Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo
{"title":"Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi:肯尼亚的 \"Mfano wa Shule za Msingi Nchini","authors":"Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo","doi":"10.37284/jammk.6.2.1645","DOIUrl":null,"url":null,"abstract":"Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi katika shule za msingi","PeriodicalId":500309,"journal":{"name":"East African journal of Swahili studies","volume":" January","pages":""},"PeriodicalIF":0.0000,"publicationDate":"2023-12-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":"0","resultStr":"{\"title\":\"Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya\",\"authors\":\"Ann Wambui Gitau, Eric W. Wamalwa, Stanley Adika Kevogo\",\"doi\":\"10.37284/jammk.6.2.1645\",\"DOIUrl\":null,\"url\":null,\"abstract\":\"Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi katika shule za msingi\",\"PeriodicalId\":500309,\"journal\":{\"name\":\"East African journal of Swahili studies\",\"volume\":\" January\",\"pages\":\"\"},\"PeriodicalIF\":0.0000,\"publicationDate\":\"2023-12-19\",\"publicationTypes\":\"Journal Article\",\"fieldsOfStudy\":null,\"isOpenAccess\":false,\"openAccessPdf\":\"\",\"citationCount\":\"0\",\"resultStr\":null,\"platform\":\"Semanticscholar\",\"paperid\":null,\"PeriodicalName\":\"East African journal of Swahili studies\",\"FirstCategoryId\":\"0\",\"ListUrlMain\":\"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1645\",\"RegionNum\":0,\"RegionCategory\":null,\"ArticlePicture\":[],\"TitleCN\":null,\"AbstractTextCN\":null,\"PMCID\":null,\"EPubDate\":\"\",\"PubModel\":\"\",\"JCR\":\"\",\"JCRName\":\"\",\"Score\":null,\"Total\":0}","platform":"Semanticscholar","paperid":null,"PeriodicalName":"East African journal of Swahili studies","FirstCategoryId":"0","ListUrlMain":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.2.1645","RegionNum":0,"RegionCategory":null,"ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":null,"EPubDate":"","PubModel":"","JCR":"","JCRName":"","Score":null,"Total":0}
Tathmini ya Mbinu za Ufundishaji wa Masuala Mtambuko katika Mtaala wa Umilisi: Mfano wa Shule za Msingi Nchini Kenya
Masuala mtambuko ni baadhi ya mambo muhimu yanayofundishwa katika mtaala wa elimu. Taasisi ya Ukuzaji wa Mitaala nchini Kenya imejumuisha na kusisitiza ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi. Isitoshe, masuala mtambuko yanajitokeza kuwa muhimu sana katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili katika shule za msingi. Hata hivyo, tafiti zimebaini kuwa ufundishaji haujatekelezwa inavyostahili. Makala haya yanatathmini ufundishaji wa masuala mtambuko katika Mtaala wa Umilisi wa Kiswahili wa shule za msingi za kaunti ndogo ya Kimilili. Nadharia ya Utekelezaji wa Uvumbuzi iliyoasisiwa na Gross na wenzie (1971) imetumika. Walimu 38 walishirikishwa katika utafiti. Data ilikusanywa kwa kutumia hojaji na uchunzaji. Matokeo ya utafiti yamebainisha kwamba, walimu walitumia mbinu mbalimbali za ufundishaji kwa viwango tofauti. Asilimia100 ya walimu walitumia mbinu ya maswali na majibu kufundisha masuala mtambuko. Aidha, asilimia 63 walitumia majadiliano; nayo asilimia 49 ya walimu walitumia mbinu ya vikundi vya ushirika Baadhi ya mbinu zilitumika kwa uchache tu na nyingine hazikutumika kabisa. Licha ya hayo, mbinu zilizotumiwa katika ufundishaji hazikutumiwa kwa ufanisi mkubwa. Aidha matokeo yameonesha kwamba walimu walikumbwa na changamoto katika uteuzi na matumizi ya mbinu mwafaka za ufundishaji wa masuala mtambuko. Kutokana na matokeo haya, inapendekezwa kuwa, warsha za mara kwa mara ziandaliwe kwa walimu walio nyanjani kwa minajili ya kuwanoa na kuwapiga msasa kuhusu utekelezaji wa ufundishaji wa mtaala wa elimu ya umilisi, na matumizi ya vifaa mwafaka vya kufundishia vikiwemo vifaa halisi na vya kielektroniki. Pili, inapendekezwa kuwepo kwa tathmini ya mara kwa mara kuhusu ubora na kiwango cha ufundishaji wa masuala mtambuko na utekelezaji wa mtaala wa umilisi katika shule za msingi