefu wa mshikamano katika ulimwengu wa karne ya ishirini na moja.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"167 6","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-27","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"140492581","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Watafiti wa makaka hii wanaangazia hali ya lugha ya Kiswahili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA[1] kuanzia sasa). Azma ya uchunguzi huo ni kutaka kubaini endapo lugha ya Kiswahili inapewa nafasi stahiki katika Chuo hicho au la. Hii inatokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya taasisi ambazo zinaithamini sana lugha ya Kiswahili na kuipa nafasi sawa na lugha nyingine za kigeni. Hata hivyo, zipo baadhi ya taasisi ambazo zinaibeza lugha hii na kuiona kama kwamba haina nafasi yoyote kitaaluma na kimawasiliano. Data ya makala hii imekusanywa kupitia njia tatu: upitiaji wa nyaraka mbalimbali kutoka maktabani, usaili na ushuhudiaji. Hivyo, njia zote hizo kwa pamoja zimetusaidia kupata data faafu na ya kutosha kulingana na malengo ya makala hii. Vilevile, uchambuzi wa data katika utafiti huu, umetumia mkabala wa kitaamuli ambapo mbinu za kimaelezo na kiufafanuzi zimetumika katika kudadavua vipengele mbalimbali ambavyo vimebainishwa. Sanjari na mkabala huo, tumetumia pia mkabala wa kitakwimu ambao kimsingi umejikita katika uchambuzi wa data kwa kutumia namba. Mkabala huu ulitumika pale tu ilipobidi kufanya hivyo ili kuonesha idadi ya baadhi ya vipengele vilivyokuwa na uhitaji huo. Aidha, matokeo yameonesha kwamba, kuna mabadiliko na mafanikio makubwa MNMA katika kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili, tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Tunadiriki kusema hivyo kwa kuwa tumebaini juhudi lukuki za makusudi zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa kwa minajili ya kuikuza na kuiendeleza lugha hii ya Kiswahili. [1] The Mwalimu Nyerere Memorial Academy.
在 Mwalimu Nyerere(MNMA[1] kuanzia sasa)的 Chuo cha Kumbukumbu(MNMA[1] kuanzia sasa)中,我们可以使用斯瓦希里语进行学习。在《全国语言学会》(MNMA[1] kuanzia sasa)的《斯瓦希里语语言学》中,有这样一句话:"斯瓦希里语的语言学,在《全国语言学会》(Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, MNMA[1] kuanzia sasa)中是不存在的"。在斯瓦希里语的语言环境中,我们的语言是非常重要的。在今后的日子里,我们将继续加强对斯瓦希里语的学习,以便更好地理解斯瓦希里语。这些数据将帮助我们更好地了解国家的情况:国家的发展、国家的发展、国家的发展、国家的发展。因此,我们需要对这些数据进行分析,以确定其用途。此外,在数据的使用方面,我们还可以通过数据分析来帮助我们更有效地利用数据。在数据分析方面,我们将继续努力。这些数据可以帮助我们在今后的生活中更好地利用这些数据,同时也可以帮助我们在未来的生活中更好地利用这些数据。在斯瓦希里语的基础上,MNMA还将提供更多的机会,让更多的人了解斯瓦希里语。在新的一年里,我们将继续努力,使我们的工作更有成效。 [1] 姆瓦利姆-尼雷尔纪念学院。
{"title":"Hali ya Lugha ya Kiswahili katika Vyuo Vikuu nchini Tanzania: Mifano kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere","authors":"Sauda Uba Juma, Editha Adolph","doi":"10.58721/jkal.v1i2.394","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i2.394","url":null,"abstract":"Watafiti wa makaka hii wanaangazia hali ya lugha ya Kiswahili katika Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere (MNMA[1] kuanzia sasa). Azma ya uchunguzi huo ni kutaka kubaini endapo lugha ya Kiswahili inapewa nafasi stahiki katika Chuo hicho au la. Hii inatokana na ukweli kwamba kuna baadhi ya taasisi ambazo zinaithamini sana lugha ya Kiswahili na kuipa nafasi sawa na lugha nyingine za kigeni. Hata hivyo, zipo baadhi ya taasisi ambazo zinaibeza lugha hii na kuiona kama kwamba haina nafasi yoyote kitaaluma na kimawasiliano. Data ya makala hii imekusanywa kupitia njia tatu: