{"title":"Mapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za Gᴉrᴉmi","authors":"Rehema Stephano","doi":"10.1163/26836408-15020085","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasiliano katika Gᴉrᴉmi. Nomino (majina) ni miongoni mwa maneno yanayokopwa kutokana na umuhimu wake mkubwa katika lugha na mawasiliano kwa ujumla. Umuhimu huo ni kutambulisha watu, vitu, hali na mahali. Gᴉrᴉmi, kutokana na utangamano wake na Kiswahili, kinakopa na kutohoa nomino tofauti kwa lengo la kukidhi mawasiliano kulingana na wakati na mazingira ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii yanayoikabili lugha hiyo. Uchambuzi matini na usaili vimeonesha kwamba nomino za Kiswahili zinazokopwa na kupokelewa katika Gᴉrᴉmi ni za ngeli nane ambazo ni MU -/ WA -; MU -/ MI -; JI -, Ø-/ MA -; KI -/ VI -; N-/N-; U-/N-; U -/ MA -; na KU -, ambapo maumbo ya umoja na wingi, pamoja na sauti huchakatwa kulingana na mfumo lugha wa Gᴉrᴉmi. Hata hivyo, maana ya nomino inayokopwa hubaki ileile kama ilivyo katika lugha iliyokopesha. Kwa hiyo, inapendekezwa uchambuzi wowote wa mapokezi ya maneno uende sambamba na mfumo wa lugha inayokopa.","PeriodicalId":85828,"journal":{"name":"Utafiti","volume":"19 12","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-11-03","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Utafiti","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.1163/26836408-15020085","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Abstract
Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasiliano katika Gᴉrᴉmi. Nomino (majina) ni miongoni mwa maneno yanayokopwa kutokana na umuhimu wake mkubwa katika lugha na mawasiliano kwa ujumla. Umuhimu huo ni kutambulisha watu, vitu, hali na mahali. Gᴉrᴉmi, kutokana na utangamano wake na Kiswahili, kinakopa na kutohoa nomino tofauti kwa lengo la kukidhi mawasiliano kulingana na wakati na mazingira ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii yanayoikabili lugha hiyo. Uchambuzi matini na usaili vimeonesha kwamba nomino za Kiswahili zinazokopwa na kupokelewa katika Gᴉrᴉmi ni za ngeli nane ambazo ni MU -/ WA -; MU -/ MI -; JI -, Ø-/ MA -; KI -/ VI -; N-/N-; U-/N-; U -/ MA -; na KU -, ambapo maumbo ya umoja na wingi, pamoja na sauti huchakatwa kulingana na mfumo lugha wa Gᴉrᴉmi. Hata hivyo, maana ya nomino inayokopwa hubaki ileile kama ilivyo katika lugha iliyokopesha. Kwa hiyo, inapendekezwa uchambuzi wowote wa mapokezi ya maneno uende sambamba na mfumo wa lugha inayokopa.
Mapokezi ya Nomino za Kiswahili katika Ngeli za Nomino za Gopardmi
在斯瓦希里语中,"Ikisiri Lengo la makala hii ni kuonesha jinsi nomino za Kiswahili zinavyokopwa ili kukidhi mawasiliano katika Givalmi"。在 "汝 "和 "汝之 "之间的 "汝之 "和 "汝之 "之间的 "汝之 "和 "汝之 "的名称(majina)。我们要做的是,在我们的国家里,我们要做的是,在我们的国家里,我们要做的是,在我们的国家里,我们要做的是。在斯瓦希里语中,Kinakopa na kutohoa nomino tofauti kwa lengo la kukidhi mawasiliano kulingana na wakati na mazingira ya kiuchumi, kisiasa, kiutamaduni na kijamii yanayoikabili lugha hiyo。JI -, Ø-/ MA -; KI -/ VI -; N-/N-; U-/N-; U -/ MA -; na KU -, ambapo maumbo ya umoja na wingi, pamoja na sauti huchakatwa kulingana na mfumo lugha wa Gamationmi.在未来的日子里,我们将继续努力,为我们的国家提供更多的支持。在未来,我们还将继续努力,使我们的工作更上一层楼。