Taalumu ya uchoraji na uchapishaji wa vibonzo vya kisiasa umekuwepo tangu karne ya kumi na nane. Saana hii huwavutia watafiti wengi kutokana na uwezo wake wa kusimba jumbe zisizoweza kusemwa wazi wazi. Ifahamike kuwa sifa kuu ya vibonzo vya kisiasa ni kuwa vinapaswa kuwa cheshi na vyenye tashtiti ndiposa viweze kuwasilisha masuala tata kwa njia ya kimzaha. Kutokana na hali hii, utafiti huu ulichunguza tashtiti katika vibonzo vya kisiasa vya Gado vilivyochapishwa katika mwaka wa 2017 kwenye tovuti yake. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kupambanua mikakati iliyotumika katika kuendeleza maudhui ya kitashtiti katika vibonzo vilivyoteuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Semiotiki iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure, na baadaye kuhakikiwa na Chandler na pia Wamitila. Mihimili ya nadharia hii ilitumika kuchambua mikakati iliyotumiwa na Gado katika vibonzo vyake kwa minajili ya kuendeleza maudhui ya kitashtiti. Utafiti huu ni wa kimaelezo na ulifanyika mtandaoni, pale ambapo mtafiti alipekua tovuti ya Gado (www.gadocartoons.com) na kuteua kimaksudi vibonzo vinane kutokana na jumla ya vibonzo ishirini vilivyokuwa vimechapishwa katika mwaka wa 2017. Uteuzi huu ulijikita katika vibonzo vilivyofungamana na madhumuni ya utafiti huu. Kwa jumla, utafiti huu ulidhibitisha kuwa mwanakibonzo Gado alitumia mbinu za lugha kama vile; kinaya, kejeli, metonimia, sitiara, analojia na mwingiliano matini kama mikakati ya kuibua kitashtiti katika vibonzo vyake. Vilevile, utafiti huu ulionyesha kuwa Gado alitumia ishara kama vile; matumizi ya rangi mbalimbali, pamoja na alama kama vile; heshtegi, mviringo na nyota kama mikakati ya kuibua tashtiti katika vibonzo vyake. Mwishowe, utafiti huu ulidhibitisha kuwa vibonzo vilivyochapishwa kwenye mtandao, vilidhihirisha uhuru na ukali mwingi katika usawiri wa masuala mbalimbali, jambo ambalo lilisaidia katika kufanikisha lengo kuu la tashtiti; ambalo ni ushambulizi unaochochea mabadiliko. Mwishowe, matokeo ya utafiti huu yalitarajiwa kuwanufaisha wanamawasiliano, wanasemiotiki na wasomi wa masuala ya kisiasa kwa kuwapa mtazamo mpya kuhusiana na matumizi ya maneno na ishara katika kusimba jumbe tata zinazochapishwa kwenye mtandao ambapo kuna uhuru mwingi wa kuelezea masuala tata bila kudhibitiwa.
Taalumu 的名字是 uchoraji na uchapishaji wa vibonzo vya kisiasa umekuwepo tangu karne ya kumi na nane。你必须意识到,你根本无法做到这一点。在这种情况下,"utafiti "一词的意思是 "帮助",而 "utafiti "一词的意思是 "帮助"。在这种情况下,在2017年的 "世界遗产 "项目中,"世界遗产 "项目将对 "加多 "项目产生重大影响。该项目将于 2017 年 7 月启动。主要重点是费迪南德-德-索绪尔的符号学以及钱德勒和瓦米蒂拉的符号学。在加朵语中,vibonzo vyake 是唯一一种可以替代传统符号学的符号学。例如,在加多 alipekua tovuti(www.gadocartoons.com)中,vibonzo vinane kutokana 是 2017 年最受欢迎的 vibonzo ishirini vilivyokuwa vimechapishwa。无需担心 "维尼维亚"(vibonzo vilivyofungamana na madhumuni ya utafiti huu)。在许多情况下,"我的世界 "都会被 "加多 "的 "我的世界 "所取代;"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界"、"我的世界 "和 "我的世界 "所取代。卑鄙,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为;卑鄙的人,是指加多人的卑鄙行为。如果你想了解更多的信息,请点击 "阅读原文 "或 "阅读全文"。在此基础上,我们还将继续努力,以实现我们的目标,并将我们的目标转化为我们的行动。
{"title":"Upambanuzi wa Mikakati ya Kitashtiti katika Vibonzo vya Kisiasa Vya Gado","authors":"Kerryann Wanjiku Mburu, Sheila Wandera-Simwa, Nabea Wendo","doi":"10.37284/jammk.7.1.1685","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.7.1.1685","url":null,"abstract":"Taalumu ya uchoraji na uchapishaji wa vibonzo vya kisiasa umekuwepo tangu karne ya kumi na nane. Saana hii huwavutia watafiti wengi kutokana na uwezo wake wa kusimba jumbe zisizoweza kusemwa wazi wazi. Ifahamike kuwa sifa kuu ya vibonzo vya kisiasa ni kuwa vinapaswa kuwa cheshi na vyenye tashtiti ndiposa viweze kuwasilisha masuala tata kwa njia ya kimzaha. Kutokana na hali hii, utafiti huu ulichunguza tashtiti katika vibonzo vya kisiasa vya Gado vilivyochapishwa katika mwaka wa 2017 kwenye tovuti yake. Lengo kuu la utafiti huu lilikuwa ni kupambanua mikakati iliyotumika katika kuendeleza maudhui ya kitashtiti katika vibonzo vilivyoteuliwa. