首页 > 最新文献

Kioo cha Lugha最新文献

英文 中文
Mawanda ya taaluma za ukalimani na tafsiri na haja ya kuboresha ufundishaji wake 唤醒乏力的躯体和精神状态
Pub Date : 2023-03-23 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.6
Titus Mpemba
Umuhimu wa ukalimani na tafsiri umeongezeka kutokana na utandawazi. Wakalimani na wafasiri wengi wamekuwa wakiandaliwa ili kuendana na kasi ya ongezeko la mahitaji ya wakalimani na wafasiri. Kutokana na kasi ya ongezeko hili, na uhaba au ukosefu wa walimu wabobevu wa ukalimani na tafsiri, walimu wa lugha ambao tafsiri na ukalimani si nyuga zao za ubobevu wamejikuta wakipewa majukumu ya kufundisha kozi za ukalimani na tafsiri vyuoni. Matokeo yake, walimu hao wamekuwa wakihangaika kufikiria mambo ya kufundisha. Kwa kuwa ukalimani na tafsiri si nyuga walizobobea, hujikuta wakifundisha juujuu. Wahitimu wanaotokana na ufundishaji wa juujuu huwa hawajapikwa sawasawa lakini hutazamiwa kuwa walimu wa baadaye wa ukalimani na tafsiri vyuoni. Aidha, huchukuliwa kuwa wamesomea kozi hizo. Kutokana na kutoandaliwa vyema, hujikuta wanaishia kuchukua miongozo ya kozi waliyotumia enzi za uanafunzi wao. Kisha, huhawilisha kwa kiasi kikubwa yale waliyofundishwa na mwalimu mwanzilishi wa kozi na kuyarithisha kwa vizazi vingine bila kuongezewa vionjo vya kibunifu kuendana na mabadiliko na mazingira ya soko. Hivyo, ufundishaji huwa wa kimazoea zaidi. Kwa hiyo, kuna haja ya wanataaluma kubadilishana uzoefu miongoni mwao, kukumbushana kuhusu mabadiliko yanayotokea na kuboresha zaidi ufundishaji wa nyuga hizi. Makala hii imelenga kutimiza azma hii kwa kujielekeza katika maarifa ya kibiashara kama kionjo kinachohitaji kuongezwa katika mitalaa ya ukalimani na tafsiri vyuoni ili kuboresha ufundishaji wa nyuga madhukura. Hususani, makala inatilia mkazo elimu ya huduma kwa wateja na uandaaji wa nyaraka za kibiashara. Makala inasisitiza kuwa, kutokana na umuhimu wake, elimu ya huduma kwa wateja haina budi kuongezwa katika mitalaa ya ukalimani na tafsiri.
我们的目标是,在我们的工作中,让我们的生活变得更加美好。在 "我们的未来 "中,"我们的未来 "与 "我们的未来 "是相辅相成的。如果你想了解更多的信息,请点击这里,你将会看到更多的信息。在这方面,我们要做的是,要让人们知道,他们需要的是什么,他们需要的是什么,他们需要的是什么。在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是,在我们的工作中,我们要做的是。如果你有任何疑问,请联系我们,我们将竭诚为您服务。此外,我们还将为您提供更多的帮助。在我们的生活中,有很多事情是我们无法预料的。在这方面,我们要做的工作是,为那些需要帮助的人提供资金,并为他们提供帮助。在未来,我们将继续努力。在未来的日子里,我们将继续努力,为我们的子孙后代提供更好的教育。我们的目标是,在国家和国际社会的共同努力下,使我们的国家和国际社会都能为我们的国家和国际社会的发展做出贡献。因此,我们需要对 "消除饥饿 "和 "提高生活质量 "的概念进行深入研究。我们要做的是,在我们的生活中,消除对我们生活的影响,让我们的生活更加美好。
{"title":"Mawanda ya taaluma za ukalimani na tafsiri na haja ya kuboresha ufundishaji wake","authors":"Titus Mpemba","doi":"10.4314/kcl.v20i1.6","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.6","url":null,"abstract":"Umuhimu wa ukalimani na tafsiri umeongezeka kutokana na utandawazi. Wakalimani na wafasiri wengi wamekuwa wakiandaliwa ili kuendana na kasi ya ongezeko la mahitaji ya wakalimani na wafasiri. Kutokana na kasi ya ongezeko hili, na uhaba au ukosefu wa walimu wabobevu wa ukalimani na tafsiri, walimu wa lugha ambao tafsiri na ukalimani si nyuga zao za ubobevu wamejikuta wakipewa