J. Mutua, Justus Kyalo Muusya, Gerald Okioma Mogere
Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii. Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumechunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea riwaya ya Haini. Huu ni uchunguzi wa kimaktabani. Data ya makala hii imetokana na usomaji na uhakiki wa riwaya teule pamoja na machapisho mengine kuhusu mada na nadharia iliyoongoza uchunguzi. Kwa vile data ni ya kimaelezo, ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia iyo hiyo ya kimaelezo. Matokeo ya uchunguzi huu yanatumiwa kutoa changamoto kwa viongozi wanaoyatumia mamlaka yao vibaya kwa kuwawatia wapinzani wao gerezani na vivyo hivyo kuwafunga wananchi wanaowaongoza gerezani nje ya gereza bila kuwajali.
他的父亲亚当-沙菲(Adam Shafi)是一名海因里希-沙菲(Haini ya Shafi Adam Shafi)的儿子。此外,迈克尔-福柯(Michael Foucault)的 "Ki-Foucault"("Ki-Foucault "的中文译名)也是一个重要的概念。他的 "谬误 "和 "错误",让人无法理解。在斯瓦希里语的语言环境中,我们要做的是,让我们的语言更加丰富多彩。我们的目标是:通过化学反应,让人们在日常生活中更好地使用语言。在这些地区,我们的工作是帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人,帮助那些需要帮助的人。在海尼岛上,有很多人都在为自己的生活而努力。Huu ni uchunguzi wa kimaktabani.海尼的数据显示,在海尼的海湾地区,我们的用户数量在不断增长,而我们的数据却在不断减少。如果数据不准确,就会被认为是错误的。我们的目标是,在未来的日子里,让更多的人参与到社会中来,让更多的人参与到社会中来,让更多的人参与到社会中来。
{"title":"Fasihi ya Kigereza: Uhakiki wa Riwaya ya Haini (Shafi, 2003) kwa Mtazamo wa Ki-Foucault","authors":"J. Mutua, Justus Kyalo Muusya, Gerald Okioma Mogere","doi":"10.37284/jammk.6.1.1215","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1215","url":null,"abstract":"Makala hii inakusudiwa kutalii jinsi gereza ilivyotumiwa kama msingi wa kuendeleza maudhui katika riwaya ya Haini ya Shafi Adam Shafi. Aidha, inapania kudhihirisha jinsi maudhui ya jamii ya kigereza yanavyobainika kuambatana na sifa zinazotambuliwa na Michael Foucault ambaye ni mwasisi wa nadharia ya Ki-Foucault inayoongoza uhakiki huu. Aghalabu msanii wa fasihi huchota malighafi yake kutokana na jamii anamokulia pamoja na tajriba yake inayoongozwa na ubunifu wake. Pia, matukio na asasi mbalimbali za jamii hutoa mchango mkubwa katika kuendeleza maudhui katika fasihi ya Kiswahili. Gereza ni mojawapo ya asasi zinazokuwa chemichemi ya maudhui yanayoendeleza fasihi katika jamii. Maudhui ni kipengele muhimu katika kazi ya fasihi, yanapofafanuliwa na kueleweka na msomaji, hapo ndipo lengo la mwandishi hukamilika. Katika msingi huu tumechunguza jukumu la mfumo wa kigereza na athari zake katika jamii kwa kurejerea riwaya ya Haini. Huu ni uchunguzi wa kimaktabani. Data ya makala hii imetokana na usomaji na uhakiki wa riwaya teule pamoja na machapisho mengine kuhusu mada na nadharia iliyoongoza uchunguzi. Kwa vile data ni ya kimaelezo, ilichanganuliwa na kuwasilishwa kwa njia iyo hiyo ya kimaelezo. Matokeo ya uchunguzi huu yanatumiwa kutoa changamoto kwa viongozi wanaoyatumia mamlaka yao vibaya kwa kuwawatia wapinzani wao gerezani na vivyo hivyo kuwafunga wananchi wanaowaongoza gerezani nje ya gereza bila kuwajali.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"7 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-05-15","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"131532939","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Uwiano na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu
