Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka

Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose
{"title":"Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka","authors":"Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose","doi":"10.37284/jammk.6.2.1620","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"25 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African journal of Swahili studies","FirstCategoryId":"0","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1620","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
引用次数: 0

Abstract

Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa
查看原文
分享 分享
微信好友 朋友圈 QQ好友 复制链接
本刊更多论文
Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili:Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu!
在斯瓦希里语的语言环境中,我们可以使用多种语言。我们将在斯瓦希里语学习者中广泛传播我们的知识,并在斯瓦希里语学习者中推广我们的语言。Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言。我们的用户可以在我们的网站上查看我们的用户名和密码,也可以在我们的用户界面上查看我们的用户名和密码。数据显示,在过去的十年中,在国家和地区层面上,在社会和经济层面上,都出现了不同程度的变化。我们的目标是,在未来的几年里,让我们的生活更加美好。我们将继续努力,使我们的工作更上一层楼。在维旺戈和达拉贾地区,您可以通过以下方式获得签证信息:在斯瓦希里语地区,您可以通过以下方式获得签证信息:"......"、"......"、"......"、"......"、"......"、在 "Fasihi Andishi ya kisasa "中的 "Fasihi Simulizi "中的 "kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi"。
本文章由计算机程序翻译,如有差异,请以英文原文为准。
求助全文
约1分钟内获得全文 去求助
来源期刊
自引率
0.00%
发文量
0
期刊最新文献
Upambanuzi wa Mikakati ya Kitashtiti katika Vibonzo vya Kisiasa Vya Gado Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
已复制链接
已复制链接
快去分享给好友吧!
我知道了
×
扫码分享
扫码分享
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1