majukumu ya kufundisha kozi za ukalimani na tafsiri vyuoni. Matokeo yake, walimu hao wamekuwa wakihangaika kufikiria mambo ya kufundisha. Kwa kuwa ukalimani na tafsiri si nyuga walizobobea, hujikuta wakifundisha juujuu. Wahitimu wanaotokana na ufundishaji wa juujuu huwa hawajapikwa sawasawa lakini hutazamiwa kuwa walimu wa baadaye wa ukalimani na tafsiri vyuoni. Aidha, huchukuliwa kuwa wamesomea kozi hizo. Kutokana na kutoandaliwa vyema, hujikuta wanaishia kuchukua miongozo ya kozi waliyotumia enzi za uanafunzi wao. Kisha, huhawilisha kwa kiasi kikubwa yale waliyofundishwa na mwalimu mwanzilishi wa kozi na kuyarithisha kwa vizazi vingine bila kuongezewa vionjo vya kibunifu kuendana na mabadiliko na mazingira ya soko. Hivyo, ufundishaji huwa wa kimazoea zaidi. Kwa hiyo, kuna haja ya wanataaluma kubadilishana uzoefu miongoni mwao, kukumbushana kuhusu mabadiliko yanayotokea na kuboresha zaidi ufundishaji wa nyuga hizi. Makala hii imelenga kutimiza azma hii kwa kujielekeza katika maarifa ya kibiashara kama kionjo kinachohitaji kuongezwa katika mitalaa ya ukalimani na tafsiri vyuoni ili kuboresha ufundishaji wa nyuga madhukura. Hususani, makala inatilia mkazo elimu ya huduma kwa wateja na uandaaji wa nyaraka za kibiashara. Makala inasisitiza kuwa, kutokana na umuhimu wake, elimu ya huduma kwa wateja haina budi kuongezwa katika mitalaa ya ukalimani na tafsiri.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"254 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"134591987","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Kiswahili language deficiencies in print media: Interrogating the policies, guidelines and practices of selected Kiswahili newspapers in Tanzania 印刷媒体的斯瓦希里语缺陷:对坦桑尼亚若干斯瓦希里语报纸的政策、指导方针和做法的调查
Pub Date : 2023-03-23 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.5
Kamfipo Gidion
Over the decades now, Kiswahili newspapers have attracted criticism from stakeholders primarily because of writing the language poorly or incorrectly (Massamba, 2004; Serengeti Advisers, 2012; Tanzania Media Fund, 2013; Gidion, 2016). Most of these complaints originate from exploratory or explanatory studies as well as from individual experience after reading Kiswahili newspapers. This paper, therefore, sought to explore systematically the situation and come up with empirical evidence that can explain why Kiswahili newspapers are alleged to write the language poorly. Using a case study design, the researcher studied three giant serious private media houses, which were purposively selected—one newspaper from each media house—to generate crucial data from their editors, proof-readers, and reporters. Using in-depth interviews with these paradoxically not a criterion for employing reporters and editors for these Kiswahili newspapers. The main criterion for their employment is training in Journalism or Mass Communication. Moreover, media houses lack personnel development plans and on-the-job language training policies and programmes. Furthermore, there is an uneven distribution of linguistic capital in the newsrooms.
