Kenneth Kinyua Thuranira, Jim Ontieri, Nancy Ayodi
{"title":"RUWAZA YA VIVUMISHI KATIKA LUGHA AMBISHI BAINISHI: MIFANO KUTOKA LAHAJA YA KIIMENTI","authors":"Kenneth Kinyua Thuranira, Jim Ontieri, Nancy Ayodi","doi":"10.58721/jkal.v1i1.95","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Kivumishi ni kipashio muhimu katika lugha yoyote ile. Kinatumika pamoja na kategoria nyingine za maneno katika sentensi ili kufanikisha mawasiliano. Utafiti kuhusu kategoria mbalimbali za maneno umewahi kufanywa. Hata hivyo, hatujakumbana na utafiti unaoangazia ruwaza za kivumishi cha Kiimenti katika tungo za lahaja husika. Hivyo basi nia kuu ya makala haya ni kuthibitisha jinsi kivumishi katika lahaja hii hudhihirisha ruwaza mbalimbali kinapotumika katika sentensi za lahaja hiyo. Data iliyochanganuliwa na kuwasilishwa katika makala haya ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani tulirejelea kazi mbalimbali kuhusu ruwaza za vivumishi hasa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Aidha, tulisoma vitabu vya hadithi za Kiimenti ili kupata data ya kuchanganuliwa katika makala haya. Nyanjani tulikusanya data kutoka tarafa ya Abothuguchi ya Magharibi, kaunti ndogo ya Meru katika kaunti ya Meru. Kwa kutumia sampuli maksudi tuliteua miktadha ya mikutano ya kanisa, shule, soko na ile ya chifu ambapo tulikusanya data. Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi. Kwa sasa lahaja ya Kiimenti haina maandishi mengi na haijatiliwa maanani sana katika mfumo wa elimu nchini Kenya.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"60 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","FirstCategoryId":"1085","ListUrlMain":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.95","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
摘要
这是了解语言的好方法。您可以将您的语言分类为 "人语"、"口语 "和 "听力"。请注意,您的语言分类中的 "人 "字的意思是 "人",而不是 "语言"。在今后的日子里,我们将继续努力,以更高的热情和更强的能力,为基里曼蒂社区的发展做出贡献。在过去的几年里,在基里曼蒂,人们已经认识到,在过去的几年里,在基里曼蒂,人们的生活发生了翻天覆地的变化。这些数据是从 makala 和 maktabani 收集的。Maktabani 着重强调斯瓦希里语和 Kiingereza 语中的 vivumishi hasa。因此,在 Kiimenti 和 maktabani 的数据中,都强调了基斯瓦希里语和基英格雷扎语中的 vivumishi hasa。我相信你们都听说过 "阿博图古奇"(Abothuguchi)和 "梅鲁"(Meru)的故事。 我相信你一定听说过这个,我相信你一定听说过这个,我相信你一定听说过这个。Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi.Kiimenti 是肯尼亚医疗保健领域的佼佼者,对此我们深感自豪。
RUWAZA YA VIVUMISHI KATIKA LUGHA AMBISHI BAINISHI: MIFANO KUTOKA LAHAJA YA KIIMENTI
Kivumishi ni kipashio muhimu katika lugha yoyote ile. Kinatumika pamoja na kategoria nyingine za maneno katika sentensi ili kufanikisha mawasiliano. Utafiti kuhusu kategoria mbalimbali za maneno umewahi kufanywa. Hata hivyo, hatujakumbana na utafiti unaoangazia ruwaza za kivumishi cha Kiimenti katika tungo za lahaja husika. Hivyo basi nia kuu ya makala haya ni kuthibitisha jinsi kivumishi katika lahaja hii hudhihirisha ruwaza mbalimbali kinapotumika katika sentensi za lahaja hiyo. Data iliyochanganuliwa na kuwasilishwa katika makala haya ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani tulirejelea kazi mbalimbali kuhusu ruwaza za vivumishi hasa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Aidha, tulisoma vitabu vya hadithi za Kiimenti ili kupata data ya kuchanganuliwa katika makala haya. Nyanjani tulikusanya data kutoka tarafa ya Abothuguchi ya Magharibi, kaunti ndogo ya Meru katika kaunti ya Meru. Kwa kutumia sampuli maksudi tuliteua miktadha ya mikutano ya kanisa, shule, soko na ile ya chifu ambapo tulikusanya data. Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi. Kwa sasa lahaja ya Kiimenti haina maandishi mengi na haijatiliwa maanani sana katika mfumo wa elimu nchini Kenya.