{"title":"Uhakiki Linganishi wa Kanuni za Mifanyiko ya Vivumishi vya Luganda na Kiswahili Sanifu","authors":"Martin Mulei","doi":"10.37284/jammk.6.1.1206","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1206","url":null,"abstract":"Uwiano na tofauti za kanuni za matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia baina ya lugha asili na Kiswahili umeripotiwa kusababisha athari za mwingiliana katika matumizi ya Kiswahili. Luganda na Kiswahili ni lugha za Kibantu ambazo huzingatia kanuni katika matumizi ya vipashio vya kimofosintaksia. Lugha hizi za Kibantu, hudhihirisha upekee wa mfumo katika matumizi ya vivumishi kimofosintaksia. Utambuzi wa kanuni za kimofosintaksia ni msingi katika matumizi ya vivumishi vya Luganda na Kiswahili sanifu. Kwa hiyo, makala hii inadhamiria kueleza jinsi kanuni za mifanyiko ya vivumishi vya Luganda hufanana na kutofautiana na za Kiswahili kimatumizi. Kwa kuzingatia mihimili ya Ubia na Upatanifu ya Chomsky (1981), data za matumizi ya kanuni za vivumishi zilikusanywa maktabani kupitia kwa usomaji na uhakiki wa maandishi. Inatarajiwa kuwa utambuzi wa kanuni za mifanyiko ya vivumishi, michango ya kanuni za lugha asili katika ujifunzaji wa Kiswahili, utaweka mikakati ya ujifunzaji ya kuepukana na athari za mwingiliano wa vipashio vya lugha asili katika matumizi ya Kiswahili sanifu","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"466 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-05-08","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"127011555","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Utafiti huu ulichunguza suala la ukahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema (Mohamed S.Mohamed) na Ndoto ya Almasi (Ken Walibora). Kitendo cha ukahaba kimesababisha mashaka mengi sana katika maisha ya mwanadamu kama vile kupoteza ujira, uharibikaji wa ndoa, maradhi ya zinaa, vifo, kukata tamaa na utengano miongoni mwa wanajamii. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni: kubainisha usawiri wa ukahaba na wahusika makahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi; kuchunguza sababu zinazowalazimu wahusika kufanya ukahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi; na kudhihirisha athari za ukahaba kwa wahusika waliomo katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi. Mtafiti alitumia nadharia ya utekelezi ambayo ni miongoni mwa nadharia nyingi zenye mtazamo wa kisosholojia. Nadharia ya utekelezi imeendelezwa na wanasosholojia kama vile Talcort Parsons na Emile Durkheim kama wanavyonukuliwa na Worsely Introducing Sociology (1970), huku akisema kwamba ukahaba husababishwa na mambo mawili yaani haja ya kutekeleza mahitaji ya kiuchumi na kwa kukidhi matashi ya nafsi zao kiashki. Mtafiti pia alitumia nadharia ya umaksi iliyoanzishwa na Karl Marx (1818-1863) na Fredrich Engles(1820-1895). Nadharia hii hufaa utafiti huu kwa kudhihirisha wahusika wanaoshiriki katika vitendo vya ukahaba kwa ajili ya kupata fedha au zawadi. Mabepari au walionacho huwa na lengo la kuridhisha miili yao tu na wanyonge huwa na lengo la kupata pesa ili kutimiza mahitaji yao, pengine, mnyonge hutolea mwili wake kwa ajili ya kupewa kazi au kupandishwa cheo kazini au kama njia ya kuilinda kazi yake ili asipigwe kalamu. Utafiti huu ni wa maktabani kwa hivyo, maktaba yaliyotumika ni yale ya Chuo Kikuu cha uislamu kilichopo nchini Uganda, Chuo kikuu cha Bishop Stuart Mbarara, na maktabani ya shule ya upili Heritage. Data za utafiti huu zilikusanywa kutoka maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na uchunguzaji wa riwaya teule yaani: ile ya Nyota ya Rehema na ya Ndoto ya Almasi kwa kuzisoma na kuzichambua kwa kina na kuiwasilishwa data kwa mbinu ya kiuthamano. Utafiti huu umebainisha kuwa wahusika hufanya ukahaba ili kupata pesa au kuridhisha matashi ya nafsi zao kiashiki. Utafiti huu utakuwa wa muhimu sana kwa kufunza jamii kwamba kahaba si mwanamke peke yake kama inavyochukuliwa katika baadhi ya jamii bali kahaba ni mtu yeyote awe mwanamume au mwanamke anayeshiririki vitendo vya uzinzi.