几十年来,斯瓦希里语报纸吸引了利益相关者的批评,主要是因为语言写得不好或不正确(Massamba, 2004;塞伦盖蒂顾问,2012;坦桑尼亚媒体基金,2013;Gidion, 2016)。这些抱怨大多来自探索性或解释性研究,以及阅读斯瓦希里语报纸后的个人经验。因此,本文试图系统地探索这种情况,并提出经验证据,可以解释为什么斯瓦希里语报纸被指控写得很差。通过案例研究设计,研究者研究了三家大型的严肃的私人媒体公司,有意地从每家媒体公司中挑选一份报纸,从他们的编辑、校对员和记者那里获得关键数据。对这些人进行深入的采访并不是为这些斯瓦希里语报纸雇用记者和编辑的标准。他们就业的主要标准是新闻或大众传播方面的培训。此外,新闻机构缺乏人员发展计划和在职语言培训政策和方案。此外,新闻编辑室的语言资本分布不均。
{"title":"Kiswahili language deficiencies in print media: Interrogating the policies, guidelines and practices of selected Kiswahili newspapers in Tanzania","authors":"Kamfipo Gidion","doi":"10.4314/kcl.v20i1.5","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.5","url":null,"abstract":"Over the decades now, Kiswahili newspapers have attracted criticism from stakeholders primarily because of writing the language poorly or incorrectly (Massamba, 2004; Serengeti Advisers, 2012; Tanzania Media Fund, 2013; Gidion, 2016). Most of these complaints originate from exploratory or explanatory studies as well as from individual experience after reading Kiswahili newspapers. This paper, therefore, sought to explore systematically the situation and come up with empirical evidence that can explain why Kiswahili newspapers are alleged to write the language poorly. Using a case study design, the researcher studied three giant serious private media houses, which were purposively selected—one newspaper from each media house—to generate crucial data from their editors, proof-readers, and reporters. Using in-depth interviews with these paradoxically not a criterion for employing reporters and editors for these Kiswahili newspapers. The main criterion for their employment is training in Journalism or Mass Communication. Moreover, media houses lack personnel development plans and on-the-job language training policies and programmes. Furthermore, there is an uneven distribution of linguistic capital in the newsrooms.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"24 2","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"120939403","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu za Nida (1949) katika utambuzi wa mofimu za lugha ya Kiswahili
Pub Date : 2023-03-23 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.7
Elishafati J. Ndumiwe, Tasiana Jasson
Utambuzi wa mofimu katika lugha tofautitofauti huongozwa na kanuni za kimajumui zilizopendekezwa na Nida (1949). Kanuni hizo zimehakikiwa katika baadhi ya lugha za Afrikasia ambazo ni Kiyoruba, Kigala na Kihausa. Hata hivyo, kuna utofauti kati ya lugha za Afrikasia na lugha za Kibantu. Isitoshe, kanuni hizo haziko bayana katika lugha za Kibantu. Kwa hiyo, makala hii inahakiki matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2013) kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka. Aidha, uchambuzi wa data umeongozwa na mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis (2008). Matokeo ya makala hii yanaonesha kwamba kanuni tano kati ya sita zinafaa katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita. Kanuni ya tatu haitumiki katika kutambua mofimu za lugha ya Kiswahili kwa sababu maumbo yanayoelezwa na kanuni hii hayamo katika lugha ya Kiswahili kutokana na tofauti za kimuundo kati ya lugha moja na nyingine. Aidha, tumependekeza kuwa uundwaji wa kanuni uendane na maumbo ya lugha tofautitofauti kwa sababu ya umajumui wake.
卡努尼对《尼达维亚语》(1949 年)中的 "基奥鲁巴语"(Kiyoruba)和 "基加拉语"(Kigala)以及 "基豪萨语"(Kihausa)有着浓厚的兴趣。卡努尼对基约鲁巴(Kiyoruba)、基加拉(Kigala)和基豪萨(Kihausa)的南非荷兰语有着浓厚的兴趣。卡努尼对基约鲁巴语、基加拉语和基豪萨语有着浓厚的兴趣。因此,我们需要对非洲和加勒比地区的情况有更深入的了解。此外,卡穆西的研究数据还显示,他对非洲和吉班图语的了解还不够深入。Kamusi's Kiswahili Sanifu(2013 年)的数据显示,"upitiaji wa nyaraka "的数量有所增加。此外,数据还显示,Rastle和Davis(2008年)的mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis(2008年)。在斯瓦希里语的语言环境中,数据的重要性不言而喻。Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita.在斯瓦希里语的语言环境中,语言学家们可以在语言环境中寻找到更多的机会来学习斯瓦希里语。此外,我们还将继续努力,以实现我们的目标。