upitiaji wa nyaraka mbalimbali kutoka maktabani, usaili na ushuhudiaji. Hivyo, njia zote hizo kwa pamoja zimetusaidia kupata data faafu na ya kutosha kulingana na malengo ya makala hii. Vilevile, uchambuzi wa data katika utafiti huu, umetumia mkabala wa kitaamuli ambapo mbinu za kimaelezo na kiufafanuzi zimetumika katika kudadavua vipengele mbalimbali ambavyo vimebainishwa. Sanjari na mkabala huo, tumetumia pia mkabala wa kitakwimu ambao kimsingi umejikita katika uchambuzi wa data kwa kutumia namba. Mkabala huu ulitumika pale tu ilipobidi kufanya hivyo ili kuonesha idadi ya baadhi ya vipengele vilivyokuwa na uhitaji huo. Aidha, matokeo yameonesha kwamba, kuna mabadiliko na mafanikio makubwa MNMA katika kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili, tofauti na ilivyokuwa hapo awali. Tunadiriki kusema hivyo kwa kuwa tumebaini juhudi lukuki za makusudi zilizofanywa na zinazoendelea kufanywa kwa minajili ya kuikuza na kuiendeleza lugha hii ya Kiswahili. \u0000 \u0000[1] The Mwalimu Nyerere Memorial Academy.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"9 1","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"139445287","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala hii inafafanua dhana za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja ya Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya. Vipengele vinavyohusika katika kuchunguza kufanana na kutofautiana huko ni vipengele vya tahajia na matamshi. Lengo la ulinganishi na ulinganuzi huo ni kubainisha ikiwa kuna ufanano na utofauti wa kimsamiati unaojitokeza katika lahaja hizi mbili za lugha ya Kihaya yaani Kihamba na Kiziba. Kwa mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia. Data ya makala hii imekusanywa uwandani katika eneo la Kyamutwala inakozungumzwa lahaja ya Kihamba. Kwa upande wa Kyamutwala, mtafiti amekusanya data katika kata za Kamachumu, Ibuga, Muhutwe na Izigo. Katika eneo la Kiziba data imekusanywa kutoka kata za Buyango, Bugandika, Ruzinga na Bwanjai inakozungumzwa lahaja ya Kiziba. Data hii ya uwandani imepatikana kwa mbinu ya ushuhudiaji, hojaji, usaili na uchanganuzi wa matini za maktabani. Mtafiti alishuhudia namna mbalimbali za kitahajia/hijai na kimatamshi kuhusiana na msamiati wa Kihaya katika lahaja ya Kihamba na Kiziba. Aidha, data ilikusanywa kupitia hojaji ambapo watafitiwa 80 waligawiwa dodoso na kuzijaza kikamilifu. Kupitia mbinu ya usaili, mtafiti alifanya mahojiano ya ana kwa ana na watafitiwa wa makala hii na kuweza kubaini ulinganifu na usiganifu uliopo baina ya msamiati wa lahaja zinazoshughulikiwa katika makala hii. Data ya maktabani ilipatikana kwa mapitio ya matini mbalimbali zinazohusiana na mada inayoshughulikiwa katika makala hii. Utafiti huu umeongozwa na Nadharia ya Umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba baadhi ya msamiati wa Kihamba na Kiziba hurandana na baadhi husigana. Pia zimetolewa sababau za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja hizo. Mtafiti wa makala hii anapendekeza tafiti fuatizi zifafanue kwa kina sababu za kutofautiana na kufanana kwa msamiati wa lahaja hizi tofauti na ilivyoelezewa katika makala hii kwani sababu ni nyingi. Aidha, makala hii itatoa hamasa kwa watafiti kufanya tafiti juu ya lahaja za lugha mbalimbali. Vilevile, makala hii inatoa mchango katika kukuza na kuendeleza lugha za Kibantu na taaluma ya isimu kwa ujumla. Pia itaongeza marejeleo faafu kwa watafiti wa isimu.