{"title":"Kuchunguza Sababu Zinazowalazimu Wahusika Kufanya Ukahaba katika Riwaya ya Nyota ya Rehema Na Ndoto ya Almasi","authors":"Karuhanga Deusdedit, F. Indede","doi":"10.37284/jammk.6.1.1194","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1194","url":null,"abstract":"Utafiti huu ulichunguza suala la ukahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema (Mohamed S.Mohamed) na Ndoto ya Almasi (Ken Walibora). Kitendo cha ukahaba kimesababisha mashaka mengi sana katika maisha ya mwanadamu kama vile kupoteza ujira, uharibikaji wa ndoa, maradhi ya zinaa, vifo, kukata tamaa na utengano miongoni mwa wanajamii. Madhumuni ya utafiti huu yalikuwa ni: kubainisha usawiri wa ukahaba na wahusika makahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi; kuchunguza sababu zinazowalazimu wahusika kufanya ukahaba katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi; na kudhihirisha athari za ukahaba kwa wahusika waliomo katika riwaya ya Nyota ya Rehema na Ndoto ya Almasi. Mtafiti alitumia nadharia ya utekelezi ambayo ni miongoni mwa nadharia nyingi zenye mtazamo wa kisosholojia. Nadharia ya utekelezi imeendelezwa na wanasosholojia kama vile Talcort Parsons na Emile Durkheim kama wanavyonukuliwa na Worsely Introducing Sociology (1970), huku akisema kwamba ukahaba husababishwa na mambo mawili yaani haja ya kutekeleza mahitaji ya kiuchumi na kwa kukidhi matashi ya nafsi zao kiashki. Mtafiti pia alitumia nadharia ya umaksi iliyoanzishwa na Karl Marx (1818-1863) na Fredrich Engles(1820-1895). Nadharia hii hufaa utafiti huu kwa kudhihirisha wahusika wanaoshiriki katika vitendo vya ukahaba kwa ajili ya kupata fedha au zawadi. Mabepari au walionacho huwa na lengo la kuridhisha miili yao tu na wanyonge huwa na lengo la kupata pesa ili kutimiza mahitaji yao, pengine, mnyonge hutolea mwili wake kwa ajili ya kupewa kazi au kupandishwa cheo kazini au kama njia ya kuilinda kazi yake ili asipigwe kalamu. Utafiti huu ni wa maktabani kwa hivyo, maktaba yaliyotumika ni yale ya Chuo Kikuu cha uislamu kilichopo nchini Uganda, Chuo kikuu cha Bishop Stuart Mbarara, na maktabani ya shule ya upili Heritage. Data za utafiti huu zilikusanywa kutoka maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini na uchunguzaji wa riwaya teule yaani: ile ya Nyota ya Rehema na ya Ndoto ya Almasi kwa kuzisoma na kuzichambua kwa kina na kuiwasilishwa data kwa mbinu ya kiuthamano. Utafiti huu umebainisha kuwa wahusika hufanya ukahaba ili kupata pesa au kuridhisha matashi ya nafsi zao kiashiki. Utafiti huu utakuwa wa muhimu sana kwa kufunza jamii kwamba kahaba si mwanamke peke yake kama inavyochukuliwa katika baadhi ya jamii bali kahaba ni mtu yeyote awe mwanamume au mwanamke anayeshiririki vitendo vya uzinzi.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"130 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-05-01","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"115891212","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Katika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇a mumewe, ni ule wa Ṁanakupona. K̇a mara ya k̇anza, makala haya yanaangaziya uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na majukumu ya mume k̇a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha aliyonayo mtunzi k̇a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa. Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa: k̇enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke yao bali na jamii k̇a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇idhibiṭi nrowa. Naṭija ilopatikana k̇a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇a k̇angaziwa sana Ṁanakupona na kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa kiyume.