{"title":"Matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu za Nida (1949) katika utambuzi wa mofimu za lugha ya Kiswahili","authors":"Elishafati J. Ndumiwe, Tasiana Jasson","doi":"10.4314/kcl.v20i1.7","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.7","url":null,"abstract":"Utambuzi wa mofimu katika lugha tofautitofauti huongozwa na kanuni za kimajumui zilizopendekezwa na Nida (1949). Kanuni hizo zimehakikiwa katika baadhi ya lugha za Afrikasia ambazo ni Kiyoruba, Kigala na Kihausa. Hata hivyo, kuna utofauti kati ya lugha za Afrikasia na lugha za Kibantu. Isitoshe, kanuni hizo haziko bayana katika lugha za Kibantu. Kwa hiyo, makala hii inahakiki matumizi ya kanuni za utambuzi wa mofimu katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Data ya makala hii imekusanywa kutoka Kamusi ya Kiswahili Sanifu (2013) kwa kutumia mbinu ya upitiaji wa nyaraka. Aidha, uchambuzi wa data umeongozwa na mkabala wa mofimu kama umbo na maana uliopendekezwa na Rastle na Davis (2008). Matokeo ya makala hii yanaonesha kwamba kanuni tano kati ya sita zinafaa katika kuchambua mofimu za lugha ya Kiswahili. Kanuni hizo ni ya kwanza, ya pili, ya nne, ya tano na ya sita. Kanuni ya tatu haitumiki katika kutambua mofimu za lugha ya Kiswahili kwa sababu maumbo yanayoelezwa na kanuni hii hayamo katika lugha ya Kiswahili kutokana na tofauti za kimuundo kati ya lugha moja na nyingine. Aidha, tumependekeza kuwa uundwaji wa kanuni uendane na maumbo ya lugha tofautitofauti kwa sababu ya umajumui wake.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"2 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"132456090","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Changamoto katika matumizi ya majina ya lugha za kigeni nchini Tanzania: Mtazamo wa Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu
Pub Date : 2023-03-23 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.8
A. Buberwa
Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania. Baadhi ya wataalamu (taz. Nyangaywa, 2013; Madila, 2020) wanaeleza kwamba uteuzi wa majina ya watu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kasumba ya kupendelea majina ya lugha za kigeni kuliko majina ya lugha za asili. Pamoja na kudokezwa kwa suala hilo, tafiti husika hazikujishughulisha na uchunguzi zaidi kuhusu kuweka bayana kiwango cha matumizi ya majina husika na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo ya kigeni. Suala hili limechochea raghba ya mtafiti kufanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania. Ili kutimiza azma hiyo, makala hii imeongozwa na Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu ambapo kasumba hiyo ya kupendelea majina ya lugha za kigeni inatazamwa kama matokeo ya lugha za kigeni kukandamiza lugha za asili na kutokana na ukandamizaji huo, fikra za jamii ya Watanzania zimeaminishwa kuwa lugha za kigeni ni bora na zina thamani zaidi kuliko lugha za asili.
Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania.(见 Nyangaywa,2013 年;Madila,2020 年)。在这种情况下,如果不采取相应的措施,就有可能出现以下问题:(a)在"...... "的情况下,(b)在"...... "的情况下,(c)在"...... "的情况下。例如,在坦桑尼亚,有两种类型的 kiwango kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania。在坦桑尼亚,我们将通过 "基西姆岛(Ubeberu wa Kiisimu)"项目,为坦桑尼亚的旅游业发展做出贡献、在坦桑尼亚,有很多人都有这样的经历,他们都有一个共同的梦想,那就是在自己的家乡建立一个自己的国家。
{"title":"Changamoto katika matumizi ya majina ya lugha za kigeni nchini Tanzania: Mtazamo wa Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu","authors":"A. Buberwa","doi":"10.4314/kcl.v20i1.8","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.8","url":null,"abstract":"Wataalamu mbalimbali wameshughulikia suala la uteuzi wa majina ya watu ndani na nje ya Tanzania. Baadhi ya wataalamu (taz. Nyangaywa, 2013; Madila, 2020) wanaeleza kwamba uteuzi wa majina ya watu nchini Tanzania unakabiliwa na changamoto ya kasumba ya kupendelea majina ya lugha za kigeni kuliko majina ya lugha za asili. Pamoja na kudokezwa kwa suala hilo, tafiti husika hazikujishughulisha na uchunguzi zaidi kuhusu kuweka bayana