在基哈巴和基兹巴的基哈亚(Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya)地区,有一个新的工作领域,那就是 "在基哈巴和基兹巴的基哈亚(Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya)"。我们将继续努力,以实现我们的目标。这就是库班尼沙的""。In the case of the mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia.当你成为一名 Kihamba Kyamutwala inakozungumzwa lahaja 时,数据是你能做的最重要的事情。当你成为一名社会工作者时,数据是你所能做的最重要的事情,因为数据可以帮助你了解卡马楚穆(Kamachumu)、伊布加(Ibuga)、穆胡特韦(Muhutwe)和伊齐戈(Izigo)。基齐巴的数据来自布扬戈(Buyango)、布甘迪卡(Bugandika)、鲁津加(Ruzinga)和布万加(Bwanjai)的数据。数据的基础是缺乏知识、缺乏了解和缺乏理解的暗示。这些数据表明,在 "飓风 "的影响下,人们的生活方式发生了巨大变化。"飓风 "的出现,使人们的生活方式发生了巨大变化。艾达,数据显示,全市共有80人被确诊为糖尿病患者。此外,还利用马霍家诺字母表确定了过去有通奸行为的人数。这些数据是根据 mapitio 识别女性性取向的能力得出的。费迪南德-德-索绪尔的研究。Matokeo 是这项研究的重点,其目的是分析 Kihamba 和 Kiziba hurandana 之间的关系。我想,这也是我们的研究重点之一。"马托基奥说,"我想,这也是我们的研究重点之一。我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。此外,我们还将在 "Kibantu "与 "Isimu "之间建立联系。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活更美好。
{"title":"Kufanana na Kutofautiana kwa Msamiati katika Lahaja za Lugha ya Kihaya: Mifano kutoka Kihamba na Kiziba","authors":"Editha Adolph","doi":"10.58721/jkal.v1i2.231","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i2.231","url":null,"abstract":"Makala hii inafafanua dhana za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja ya Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya. Vipengele vinavyohusika katika kuchunguza kufanana na kutofautiana huko ni vipengele vya tahajia na matamshi. Lengo la ulinganishi na ulinganuzi huo ni kubainisha ikiwa kuna ufanano na utofauti wa kimsamiati unaojitokeza katika lahaja hizi mbili za lugha ya Kihaya yaani Kihamba na Kiziba. Kwa mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia. Data ya makala hii imekusanywa uwandani katika eneo la Kyamutwala inakozungumzwa lahaja ya Kihamba. Kwa upande wa Kyamutwala, mtafiti amekusanya data katika kata za Kamachumu, Ibuga, Muhutwe na Izigo. Katika eneo la Kiziba data imekusanywa kutoka kata za Buyango, Bugandika, Ruzinga na Bwanjai inakozungumzwa lahaja ya Kiziba. Data hii ya uwandani imepatikana kwa mbinu ya ushuhudiaji, hojaji, usaili na uchanganuzi wa matini za maktabani. Mtafiti alishuhudia namna mbalimbali za kitahajia/hijai na kimatamshi kuhusiana na msamiati wa Kihaya katika lahaja ya Kihamba na Kiziba. Aidha, data ilikusanywa kupitia hojaji ambapo watafitiwa 80 waligawiwa dodoso na kuzijaza kikamilifu. Kupitia mbinu ya usaili, mtafiti alifanya mahojiano ya ana kwa ana na watafitiwa wa makala hii na kuweza kubaini ulinganifu na usiganifu uliopo baina ya msamiati wa lahaja zinazoshughulikiwa katika makala hii. Data ya maktabani ilipatikana kwa mapitio ya matini mbalimbali zinazohusiana na mada inayoshughulikiwa katika makala hii. Utafiti huu umeongozwa na Nadharia ya Umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba baadhi ya msamiati wa Kihamba na Kiziba hurandana na baadhi husigana. Pia zimetolewa sababau za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja hizo. Mtafiti wa makala hii anapendekeza tafiti fuatizi zifafanue kwa kina sababu za kutofautiana na kufanana kwa msamiati wa lahaja hizi tofauti na ilivyoelezewa katika makala hii kwani sababu ni nyingi. Aidha, makala hii itatoa hamasa kwa watafiti kufanya tafiti juu ya lahaja za lugha mbalimbali. Vilevile, makala hii inatoa mchango katika kukuza na kuendeleza lugha za Kibantu na taaluma ya isimu kwa ujumla. Pia itaongeza marejeleo faafu kwa watafiti wa isimu.