Kufanana na Kutofautiana kwa Msamiati katika Lahaja za Lugha ya Kihaya: Mifano kutoka Kihamba na Kiziba

Editha Adolph
{"title":"Kufanana na Kutofautiana kwa Msamiati katika Lahaja za Lugha ya Kihaya: Mifano kutoka Kihamba na Kiziba","authors":"Editha Adolph","doi":"10.58721/jkal.v1i2.231","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala hii inafafanua dhana za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja ya Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya. Vipengele vinavyohusika katika kuchunguza kufanana na kutofautiana huko ni vipengele vya tahajia na matamshi. Lengo la ulinganishi na ulinganuzi huo ni kubainisha ikiwa kuna ufanano na utofauti wa kimsamiati unaojitokeza katika lahaja hizi mbili za lugha ya Kihaya yaani Kihamba na Kiziba. Kwa mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia. Data ya makala hii imekusanywa uwandani katika eneo la Kyamutwala inakozungumzwa lahaja ya Kihamba. Kwa upande wa Kyamutwala, mtafiti amekusanya data katika kata za Kamachumu, Ibuga, Muhutwe na Izigo. Katika eneo la Kiziba data imekusanywa kutoka kata za Buyango, Bugandika, Ruzinga na Bwanjai inakozungumzwa lahaja ya Kiziba. Data hii ya uwandani imepatikana kwa mbinu ya ushuhudiaji, hojaji, usaili na uchanganuzi wa matini za maktabani. Mtafiti alishuhudia namna mbalimbali za kitahajia/hijai na kimatamshi kuhusiana na msamiati wa Kihaya katika lahaja ya Kihamba na Kiziba. Aidha, data ilikusanywa kupitia hojaji ambapo watafitiwa 80 waligawiwa dodoso na kuzijaza kikamilifu. Kupitia mbinu ya usaili, mtafiti alifanya mahojiano ya ana kwa ana na watafitiwa wa makala hii na kuweza kubaini ulinganifu na usiganifu uliopo baina ya msamiati wa lahaja zinazoshughulikiwa katika makala hii. Data ya maktabani ilipatikana kwa mapitio ya matini mbalimbali zinazohusiana na mada inayoshughulikiwa katika makala hii. Utafiti huu umeongozwa na Nadharia ya Umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba baadhi ya msamiati wa Kihamba na Kiziba hurandana na baadhi husigana. Pia zimetolewa sababau za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja hizo. Mtafiti wa makala hii anapendekeza tafiti fuatizi zifafanue kwa kina sababu za kutofautiana na kufanana kwa msamiati wa lahaja hizi tofauti na ilivyoelezewa katika makala hii kwani sababu ni nyingi. Aidha, makala hii itatoa hamasa kwa watafiti kufanya tafiti juu ya lahaja za lugha mbalimbali. Vilevile, makala hii inatoa mchango katika kukuza na kuendeleza lugha za Kibantu na taaluma ya isimu kwa ujumla. Pia itaongeza marejeleo faafu kwa watafiti wa isimu.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-06-07","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i2.231","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala hii inafafanua dhana za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja ya Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya. Vipengele vinavyohusika katika kuchunguza kufanana na kutofautiana huko ni vipengele vya tahajia na matamshi. Lengo la ulinganishi na ulinganuzi huo ni kubainisha ikiwa kuna ufanano na utofauti wa kimsamiati unaojitokeza katika lahaja hizi mbili za lugha ya Kihaya yaani Kihamba na Kiziba. Kwa mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia. Data ya makala hii