kiwango cha matumizi ya majina husika na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo ya kigeni. Suala hili limechochea raghba ya mtafiti kufanya utafiti wa awali kuhusu kiwango cha matumizi ya majina ya lugha za kigeni katika jamii ya Watanzania, mtazamo wa jamii na changamoto zinazotokana na matumizi ya majina hayo nchini Tanzania. Ili kutimiza azma hiyo, makala hii imeongozwa na Nadharia ya Ubeberu wa Kiisimu ambapo kasumba hiyo ya kupendelea majina ya lugha za kigeni inatazamwa kama matokeo ya lugha za kigeni kukandamiza lugha za asili na kutokana na ukandamizaji huo, fikra za jamii ya Watanzania zimeaminishwa kuwa lugha za kigeni ni bora na zina thamani zaidi kuliko lugha za asili.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"95 1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"125977523","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Matumizi ya sitiari katika kazi za fasihi: Mifano kutoka nyimbo za kivunjo
Pub Date : 2023-03-22 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.2
Ernesta S. Mosha
Makala hii inajadili matumizi ya sitiari kutoka katika nyimbo za Wachaga wa Vunjo. Kwa kuongozwa na Nadharia ya Mwingiliano (Black, 1962), makala imeweka bayana namna ambavyo sitiari katika kazi za fasihi zinatumika kuugawa, kuupanga na kuueleza ulimwengu. Kwa kutumia data kutoka katika nyimbo tatu za taasisi ya ndoa kutoka katika jamii ya Wachaga wa Vunjo, makala imebainisha kuwa watunzi wa kazi za fasihi huunda sitiari kutoka katika mazingira na maisha halisi ya jamii ambayo wahusika wameyazoea. Pia, sitiari hizo hubuniwa kutoka katika mazingira mahususi ya kiutamaduni hali ambayo inalazimu ufafanuzi wake kuzingatia utamaduni na mazingira husika ili iweze kueleweka. Aidha, imebainika kuwa kupitia sitiari zilizotumika katika nyimbo teule, wanajamii wanafahamishwa namna ya kukabiliana na hali mbalimbali wanazokutana nazo katika maisha. Kwa njia hii, fasihi ina nafasi kubwa ya kubuni mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko kwa wanajamii kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.
{"title":"Matumizi ya sitiari katika kazi za fasihi: Mifano kutoka nyimbo za kivunjo","authors":"Ernesta S. Mosha","doi":"10.4314/kcl.v20i1.2","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.2","url":null,"abstract":"Makala hii inajadili matumizi ya sitiari kutoka katika nyimbo za Wachaga wa Vunjo. Kwa kuongozwa na Nadharia ya Mwingiliano (Black, 1962), makala imeweka bayana namna ambavyo sitiari katika kazi za fasihi zinatumika kuugawa, kuupanga na kuueleza ulimwengu. Kwa kutumia data kutoka katika nyimbo tatu za taasisi ya ndoa kutoka katika jamii ya Wachaga wa Vunjo, makala imebainisha kuwa watunzi wa kazi za fasihi huunda sitiari kutoka katika mazingira na maisha halisi ya jamii ambayo wahusika wameyazoea. Pia, sitiari hizo hubuniwa kutoka katika mazingira mahususi ya kiutamaduni hali ambayo inalazimu ufafanuzi wake kuzingatia utamaduni na mazingira husika ili iweze kueleweka. Aidha, imebainika kuwa kupitia sitiari zilizotumika katika nyimbo teule, wanajamii wanafahamishwa namna ya kukabiliana na hali mbalimbali wanazokutana nazo katika maisha. Kwa njia hii, fasihi ina nafasi kubwa ya kubuni mbinu zinazoweza kuleta mabadiliko kwa wanajamii kijamii, kiuchumi na kiutamaduni.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"167 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"122506050","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Ubainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule 在斯瓦希里语语言环境中的语言能力:"我的"(Mifano) kutoka riwaya teule
Pub Date : 2023-03-22 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.3
Enock N. Nyariki, P. Ngugi