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-06-07","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"128703453","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Imebainika kuwa tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya wa Kiswahili nchini Tanzania imetekwa na utamaduni wa nje hususani wa Kinigeria (Mrikaria, 2007; Kasiga, 2022). Athari zake zimebainika katika vipengele kadhaa vya kibunifu (Kasiga, 2021). Pia, misukumo mbalimbali inayowasukuma wasanii kutumia U-Nigeria imebainishwa (Kasiga, 2022). Kimsingi, hali hii inatishia utambulisho wa Kitanzania katika sanaa. Hivyo, makala hii imetoa mapendekezo ya kiuboreshaji dhidi ya U-Nigeria katika video za nyimbo za muziki wa kizazi kipya wa Kiswahili nchini Tanzania. Mapendekezo yalitolewa yamehusisha kufanyika uwekezaji wa muziki wa asili wa Kitanzania, kufanyika kwa usimamizi maalumu katika vyombo vya habari, kuwepo kwa sheria na kanuni za kulinda uasili wa muziki wa kizazi kipya, na uanizhwaji wa semina, warsha pamoja na madarasa maalumu kwa wasanii. Pia, makala imependekeza kuwepo kwa agenda mahususi ya kitaifa kujenga uzalendo, kumakinikia mitindo ya sanaa za Kitanzania katika utengenezaji wa muziki, kuharakisha upatikanaji wa vazi la taifa, kuanzishwa kwa vipindi vya uchambuzi wa nyimbo, na wasanii kushawishiwa kutumia mandhari ya Kitanzania katika video zao. Vilevile, imependekezwa kuanzishwa kwa matamasha na tuzo za muziki, asasi za elimu kutengeneza mitaala ya biashara, lugha ya Kiswahili, na utamaduni wa Kitanzania, na kuwe na muumano kati ya biashara, utamaduni na teknolojia.
{"title":"UIBUKAJI WA U-NIGERIA KATIKA TASNIA YA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI TANZANIA: MASUALA MUHIMU YA KUZINGATIA","authors":"G. A. Kasiga","doi":"10.58721/jkal.v1i1.93","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.93","url":null,"abstract":"Imebainika kuwa tasnia ya Muziki wa Kizazi Kipya wa Kiswahili nchini Tanzania imetekwa na utamaduni wa nje hususani wa Kinigeria (Mrikaria, 2007; Kasiga, 2022). Athari zake zimebainika katika vipengele kadhaa vya kibunifu (Kasiga, 2021). Pia, misukumo mbalimbali inayowasukuma wasanii kutumia U-Nigeria imebainishwa (Kasiga, 2022). Kimsingi, hali hii inatishia utambulisho wa Kitanzania katika sanaa. Hivyo, makala hii imetoa mapendekezo ya kiuboreshaji dhidi ya U-Nigeria katika video za nyimbo za muziki wa kizazi kipya wa Kiswahili nchini Tanzania. Mapendekezo yalitolewa yamehusisha kufanyika uwekezaji wa muziki wa asili wa Kitanzania, kufanyika kwa usimamizi maalumu katika vyombo vya habari, kuwepo kwa sheria na kanuni za kulinda uasili wa muziki wa kizazi kipya, na uanizhwaji wa semina, warsha pamoja na madarasa maalumu kwa wasanii. Pia, makala imependekeza kuwepo kwa agenda mahususi ya kitaifa kujenga uzalendo, kumakinikia mitindo ya sanaa za Kitanzania katika utengenezaji wa muziki, kuharakisha upatikanaji wa vazi la taifa, kuanzishwa kwa vipindi vya uchambuzi wa nyimbo, na wasanii kushawishiwa kutumia mandhari ya Kitanzania katika video zao. Vilevile, imependekezwa kuanzishwa kwa matamasha na tuzo za muziki, asasi za elimu kutengeneza mitaala ya biashara, lugha ya Kiswahili, na utamaduni wa Kitanzania, na kuwe na muumano kati ya biashara, utamaduni na teknolojia.