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya Semiotiki iliyoasisiwa na Ferdinand De Saussure, na baadaye kuhakikiwa na Chandler na pia Wamitila. Mihimili ya nadharia hii ilitumika kuchambua mikakati iliyotumiwa na Gado katika vibonzo vyake kwa minajili ya kuendeleza maudhui ya kitashtiti. Utafiti huu ni wa kimaelezo na ulifanyika mtandaoni, pale ambapo mtafiti alipekua tovuti ya Gado (www.gadocartoons.com) na kuteua kimaksudi vibonzo vinane kutokana na jumla ya vibonzo ishirini vilivyokuwa vimechapishwa katika mwaka wa 2017. Uteuzi huu ulijikita katika vibonzo vilivyofungamana na madhumuni ya utafiti huu. Kwa jumla, utafiti huu ulidhibitisha kuwa mwanakibonzo Gado alitumia mbinu za lugha kama vile; kinaya, kejeli, metonimia, sitiara, analojia na mwingiliano matini kama mikakati ya kuibua kitashtiti katika vibonzo vyake. Vilevile, utafiti huu ulionyesha kuwa Gado alitumia ishara kama vile; matumizi ya rangi mbalimbali, pamoja na alama kama vile; heshtegi, mviringo na nyota kama mikakati ya kuibua tashtiti katika vibonzo vyake. Mwishowe, utafiti huu ulidhibitisha kuwa vibonzo vilivyochapishwa kwenye mtandao, vilidhihirisha uhuru na ukali mwingi katika usawiri wa masuala mbalimbali, jambo ambalo lilisaidia katika kufanikisha lengo kuu la tashtiti; ambalo ni ushambulizi unaochochea mabadiliko. Mwishowe, matokeo ya utafiti huu yalitarajiwa kuwanufaisha wanamawasiliano, wanasemiotiki na wasomi wa masuala ya kisiasa kwa kuwapa mtazamo mpya kuhusiana na matumizi ya maneno na ishara katika kusimba jumbe tata zinazochapishwa kwenye mtandao ambapo kuna uhuru mwingi wa kuelezea masuala tata bila kudhibitiwa.","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"38 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2024-01-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"139447933","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita
Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini
这些作品包括:《Njia Salama》(1977 年)、《Walioteuliwa》(2009 年)和《Vita Kuu》(1952 年)(White)。这些人都是基督教自律会的成员,他们都有自己的宗教信仰。我们的目标是:在我们的生活中,让我们的生活更美好,让我们的世界更美好。在金廷多,我们还可以使用 "urudiaji"、"uradidi "和 "tofauti za kipolisemia"。在数据方面,Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data.Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140.在过去几年中,SDA 的数据有 42 项和 98 项。在这些数据中,我们可以看到,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的,有的数据是由国家统计局提供的。在实用程序中使用数据。在数据分析的过程中,需要对数据进行分析,并对数据进行分析。我们的目标是,在我们的国家,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区,在我们的社区。我们还将继续努力,以实现我们的目标,包括:"我们的目标"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"、"我们的社会"。在今后的日子里,我们将继续加强对儿童的教育。
{"title":"Tathmini ya Matatizo ya Kiisimu na Kimtindo katika Matini Tafsiri za Kidini: Mfano Wa Njia Salama, Walioteliwa Na Vita Kuu","authors":"Vince Arasa Nyabunga, Miriam Osore, Leonard Chacha Mwita","doi":"10.37284/jammk.6.2.1639","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1639","url":null,"abstract":"Makala haya yalitathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika vitabu vya kidini: Njia Salama (1977), Walioteuliwa (2009) na Vita Kuu (1952), (White). Lengo la makala hii lilikuwa kutathmini matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini teule na kuonyesha namna yaliathiri uelewaji na ufasiri wa mafunzo tafsiri miongoni mwa waumini wa SDA. Matatizo ya kiisimu yaliyochunguzwa yalikuwa pamoja na ya kisematiki, kisintaksia, na kimofolojia. Nayo ya kimtindo yalikuwa urudiaji, uradidi, na tofauti za kipolisemia. Utafiti huu ulitumia mbinu za kimaelezo na kitakwimu katika kukusanya na kuchanganua data. Nyanjani, sampuli tarajiwa ilikuwa washiriki 140. Kwa hivyo, viongozi 42 na waumini 98 katika makanisa saba ya SDA waliteuliwa na kutoa sampuli ya utafiti. Maktabani, vitabu teule vilisomwa na vifungu vyenye matatizo ya kiisimu na kimtindo viliainishwa, kuteuliwa na kuunda data ya utafiti. Nadharia ya skopos ilitumiwa katika utafiti huu. Nadharia ya skopos, inaeleza tafsiri kama mchakato wa tafsiri unadhamiriwa kuwa na uamilifu wa zao lenyewe na jukumu hilo hubainishwa