首页 > 最新文献

Journal of Kiswahili and Other African Languages最新文献

英文 中文
MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE
Pub Date : 2022-11-28 DOI: 10.58721/jkal.v1i1.94
Arinaitwe Annensia, Mosol Kandagor, Magdaline Wafula
Makala hii inachunguza mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubaini athari ya mabadiliko katika jamii katika ufasiri wa maana na matumizi ya methali za kijinsia miongoni mwa Wanyankole nchini Uganda. Mbinu za mahojiano zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulihusisha methali kumi na tano za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Uteuzi huo ulifanywa kimaksudi kwa sababu utafiti ulilenga kuchanganua methali zilizohusu jinsia za kike na kiume katika jamii ya Wanyankole. Nadharia ya Udenguzi ilitumika katika uchanganuzi wa data. Matokeo ya utafiti huu yalibainisha kuwa kadri ulimwengu unavyobadilika ndivyo jamii ya Wanyankole inavyobadilika hivyo basi mabadiliko haya yameathiri ufasiri wa maana katika methali za kijinsia za Wanyankole. Vilevile ilibainika kuwa jamii ya jadi inafasiri na kuzitumia baadhi ya methali tofauti na jamii ya kisasa. Makala hii inapendekeza kuwa baadhi ya methali zinafaa kurejelewa upya kiufasiri, kimuundo na kimatumizi ili uamilifu wake uwiane na jamii ya kisasa.
{"title":"MABADILIKO YA KIMAANA KATIKA METHALI ZA KIJINSIA: MIFANO KUTOKA JAMII YA WANYANKOLE","authors":"Arinaitwe Annensia, Mosol Kandagor, Magdaline Wafula","doi":"10.58721/jkal.v1i1.94","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.94","url":null,"abstract":"Makala hii inachunguza mabadiliko ya kimaana katika methali za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Lengo kuu la makala hii ni kubaini athari ya mabadiliko katika jamii katika ufasiri wa maana na matumizi ya methali za kijinsia miongoni mwa Wanyankole nchini Uganda. Mbinu za mahojiano zilitumika katika ukusanyaji wa data. Utafiti huu ulihusisha methali kumi na tano za kijinsia katika jamii ya Wanyankole. Uteuzi huo ulifanywa kimaksudi kwa sababu utafiti ulilenga kuchanganua methali zilizohusu jinsia za kike na kiume katika jamii ya Wanyankole. Nadharia ya Udenguzi ilitumika katika uchanganuzi wa data. Matokeo ya utafiti huu yalibainisha kuwa kadri ulimwengu unavyobadilika ndivyo jamii ya Wanyankole inavyobadilika hivyo basi mabadiliko haya yameathiri ufasiri wa maana katika methali za kijinsia za Wanyankole. Vilevile ilibainika kuwa jamii ya jadi inafasiri na kuzitumia baadhi ya methali tofauti na jamii ya kisasa. Makala hii inapendekeza kuwa baadhi ya methali zinafaa kurejelewa upya kiufasiri, kimuundo na kimatumizi ili uamilifu wake uwiane na jamii ya kisasa.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"356 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"122805376","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
USOMAJI-HAKIKI: MKAKATI WA UELEKEZAJI WA MBINU ZA UANDISHI KATIKA RIWAYA
Pub Date : 2022-11-28 DOI: 10.58721/jkal.v1i1.96
J. N. Maitaria
Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa.  Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.
