Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi

Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania
{"title":"Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi","authors":"Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania","doi":"10.4314/jclfkt.v4i4.1","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Binadamu anapokuwa na ujuzi wa lugha zaidi ya moja huzitumia zote katika mazungumzo yake. Hali hii hujulikana kuwa ni uhamishaji msimbo. Uchanganyaji wa mofimu na elementi za Kiswahili na Kiingereza hufanyika kwa haraka bila kumtatiza mzungumzaji au kukwamiza mawasiliano. Hali hii ndiyo imetupa ari ya kuutafitia uhamishaji huu. Tumeegemea mkabala wa kisarufi kubainisha sifa za kiisimu zinazodhihirika wakati lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika katika sentensi moja. Makala hii inalenga kudhihirisha ikiwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutekeleza majukumu sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote. Tumetumia modeli ya Kiunzi cha Lugha Msingi (K.L.M) ya Myers-Scotton (1993) kusaidia kutimiza malengo hayo. Data ya makala hii imetokana na mazungumzo ya vipindi viwili kutoka kwenye runinga. Uchanganuzi wa data umeonesha kwamba, lugha ya Kiswahili huwa na majukumu mengi ikilinganishwa na lugha ya Kiingereza. Pia, mofimu na elementi za lugha ya Kiingereza huchopekwa kwenye muundo wa Kiswahili kuambatana na sheria za lugha ya Kiswahili.","PeriodicalId":518580,"journal":{"name":"Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)","volume":"58 3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2024-01-25","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.4314/jclfkt.v4i4.1","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Binadamu anapokuwa na ujuzi wa lugha zaidi ya moja huzitumia zote katika mazungumzo yake. Hali hii hujulikana kuwa ni uhamishaji msimbo. Uchanganyaji wa mofimu na elementi za Kiswahili na Kiingereza hufanyika kwa haraka bila kumtatiza mzungumzaji au kukwamiza mawasiliano. Hali hii ndiyo imetupa ari ya kuutafitia uhamishaji huu. Tumeegemea mkabala wa kisarufi kubainisha sifa za kiisimu zinazodhihirika wakati lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika katika sentensi moja. Makala hii inalenga kudhihirisha ikiwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutekeleza majukumu sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote. Tumetumia modeli ya Kiunzi cha Lugha Msingi (K.L.M) ya Myers-Scotton (1993) kusaidia kutimiza malengo hayo. Data ya makala hii imetokana na mazungumzo ya vipindi viwili kutoka kwenye runinga. Uchanganuzi wa data umeonesha kwamba, lugha ya Kiswahili huwa na majukumu mengi ikilinganishwa na lugha ya Kiingereza. Pia, mofimu na elementi za lugha ya Kiingereza huchopekwa kwenye muundo wa Kiswahili kuambatana na sheria za lugha ya Kiswahili.
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi
您的 "您的 "与 "您的 "的区别在于您的 "您的 "与 "您的 "的区别在于您的 "您的 "与 "您的 "的区别。请注意,您的姓名与您的年龄不符。在 "mzungumzaji "或 "mawasiliano kumtatiza "中,斯瓦希里语和基英盖雷扎语元素是唯一可以使用的。我想,这也是我的一个梦想。毫无疑问,Kiingereza 的斯瓦希里语是一种强大的语言。在 Kiingereza 的斯瓦希里语中,有一个词叫 "sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote"。本研究采用了迈尔斯-斯科特(Myers-Scotton,1993 年)的 Kiunzi cha Lugha Msingi(K.L.M)模型。数据分析采用了 mazungumzo vipindi viwili kutoka kwenye runinga 方法。在对数据进行分析时,使用了斯瓦希里语(Kiswahili)和基辅语(Kiingereza)。此外,在 Kiingereza 语言中,还有一个重要的元素,那就是斯瓦希里语。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1