na hadhira. Matokeo ya utafiti huu yalionyesha kuwa mikakati iliyotumiwa na watafsiri ilikumbwa na matatizo ya kiisimu na kimtindo yaliayoathiri uelewaji na ufasiri wa ujumbe tafsiri miongoni mwa wasomaji wa vitabu teule. Matatizo hayo yalisabishwa na tafsiri huru, sisisi, mkopo wa moja kwa moja, udondoshaji, unukuzi, uenyeshaji, ugenishaji, na ufidiaji uliofanya matini kuwa aidha finyu au pana. Kwa hivyo, utafiti huu ulichangia na kupanua taaluma ya tafsiri hasa namna ya kuchambua matatizo ya kiisimu na kimtindo katika matini tafsiri za kidini","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" 5","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"138961651","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo
Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi katika shule za msingi
{"title":"Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya","authors":"Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo","doi":"10.37284/jammk.6.2.1645","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1645","url":null,"abstract":"Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi katika shule za msingi","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" January","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"138960616","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose
Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa
在斯瓦希里语的语言环境中,我们可以使用多种语言。我们将在斯瓦希里语学习者中广泛传播我们的知识,并在斯瓦希里语学习者中推广我们的语言。Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka。我们的目标是,在我们的工作中,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言,让我们的语言成为我们的语言。我们的用户可以在我们的网站上查看我们的用户名和密码,也可以在我们的用户界面上查看我们的用户名和密码。数据显示,在过去的十年中,在国家和地区层面上,在社会和经济层面上,都出现了不同程度的变化。我们的目标是,在未来的几年里,让我们的生活更加美好。我们将继续努力,使我们的工作更上一层楼。在维旺戈和达拉贾地区,您可以通过以下方式获得签证信息:在斯瓦希里语地区,您可以通过以下方式获得签证信息:"......"、"......"、"......"、"......"、"......"、在 "Fasihi Andishi ya kisasa "中的 "Fasihi Simulizi "中的 "kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi"。
{"title":"Uainishaji wa Mbinu na Viwango vya Usimulizi katika Uendelezaji wa Riwaya ya Kiswahili: Mfano wa Riwaya ya Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka","authors":"Kimatwek Betty Chepkogei, Nilson Isaac Opande, Ezra Nyakundi Mose","doi":"10.37284/jammk.6.2.1620","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1620","url":null,"abstract":"Makala haya yanaainisha mbinu na viwango vya usimulizi katika riwaya ya Kiswahili. Uchunguzi huu ulichanganua riwaya mbili za Kiswahili zilizoteuliwa kimaksudi kwa uchunguzi wa matumizi ya mbinu ya usimulizi kama mtindo wa uendelezaji wa hadithi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili ya kisasa. Riwaya zilizoteuliwa ni Bina-Adamu! na Babu Alipofufuka. Uchunguzi uliongozwa na nadharia ya Naratolojia iliyoongoza uchanganuzi wa mbinu na viwango vya usimulizi vinavyochangia katika uendelezaji wa malengo ya matunzi na utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usimulizi uliowasiliswa kwa vielelezo vya visanduku vya kichina vilivyowakilisha aina mbalimbali za usimulizi ndani ya usimulizi. Data ilikusanywa na kuchanganuliwa kithamano kutokana na riwaya teule kwa kusoma na kudondoa nukuu muhimu za usimulizi wa viwango mbalimbali. Matokeo ya utafiti yaliasilishwa kimaelezo na kwa michoro kuwakilisha viwango mbalimbali vya usimulizi wa hadithi ndogo ndani ya hadithi kuu. Utafiti ulibaini kuwa usimulizi katika mtindo wa viwango mbalimbali vya kidaraja ulitumika kujenga umbo la kipekee la hadithi. Usimulizi katika viwango au daraja mbalimbali ulihusisha hadithi ndogo za aina ya visasili zilizosimuliwa ndani ya hadithi kuu ambao ni mtindo wa utunzi wa riwaya mpya ya Kiswahili na mtindo huo ulichangia katika kuendeleza, kukuza na kuhifadhi mbinu za kijadi ya Fasihi Simulizi katika Fasihi Andishi ya kisasa","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":"25 2","pages":""},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-12-12","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"139009462","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}