{"title":"USOMAJI-HAKIKI: MKAKATI WA UELEKEZAJI WA MBINU ZA UANDISHI KATIKA RIWAYA","authors":"J. N. Maitaria","doi":"10.58721/jkal.v1i1.96","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.96","url":null,"abstract":"Usomaji-hakiki ni mbinu muhimu kwa watunzi-watarajiwa, wanagenzi na watunzi watajika katika ulingo wa utunzi wa riwaya ya Kiswahili. Usomaji huu unaweza kumsaidia mwenye aria ya kutunga na kuwasilisha miswada yao kwa nia ya kuchapishwa.  Aidha, usomaji huu unahitaji mkakati wa kujitolea kwa hiari. Ingawa kuna aina mbalmbali za usomaji wa riwaya kuna baadhi ambao ni wa kijumla mno na wenye viwingu vya matatizo. Kwa maana hii, hauwezi kumfunulia kumsaidia msomaji mwenye azma ya kujifunza au kuimarisha zaidi mbinu na taratibu za utunzi wa riwaya kusudiwa. Usomaji-hakiki wa riwaya za Kiswahili unaweza kusaidia katika kuwaelekeza wanagenzi na hata vigogowanaweza kujifunza na kunoa kunga zao za uwasilishaji wa riwaya. Makala hii inajaribu kudokeza namna usomaji-hakiki unavyoweza usomaji wa dhati kwa malengo ya kujenga ari ya kutunga, Kuwasilisha na hatimaye uchapishaji wa miswada ya riwaya ya Kiswahili. Isitoshe, Makala hii itapendekezwa namna usomaji-hakiki unaweza kama mbinu ya usomaji wa tanzu nyingine kifasihi kama hadithi fupi, tamthila na ushairi wa Kiswahili.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"23 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"124633208","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
RUWAZA YA VIVUMISHI KATIKA LUGHA AMBISHI BAINISHI: MIFANO KUTOKA LAHAJA YA KIIMENTI
Pub Date : 2022-11-28 DOI: 10.58721/jkal.v1i1.95
Kenneth Kinyua Thuranira, Jim Ontieri, Nancy Ayodi
Kivumishi ni kipashio muhimu katika lugha yoyote ile. Kinatumika pamoja na kategoria nyingine za maneno katika sentensi ili kufanikisha mawasiliano. Utafiti kuhusu kategoria mbalimbali za maneno umewahi kufanywa. Hata hivyo, hatujakumbana na utafiti unaoangazia ruwaza za kivumishi cha Kiimenti katika tungo za lahaja husika. Hivyo basi nia kuu ya makala haya ni kuthibitisha jinsi kivumishi katika lahaja hii hudhihirisha ruwaza mbalimbali kinapotumika katika sentensi za lahaja hiyo. Data iliyochanganuliwa na kuwasilishwa katika makala haya ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani tulirejelea kazi mbalimbali kuhusu ruwaza za vivumishi hasa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Aidha, tulisoma vitabu vya hadithi za Kiimenti ili kupata data ya kuchanganuliwa katika makala haya. Nyanjani tulikusanya data kutoka tarafa ya Abothuguchi ya Magharibi, kaunti ndogo ya Meru katika kaunti ya Meru.  Kwa kutumia sampuli maksudi tuliteua miktadha ya mikutano ya kanisa, shule, soko na ile ya chifu ambapo tulikusanya data. Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi. Kwa sasa lahaja ya Kiimenti haina maandishi mengi na haijatiliwa maanani sana katika mfumo wa elimu nchini Kenya.
这是了解语言的好方法。您可以将您的语言分类为 "人语"、"口语 "和 "听力"。请注意,您的语言分类中的 "人 "字的意思是 "人",而不是 "语言"。在今后的日子里,我们将继续努力,以更高的热情和更强的能力,为基里曼蒂社区的发展做出贡献。在过去的几年里,在基里曼蒂,人们已经认识到,在过去的几年里,在基里曼蒂,人们的生活发生了翻天覆地的变化。这些数据是从 makala 和 maktabani 收集的。Maktabani 着重强调斯瓦希里语和 Kiingereza 语中的 vivumishi hasa。因此,在 Kiimenti 和 maktabani 的数据中,都强调了基斯瓦希里语和基英格雷扎语中的 vivumishi hasa。我相信你们都听说过 "阿博图古奇"(Abothuguchi)和 "梅鲁"(Meru)的故事。 我相信你一定听说过这个,我相信你一定听说过这个,我相信你一定听说过这个。Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi.Kiimenti 是肯尼亚医疗保健领域的佼佼者,对此我们深感自豪。