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"32 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"122213939","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala hii inachunguza vyanzo vya misimu kwa wanafunzi katika Kiswahili. Mtafiti ametumia mbinu za hojaji, usaili na uchambuzi wa matini. Mtafiti aligawa hojaji 15 kwa wanachuo 15 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Chuo hiki kinapatikana katika Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania. Aidha, mtafiti alisoma nyaraka zinazohusiana na mada husika kama vile: majarida na tasinifu. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uchanganuzi wa Kimaeneo ya Fishman (1972). Data ya makala hii imechambuliwa kwa kutumia mkabala wa maelezo. Matokeo ya makala hii yamebainisha kuwa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na kutumia msamiati sanifu pia hutumia misimu kutoka katika nyanja tofautitofauti katika mawasiliano yao ya kila siku. Mtafiti amechunguza misimu inayotokana na uwanja wa sanaa, siasa na michezo. Makala hii ni muhimu kwa wanaisimu kwani inabainisha misimu mbalimbali inayotumiwa na wanachuo wa chuo husika. Pia misimu tofautitofauti inayohusiana na nyanja za utani, soka na sanaa. Hii itatoa msukumo kwa wasanifishaji wa lugha ya Kiswahili kusanifisha misimu husika. Makala inapendekeza kuwa watafiti wa lugha wachunguze misimu inayotokana na mitandao ya kijamii, aina mbalimbali za misimu, misimu inayotumika katika maeneo mbalimbali kama vile shuleni, vijiweni, hospitalini na maofini.
{"title":"VYANZO VYA MISIMU KWA WANAFUNZI KATIKA KISWAHILI","authors":"Editha Adolph","doi":"10.58721/jkal.v1i1.92","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.92","url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza vyanzo vya misimu kwa wanafunzi katika Kiswahili. Mtafiti ametumia mbinu za hojaji, usaili na uchambuzi wa matini. Mtafiti aligawa hojaji 15 kwa wanachuo 15 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Chuo hiki kinapatikana katika Wilaya ya Ubungo mkoani Dar es Salaam nchini Tanzania. Aidha, mtafiti alisoma nyaraka zinazohusiana na mada husika kama vile: majarida na tasinifu. Makala hii imeongozwa na Nadharia ya Uchanganuzi wa Kimaeneo ya Fishman (1972). Data ya makala hii imechambuliwa kwa kutumia mkabala wa maelezo. Matokeo ya makala hii yamebainisha kuwa wanachuo wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam pamoja na kutumia msamiati sanifu pia hutumia misimu kutoka katika nyanja tofautitofauti katika mawasiliano yao ya kila siku. Mtafiti amechunguza misimu inayotokana na uwanja wa sanaa, siasa na michezo. Makala hii ni muhimu kwa wanaisimu kwani inabainisha misimu mbalimbali inayotumiwa na wanachuo wa chuo husika. Pia misimu tofautitofauti inayohusiana na nyanja za utani, soka na sanaa. Hii itatoa msukumo kwa wasanifishaji wa lugha ya Kiswahili kusanifisha misimu husika. Makala inapendekeza kuwa watafiti wa lugha wachunguze misimu inayotokana na mitandao ya kijamii, aina mbalimbali za misimu, misimu inayotumika katika maeneo mbalimbali kama vile shuleni, vijiweni, hospitalini na maofini.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"51 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"116353078","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}