Makala hii imeangazia aina za ukatili wa watoto katika riwaya za Siku Njema (Walibora, 1996), Tumaini (Momanyi, 2006) na Lulu ya Maisha (Habwe, 2013) ambazo zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Wachambuzi wengi wa fasihi ya Kiswahili ya watoto wamemwangazia mtoto kama mwathiriwa wa matendo ya ukatili. Kipengele cha mtoto kama mhusika katili ambaye matendo yake yanaweza kuwaathiri wanajamii wengine hakijahakikiwa kwa kina. Katika misingi hii makala iliangazia aina za matendo ya ukatili wa watoto katika vitabu teule vya fasihi ya watoto. Nadharia ya Uhalisia ambayo waasisi wake ni pamoja na Gustav Flaubert (1850), Rene Wellek (1963) na Lazaro Carreter (1970) ilitumika ili kuonesha jinsi ukatili wa watoto ulivyoakisiwa na waandishi. Data za msingi zilipatikana kwa kusoma vitabu teule. Aidha, makala ilinufaishwa kwa kuzisoma na kuzihakiki kazi zinazohusiana na mada hii kwenye majarida, magazeti, tasnifu, vitabu na machapisho mbalimbali. Maelezo ya kina yalitumiwa kuwasilisha matokeo ya utafiti. Aina tatu za ukatili zilijitokeza katika riwaya. Aina hizo ni ukatili wa kimatendo unaojibainisha katika matendo kama vile uvamizi, wizi na unyang‟anyi; ukatili wa kimatamshi, ambao hubainika katika vitisho na matamshi ya kudhalilisha; na ukatili wa kifikra, ambao hujidhihirisha kwa ishara za maandishi, matamshi na kuwaandamaandama waathiriwa kwa nia ya kuwadhuru.
在《Siku Njema》(Walibora, 1996 年)、《Tumaini》(Momanyi, 2006 年)和《Lulu ya Maisha》(Habwe, 2013 年)等书籍中,我们都看到了关于水的知识。在斯瓦希里语中,"水 "的意思是 "水",而 "火 "的意思是 "火"。如果有问题,我们可以向当地政府寻求帮助。如果有问题,那就是你找不到适合你的人。Nadharia、Uhalisia,以及古斯塔夫-福楼拜(1850 年)、雷内-韦勒克(1963 年)和拉扎罗-卡雷特(1970 年)的作品都因缺乏理解而受到批评。这些数据非常有趣。我们可以从这些数据中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"我们可以从我们的研究中了解到:"(《世界文化多样性》,第 2 卷,第 2 期,第 2 页)。我们的目标是,在国家和地区之间建立联系。我们的目标是,让我们的生活更加美好。
{"title":"Ubainikaji wa aina za ukatili wa watoto katika fasihi ya Kiswahili ya watoto: Mifano kutoka riwaya teule","authors":"Enock N. Nyariki, P. Ngugi","doi":"10.4314/kcl.v20i1.3","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.3","url":null,"abstract":"Makala hii imeangazia aina za ukatili wa watoto katika riwaya za Siku Njema (Walibora, 1996), Tumaini (Momanyi, 2006) na Lulu ya Maisha (Habwe, 2013) ambazo zinalenga hadhira ya watoto na vijana. Wachambuzi wengi wa fasihi ya Kiswahili ya watoto wamemwangazia mtoto kama mwathiriwa wa matendo ya ukatili. Kipengele cha mtoto kama mhusika katili ambaye matendo yake yanaweza kuwaathiri wanajamii wengine hakijahakikiwa kwa kina. Katika misingi hii makala iliangazia aina za matendo ya ukatili wa watoto katika vitabu teule vya fasihi ya watoto. Nadharia ya Uhalisia ambayo waasisi wake ni pamoja na Gustav Flaubert (1850), Rene Wellek (1963) na Lazaro Carreter (1970) ilitumika ili kuonesha jinsi ukatili wa watoto ulivyoakisiwa na waandishi. Data za msingi zilipatikana kwa kusoma vitabu teule. Aidha, makala ilinufaishwa kwa kuzisoma na kuzihakiki kazi zinazohusiana na mada hii kwenye majarida, magazeti, tasnifu, vitabu na machapisho mbalimbali. Maelezo ya kina yalitumiwa kuwasilisha matokeo ya utafiti. Aina tatu za ukatili zilijitokeza katika riwaya. Aina hizo ni ukatili wa kimatendo unaojibainisha katika matendo kama vile uvamizi, wizi na unyang‟anyi; ukatili wa kimatamshi, ambao hubainika katika vitisho na matamshi ya kudhalilisha; na ukatili wa kifikra, ambao hujidhihirisha kwa ishara za maandishi, matamshi na kuwaandamaandama waathiriwa kwa nia ya kuwadhuru.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"570 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"134454161","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi
Pub Date : 2023-03-22 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.4
R. M. Wafula
Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1986) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika Karne ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala hii inanuia kuonesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria uchimuzi wa itikadi zinazoratibisha kuwapo kwa nadharia hizo. Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia masuala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.