{"title":"RUWAZA YA VIVUMISHI KATIKA LUGHA AMBISHI BAINISHI: MIFANO KUTOKA LAHAJA YA KIIMENTI","authors":"Kenneth Kinyua Thuranira, Jim Ontieri, Nancy Ayodi","doi":"10.58721/jkal.v1i1.95","DOIUrl":"https://doi.org/10.58721/jkal.v1i1.95","url":null,"abstract":"Kivumishi ni kipashio muhimu katika lugha yoyote ile. Kinatumika pamoja na kategoria nyingine za maneno katika sentensi ili kufanikisha mawasiliano. Utafiti kuhusu kategoria mbalimbali za maneno umewahi kufanywa. Hata hivyo, hatujakumbana na utafiti unaoangazia ruwaza za kivumishi cha Kiimenti katika tungo za lahaja husika. Hivyo basi nia kuu ya makala haya ni kuthibitisha jinsi kivumishi katika lahaja hii hudhihirisha ruwaza mbalimbali kinapotumika katika sentensi za lahaja hiyo. Data iliyochanganuliwa na kuwasilishwa katika makala haya ilikusanywa maktabani na nyanjani. Maktabani tulirejelea kazi mbalimbali kuhusu ruwaza za vivumishi hasa katika lugha ya Kiswahili na Kiingereza. Aidha, tulisoma vitabu vya hadithi za Kiimenti ili kupata data ya kuchanganuliwa katika makala haya. Nyanjani tulikusanya data kutoka tarafa ya Abothuguchi ya Magharibi, kaunti ndogo ya Meru katika kaunti ya Meru.  Kwa kutumia sampuli maksudi tuliteua miktadha ya mikutano ya kanisa, shule, soko na ile ya chifu ambapo tulikusanya data. Tunatarajia kuwa makala haya yatasaidia katika uandishi wa sarufi ya lahaja ya Kiimenti na pia kuchangia katika uhifadhi wake ili kuendeleza usomi. Kwa sasa lahaja ya Kiimenti haina maandishi mengi na haijatiliwa maanani sana katika mfumo wa elimu nchini Kenya.","PeriodicalId":433758,"journal":{"name":"Journal of Kiswahili and Other African Languages","volume":"60 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2022-11-28","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"126568073","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
引用次数: 0
期刊
Journal of Kiswahili and Other African Languages
全部 Acc. Chem. Res. ACS Applied Bio Materials ACS Appl. Electron. Mater. ACS Appl. Energy Mater. ACS Appl. Mater. Interfaces ACS Appl. Nano Mater. ACS Appl. Polym. Mater. ACS BIOMATER-SCI ENG ACS Catal. ACS Cent. Sci. ACS Chem. Biol. ACS Chemical Health & Safety ACS Chem. Neurosci. ACS Comb. Sci. ACS Earth Space Chem. ACS Energy Lett. ACS Infect. Dis. ACS Macro Lett. ACS Mater. Lett. ACS Med. Chem. Lett. ACS Nano ACS Omega ACS Photonics ACS Sens. ACS Sustainable Chem. Eng. ACS Synth. Biol. Anal. Chem. BIOCHEMISTRY-US Bioconjugate Chem. BIOMACROMOLECULES Chem. Res. Toxicol. Chem. Rev. Chem. Mater. CRYST GROWTH DES ENERG FUEL Environ. Sci. Technol. Environ. Sci. Technol. Lett. Eur. J. Inorg. Chem. IND ENG CHEM RES Inorg. Chem. J. Agric. Food. Chem. J. Chem. Eng. Data J. Chem. Educ. J. Chem. Inf. Model. J. Chem. Theory Comput. J. Med. Chem. J. Nat. Prod. J PROTEOME RES J. Am. Chem. Soc. LANGMUIR MACROMOLECULES Mol. Pharmaceutics Nano Lett. Org. Lett. ORG PROCESS RES DEV ORGANOMETALLICS J. Org. Chem. J. Phys. Chem. J. Phys. Chem. A J. Phys. Chem. B J. Phys. Chem. C J. Phys. Chem. Lett. Analyst Anal. Methods Biomater. Sci. Catal. Sci. Technol. Chem. Commun. Chem. Soc. Rev. CHEM EDUC RES PRACT CRYSTENGCOMM Dalton Trans. Energy Environ. Sci. ENVIRON SCI-NANO ENVIRON SCI-PROC IMP ENVIRON SCI-WAT RES Faraday Discuss. Food Funct. Green Chem. Inorg. Chem. Front. Integr. Biol. J. Anal. At. Spectrom. J. Mater. Chem. A J. Mater. Chem. B J. Mater. Chem. C Lab Chip Mater. Chem. Front. Mater. Horiz. MEDCHEMCOMM Metallomics Mol. Biosyst. Mol. Syst. Des. Eng. Nanoscale Nanoscale Horiz. Nat. Prod. Rep. New J. Chem. Org. Biomol. Chem. Org. Chem. Front. PHOTOCH PHOTOBIO SCI PCCP Polym. Chem.
×
引用
GB/T 7714-2015
复制
MLA
复制
APA
复制
导出至
BibTeX EndNote RefMan NoteFirst NoteExpress
×
0
微信
客服QQ
Book学术公众号 扫码关注我们
反馈
×
意见反馈
请填写您的意见或建议
请填写您的手机或邮箱
×
提示
您的信息不完整,为了账户安全,请先补充。
现在去补充
×
提示
您因"违规操作"
具体请查看互助需知
我知道了
×
提示
现在去查看 取消
×
提示
确定
Book学术官方微信
Book学术文献互助
Book学术文献互助群
群 号:481959085
Book学术
文献互助 智能选刊 最新文献 互助须知 联系我们:info@booksci.cn
Book学术提供免费学术资源搜索服务,方便国内外学者检索中英文文献。致力于提供最便捷和优质的服务体验。
Copyright © 2023 Book学术 All rights reserved.
ghs 京公网安备 11010802042870号 京ICP备2023020795号-1