imekusanywa uwandani katika eneo la Kyamutwala inakozungumzwa lahaja ya Kihamba. Kwa upande wa Kyamutwala, mtafiti amekusanya data katika kata za Kamachumu, Ibuga, Muhutwe na Izigo. Katika eneo la Kiziba data imekusanywa kutoka kata za Buyango, Bugandika, Ruzinga na Bwanjai inakozungumzwa lahaja ya Kiziba. Data hii ya uwandani imepatikana kwa mbinu ya ushuhudiaji, hojaji, usaili na uchanganuzi wa matini za maktabani. Mtafiti alishuhudia namna mbalimbali za kitahajia/hijai na kimatamshi kuhusiana na msamiati wa Kihaya katika lahaja ya Kihamba na Kiziba. Aidha, data ilikusanywa kupitia hojaji ambapo watafitiwa 80 waligawiwa dodoso na kuzijaza kikamilifu. Kupitia mbinu ya usaili, mtafiti alifanya mahojiano ya ana kwa ana na watafitiwa wa makala hii na kuweza kubaini ulinganifu na usiganifu uliopo baina ya msamiati wa lahaja zinazoshughulikiwa katika makala hii. Data ya maktabani ilipatikana kwa mapitio ya matini mbalimbali zinazohusiana na mada inayoshughulikiwa katika makala hii. Utafiti huu umeongozwa na Nadharia ya Umuundo iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure. Matokeo ya utafiti huu yanaonesha kwamba baadhi ya msamiati wa Kihamba na Kiziba hurandana na baadhi husigana. Pia zimetolewa sababau za kufanana na kutofautiana kwa msamiati wa lahaja hizo. Mtafiti wa makala hii anapendekeza tafiti fuatizi zifafanue kwa kina sababu za kutofautiana na kufanana kwa msamiati wa lahaja hizi tofauti na ilivyoelezewa katika makala hii kwani sababu ni nyingi. Aidha, makala hii itatoa hamasa kwa watafiti kufanya tafiti juu ya lahaja za lugha mbalimbali. Vilevile, makala hii inatoa mchango katika kukuza na kuendeleza lugha za Kibantu na taaluma ya isimu kwa ujumla. Pia itaongeza marejeleo faafu kwa watafiti wa isimu.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
在基哈巴和基兹巴的基哈亚(Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya)地区,有一个新的工作领域,那就是 "在基哈巴和基兹巴的基哈亚(Kihamba na Kiziba katika lugha ya Kihaya)"。我们将继续努力,以实现我们的目标。这就是库班尼沙的""。In the case of the mujibu wa makala hii, eneo hili halijapewa aula na hivyo kumpa mtafiti laghba ya kulishughulikia.当你成为一名 Kihamba Kyamutwala inakozungumzwa lahaja 时,数据是你能做的最重要的事情。当你成为一名社会工作者时,数据是你所能做的最重要的事情,因为数据可以帮助你了解卡马楚穆(Kamachumu)、伊布加(Ibuga)、穆胡特韦(Muhutwe)和伊齐戈(Izigo)。基齐巴的数据来自布扬戈(Buyango)、布甘迪卡(Bugandika)、鲁津加(Ruzinga)和布万加(Bwanjai)的数据。数据的基础是缺乏知识、缺乏了解和缺乏理解的暗示。这些数据表明,在 "飓风 "的影响下,人们的生活方式发生了巨大变化。"飓风 "的出现,使人们的生活方式发生了巨大变化。艾达,数据显示,全市共有80人被确诊为糖尿病患者。此外,还利用马霍家诺字母表确定了过去有通奸行为的人数。这些数据是根据 mapitio 识别女性性取向的能力得出的。费迪南德-德-索绪尔的研究。Matokeo 是这项研究的重点,其目的是分析 Kihamba 和 Kiziba hurandana 之间的关系。我想,这也是我们的研究重点之一。"马托基奥说,"我想,这也是我们的研究重点之一。我们的目标是,通过我们的努力,让更多的人受益,让更多的人受益,让更多的人受益。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。此外,我们还将在 "Kibantu "与 "Isimu "之间建立联系。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活更美好。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Viashiria vya Kujiua: Uchunguzi wa Mhusika Kazimoto katika Riwaya ya Kichwamaji Epistemolojia ya Waafrika katika Semi Zilizoandikwa kwenye Vazi la Kanga za Waswahili Tathmini ya Matumizi ya Akili Unde Kama Nyenzo ya Kutafsiri Matini za Kiingereza Kwenda Kiswahili Mtazamo wa Ki-Afrika katika Nadharia za Tafsiri Uamilifu wa Ngazi ya Utambuzi katika Riwaya Teule za Kiswahili
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1