在 "对妇女的教育"(Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza)中,"对妇女的教育"(ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa)。在 Kimagharibi(1986 年)和 Wellek(1986 年)的研究中,作者认为两者之间是有区别的。例如,当 Karne 21 岁的时候,她曾与一个叫 mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana 的人有过通奸史。在这种情况下,只有女方才有权知道通奸的真相。贾波-韦勒克告诉沃伦,如果你想摆脱问题,你就需要摆脱问题。Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.
{"title":"Itikadi na ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi","authors":"R. M. Wafula","doi":"10.4314/kcl.v20i1.4","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.4","url":null,"abstract":"Ufundishaji wa nadharia za uhakiki wa fasihi ulipoanza, ilifikiriwa kwamba hatimaye fasihi imefanikiwa kupata silaha za kiuhakiki na kiakademia za kutegemewa. Wahakiki na wananadharia wa Kimagharibi kama Wellek na Warren (1986) walifikiria kwamba nadharia ya uhakiki wa fasihi ilikuwa moja popote fasihi iliposomwa. Hivi sasa katika Karne ya 21, nadharia ni nyingi na zinaendelea kuundwa kuendana na mazingira anuwai ambamo wahakiki wanapatikana. Makala hii inanuia kuonesha kwamba wingi wa nadharia zilizopo unaashiria uchimuzi wa itikadi zinazoratibisha kuwapo kwa nadharia hizo. Japo Wellek na Warren walikuwa wakizungumzia kuhusu nadharia katika umoja wake, walikuwa wakiitikia masuala ya kiitikadi. Jambo hili linahusu fasihi ya Kiswahili vilevile.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"36 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"126806720","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 1
Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya
Pub Date : 2023-03-22 DOI: 10.4314/kcl.v20i1.1
J. N. Maitaria
Methali hutokana na utamaduni wa watu na hutumika katika kuibulia na kuelekezea busara ya wenyeji. Aidha, methali za Kiswahili zimeshirikisha methali za jamii mbalimbali za Afrika Mashariki. Kwa sababu hii, zina mtazamo unaovuka mipaka ya jamii moja. Kwa hali hiyo, methali za Kiswahili ni mwavuli unaohifadhi na unaoibulia utamaduni asilia wa wenyeji. Methali hizo hutekeleza dhima ya uashiriaji, uelezaji na uelekezaji kuhusu maisha kwa kuzingatia „undani‟ na „upana‟ wa Wakenya kama jamii moja. Data za makala hii zilitokana na methali zilizohifadhiwa katika vitabu vya methali za Kiswahili zilizokusanywa kutoka kwa wanajamii wa Kenya. Methali hizo zilipata maelezo ya wanajamii wa Kenya. Kadhalika, wataalamu wa lugha na wahakiki wa fasihi walihojiwa ili kupata fasiri za kiujumla kuhusu methali. Katika uchanganuzi wa data, Nadharia ya Semiotiki imetumika kubainishia viashiria na viashiriwa vya kiutamaduni katika jamii za Wakenya. Kwa hivyo, makala hii inaeleza namna methali hizo zinavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi kwa jamii za Kenya.
