Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania
Binadamu anapokuwa na ujuzi wa lugha zaidi ya moja huzitumia zote katika mazungumzo yake. Hali hii hujulikana kuwa ni uhamishaji msimbo. Uchanganyaji wa mofimu na elementi za Kiswahili na Kiingereza hufanyika kwa haraka bila kumtatiza mzungumzaji au kukwamiza mawasiliano. Hali hii ndiyo imetupa ari ya kuutafitia uhamishaji huu. Tumeegemea mkabala wa kisarufi kubainisha sifa za kiisimu zinazodhihirika wakati lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika katika sentensi moja. Makala hii inalenga kudhihirisha ikiwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutekeleza majukumu sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote. Tumetumia modeli ya Kiunzi cha Lugha Msingi (K.L.M) ya Myers-Scotton (1993) kusaidia kutimiza malengo hayo. Data ya makala hii imetokana na mazungumzo ya vipindi viwili kutoka kwenye runinga. Uchanganuzi wa data umeonesha kwamba, lugha ya Kiswahili huwa na majukumu mengi ikilinganishwa na lugha ya Kiingereza. Pia, mofimu na elementi za lugha ya Kiingereza huchopekwa kwenye muundo wa Kiswahili kuambatana na sheria za lugha ya Kiswahili.
您的 "您的 "与 "您的 "的区别在于您的 "您的 "与 "您的 "的区别在于您的 "您的 "与 "您的 "的区别。请注意,您的姓名与您的年龄不符。在 "mzungumzaji "或 "mawasiliano kumtatiza "中,斯瓦希里语和基英盖雷扎语元素是唯一可以使用的。我想,这也是我的一个梦想。毫无疑问,Kiingereza 的斯瓦希里语是一种强大的语言。在 Kiingereza 的斯瓦希里语中,有一个词叫 "sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote"。本研究采用了迈尔斯-斯科特(Myers-Scotton,1993 年)的 Kiunzi cha Lugha Msingi(K.L.M)模型。数据分析采用了 mazungumzo vipindi viwili kutoka kwenye runinga 方法。在对数据进行分析时,使用了斯瓦希里语(Kiswahili)和基辅语(Kiingereza)。此外,在 Kiingereza 语言中,还有一个重要的元素,那就是斯瓦希里语。
{"title":"Uchanganuzi wa uhamishaji msimbo wa Kiswahili-Kiingereza: mkabala wa Kiunzi cha Lugha Msingi","authors":"Shadrack Kirimi Nyagah, Patrick Iribe Mwangi, Basilio Gichobi Mungania","doi":"10.4314/jclfkt.v4i4.1","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/jclfkt.v4i4.1","url":null,"abstract":"Binadamu anapokuwa na ujuzi wa lugha zaidi ya moja huzitumia zote katika mazungumzo yake. Hali hii hujulikana kuwa ni uhamishaji msimbo. Uchanganyaji wa mofimu na elementi za Kiswahili na Kiingereza hufanyika kwa haraka bila kumtatiza mzungumzaji au kukwamiza mawasiliano. Hali hii ndiyo imetupa ari ya kuutafitia uhamishaji huu. Tumeegemea mkabala wa kisarufi kubainisha sifa za kiisimu zinazodhihirika wakati lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutumika katika sentensi moja. Makala hii inalenga kudhihirisha ikiwa lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutekeleza majukumu sawa na pili, kutathmini iwapo uhamishaji msimbo hudhibitiwa na sheria za aina yoyote. Tumetumia modeli ya Kiunzi cha Lugha Msingi (K.L.M) ya Myers-Scotton (1993) kusaidia kutimiza malengo hayo. Data ya makala hii imetokana na mazungumzo ya vipindi viwili kutoka kwenye runinga. Uchanganuzi wa data umeonesha kwamba, lugha ya Kiswahili huwa na majukumu mengi ikilinganishwa na lugha ya Kiingereza. Pia, mofimu na elementi za lugha ya Kiingereza huchopekwa kwenye muundo wa Kiswahili kuambatana na sheria za lugha ya Kiswahili.","PeriodicalId":518580,"journal":{"name":"Jarida la Chama cha Lugha na Fasihi ya Kiswahili Tanzania (CHALUFAKITA)","volume":"58 3","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-25","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"140530857","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}