{"title":"Matumizi ya methali za Kiswahili kwa jamii: Mifano kutoka nchini Kenya","authors":"J. N. Maitaria","doi":"10.4314/kcl.v20i1.1","DOIUrl":"https://doi.org/10.4314/kcl.v20i1.1","url":null,"abstract":"Methali hutokana na utamaduni wa watu na hutumika katika kuibulia na kuelekezea busara ya wenyeji. Aidha, methali za Kiswahili zimeshirikisha methali za jamii mbalimbali za Afrika Mashariki. Kwa sababu hii, zina mtazamo unaovuka mipaka ya jamii moja. Kwa hali hiyo, methali za Kiswahili ni mwavuli unaohifadhi na unaoibulia utamaduni asilia wa wenyeji. Methali hizo hutekeleza dhima ya uashiriaji, uelezaji na uelekezaji kuhusu maisha kwa kuzingatia „undani‟ na „upana‟ wa Wakenya kama jamii moja. Data za makala hii zilitokana na methali zilizohifadhiwa katika vitabu vya methali za Kiswahili zilizokusanywa kutoka kwa wanajamii wa Kenya. Methali hizo zilipata maelezo ya wanajamii wa Kenya. Kadhalika, wataalamu wa lugha na wahakiki wa fasihi walihojiwa ili kupata fasiri za kiujumla kuhusu methali. Katika uchanganuzi wa data, Nadharia ya Semiotiki imetumika kubainishia viashiria na viashiriwa vya kiutamaduni katika jamii za Wakenya. Kwa hivyo, makala hii inaeleza namna methali hizo zinavyoweza kutumiwa kwa ufaafu zaidi kwa jamii za Kenya.","PeriodicalId":208716,"journal":{"name":"Kioo cha Lugha","volume":"342 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-22","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"124221553","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
期刊
Kioo cha Lugha
全部 Acc. Chem. Res. ACS Applied Bio Materials ACS Appl. Electron. Mater. ACS Appl. Energy Mater. ACS Appl. Mater. Interfaces ACS Appl. Nano Mater. ACS Appl. Polym. Mater. ACS BIOMATER-SCI ENG ACS Catal. ACS Cent. Sci. ACS Chem. Biol. ACS Chemical Health & Safety ACS Chem. Neurosci. ACS Comb. Sci. ACS Earth Space Chem. ACS Energy Lett. ACS Infect. Dis. ACS Macro Lett. ACS Mater. Lett. ACS Med. Chem. Lett. ACS Nano ACS Omega ACS Photonics ACS Sens. ACS Sustainable Chem. Eng. ACS Synth. Biol. Anal. Chem. BIOCHEMISTRY-US Bioconjugate Chem. BIOMACROMOLECULES Chem. Res. Toxicol. Chem. Rev. Chem. Mater. CRYST GROWTH DES ENERG FUEL Environ. Sci. Technol. Environ. Sci. Technol. Lett. Eur. J. Inorg. Chem. IND ENG CHEM RES Inorg. Chem. J. Agric. Food. Chem. J. Chem. Eng. Data J. Chem. Educ. J. Chem. Inf. Model. J. Chem. Theory Comput. J. Med. Chem. J. Nat. Prod. J PROTEOME RES J. Am. Chem. Soc. LANGMUIR MACROMOLECULES Mol. Pharmaceutics Nano Lett. Org. Lett. ORG PROCESS RES DEV ORGANOMETALLICS J. Org. Chem. J. Phys. Chem. J. Phys. Chem. A J. Phys. Chem. B J. Phys. Chem. C J. Phys. Chem. Lett. Analyst Anal. Methods Biomater. Sci. Catal. Sci. Technol. Chem. Commun. Chem. Soc. Rev. CHEM EDUC RES PRACT CRYSTENGCOMM Dalton Trans. Energy Environ. Sci. ENVIRON SCI-NANO ENVIRON SCI-PROC IMP ENVIRON SCI-WAT RES Faraday Discuss. Food Funct. Green Chem. Inorg. Chem. Front. Integr. Biol. J. Anal. At. Spectrom. J. Mater. Chem. A J. Mater. Chem. B J. Mater. Chem. C Lab Chip Mater. Chem. Front. Mater. Horiz. MEDCHEMCOMM Metallomics Mol. Biosyst. Mol. Syst. Des. Eng. Nanoscale Nanoscale Horiz. Nat. Prod. Rep. New J. Chem. Org. Biomol. Chem. Org. Chem. Front. PHOTOCH PHOTOBIO SCI PCCP Polym. Chem.
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1