如果你能言善辩,kiSwahili uṭeṇḍi 将能够与你谈论你自己的生活,你的生活,你的生活,你的生活。在你的人生道路上,你会遇到很多困难和挫折,但你都能迎刃而解。Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake.在这种情况下,你将能够认识到造物主的正义和造物主的正直。Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa:在此基础上,我们还可以对乌梅扎诺的 "狩猎 "和 "狩猎 "进行分析;我们还可以对乌梅扎诺的 "狩猎 "和 "狩猎 "进行分析;最后,"inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka"。在这种情况下,你的生活会变得更加美好。Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze kideshibiṭi nrowa.我们的国家在语言、文化和社会方面都取得了长足的进步。
{"title":"Kimonro cha Mvuli asahau uume wake nrowa ni jamaa kinavowasilishwa katika Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume): Uchanganuzi Kifano","authors":"M. Karama","doi":"10.37284/jammk.6.1.1181","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1181","url":null,"abstract":"Katika ṭaaluma ya fasihi ya kiSwahili uṭeṇḍi maarufu uliyoṭafiṭiwa mno kuhusu masiyala ya nrowa, kazi na majukumu ya mke k̇a mumewe, ni ule wa Ṁanakupona. K̇a mara ya k̇anza, makala haya yanaangaziya uṭeṇḍi ṁengine ambao haujaṭafiṭiwa k̇a ṭafsili wenye kuraṭibu kazi na majukumu ya mume k̇a mkewe. Utendi wa Ramani ya Maisha ya Ndoa (Mume) uliyotungwa na Usṭadh Mahmouḍ Mau unampa mvulana wasiya wa kutumiya katika kufaulisha nrowa yake. Makala haya yaṇjaribu kudhihirisha elimu ya kiḍini na hekima ya ṭajiriba ya kimaisha aliyonayo mtunzi k̇a kumnasihi mvuli kuwa hakuna ukʰuu katika nrowa. Makala haya yakiongozwa na nadhariya ya Usemezano yamechanganuwa maudhui ya hekima ya mtunzi na kubainisha kuwa: k̇enye mukṭadha wa nrowa mke na mume wanasemezana si wao peke yao bali na jamii k̇a ujumla; kuna mabaḍiliko ya maana ya maneno kila kukicha basi na maana ya uume piya inabaḍilika kila kukicha; na ṁishowe, maana inayokuja baaḍa ya kukaa nrani ya maisha ya nrowa huwa ṭafauṭi na ile ilozoweleka. Makala haya yanahiṭimisha kuwa mtunzi aliṭaka kumfunza mvulana na msichana kuwa maisha ya nrowa ni ya watʰu wawili lakini majukumu zaiḍi yanaṁangukiya mume katika kufaulisha nrowa yake. Isiṭoshe, uṭeṇḍi huu unamkazaniya mume amsome mkewe kila siku kila saa ili aweze k̇idhibiṭi nrowa. Naṭija ilopatikana k̇a kuushughulikiya uṭeṇḍi huu ni kubaḍilisha nadhari katika ṭaaluma za kiSwahili na kijinsiya k̇a k̇angaziwa sana Ṁanakupona na kuṭoṭafiṭiwa ṭʰeṇḍi nyenginezo haswa zinazotiliya maanani mtoto wa kiyume.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"10 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-04-19","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"129949364","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Itikadi ni mawazo na fikra zinazohalalisha masuala katika kijamii. Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo. Itikadi hupata mamlaka na uhalali kwa hiari bila kutumia nguvu. Viongozi wa kisiasa na kidini hujiegemeza katika itikadi fulani ili kufanikisha malengo yao kwa sababu wanafahamu kuwa itikadi hiyo imekubalika na wanajamii. Mabadiliko hayawezi kuepukika, na jinsi sekta tofauti tofauti katika jamii zinapopitia mabadiliko ndivyo viongozi wanavyobadilisha mbinu za uongozi wao. Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii. Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Baadhi ya aina za itikadi ambazo zimebainishwa katika tamthilia teule ni pamoja na; itikadi ya dini, ukombozi, utawala, itikadi ya utamaduni, itikadi ya umwinyi na itikadi ya ubepari. Aina hizi zimebainishwa kutokana na usemi wa wahusika na muktadha mazungumzo. Utafiti wa makala hii umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Nadharia hii hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kisiasa, kiusemi, kiutamaduni, kimatini na kijamii. Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya. Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii
这是了解通奸和性骚扰的好方法。Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo.该 mamlaka 有一个 uhalalali mamlaka,可以用于任何形式的性交。在这种情况下,我们所说的 "性 "是指 "性关系"。在这一点上,"我们 "的意思是 "我们",而不是 "我们 "的意思。"我们 "的意思是 "我们",而不是 "我们 "的意思是 "我们"。Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii.Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001)。在这项研究中,"zimebainisha "主要有两种类型:早期、combozi、utawala、早期、umwinyi 和 ubepari。毫无疑问,kutokana 是一个很好的开始。本研究以 Norman Fairclough(1989 年)的《Uchanganuzi Tahakiki Usemi》(UTU)为基础。在研究过程中,研究人员根据自己的研究经验,对 "Huangazia athari ya itikana "进行了分析。Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya.Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii
{"title":"Itikadi Katika Tamthilia za Kifo Kisimani (2001) na Maua Kwenye Jua la Asubuhi (2004)","authors":"Minyade Sheril Mugaduka, Jessee Murithi","doi":"10.37284/jammk.6.1.1171","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1171","url":null,"abstract":"Itikadi ni mawazo na fikra zinazohalalisha masuala katika kijamii. Fikra hizi huhalalisha mamlaka ya kisiasa na seti za matendo zinazotekeleza vitendo. Itikadi hupata mamlaka na uhalali kwa hiari bila kutumia nguvu. Viongozi wa kisiasa na kidini hujiegemeza katika itikadi fulani ili kufanikisha malengo yao kwa sababu wanafahamu kuwa itikadi hiyo imekubalika na wanajamii. Mabadiliko hayawezi kuepukika, na jinsi sekta tofauti tofauti katika jamii zinapopitia mabadiliko ndivyo viongozi wanavyobadilisha mbinu za uongozi wao. Pia, historia inapobadilika ndivyo itikadi inavyobadilika katika jamii. Makala imeeleza dhana ya itikadi, imefafanua aina za itikadi na kuzibainisha katika tamthilia za Maua kwenye Jua la Asubuhi (2004) na Kifo Kisimani (2001). Baadhi ya aina za itikadi ambazo zimebainishwa katika tamthilia teule ni pamoja na; itikadi ya dini, ukombozi, utawala, itikadi ya utamaduni, itikadi ya umwinyi na itikadi ya ubepari. Aina hizi zimebainishwa kutokana na usemi wa wahusika na muktadha mazungumzo. Utafiti wa makala hii umeongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Tahakiki Usemi (UTU) ilioasisiwa na Norman Fairclough (1989). Nadharia hii hueleza uhusiano uliopo kati ya matukio ya kisiasa, kiusemi, kiutamaduni, kimatini na kijamii. Huangazia athari ya itikadi katika matukio haya. Pia, huangazia jinsi usemi huo huathiri matukio haya katika jamii","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-04-14","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"129952667","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika eneo la Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Tulitumia mihimili miwili ya nadharia ya “Modeli ya Mtazamo wa Wasikilizaji” (Bell, 1984, 2014). Mhimili wa kwanza unadai kuwa Mtazamo wa wasikilizaji hutumika katika viwango vyote vya lugha iwe ni lugha moja au wingi lugha kwani haiangazii tu kubadilisha mtindo wa utamkaji wa sauti, bali pia uchaguzi wa jinsi ya kutamka sauti na upole wa mazungumzo. Mhimili wa pili hudai kuwa mtindo wa matumizi ya lugha katika uzungumzaji huwa chanzo cha mabadiliko katika mahusiano ya mazungumzo. Usampulishaji wa kimaksudi ulitumika kwa sababu ya urahisi wa kupata walengwa wa makala haya. Kiasa kikubwa cha data kilitokana na kanda za sauti za mahubiri mbalimbali kutoka kwa wahubiri tofauti. Hatimaye, kanda tatu ambazo wahubiri walizolota na tatu ambazo wahubiri hawakuzolota zilitumika. Kanda za mahubiri zilichujwa kwa kutumia programu ya PRAAT ili kupata sifa za kiakustika zinazobainisha sauti zoloto. Mbinu za hojaji, mahojiano na wahubiri binafsi, uchunzaji na mahojiano na makundi legwa zilitumika katika uchanganuzi na ufasili wa data. Matokeo ya utafiti yalibainisha vigezo vikuu vitano ambavyo ni kipimo cha hezi, urefu wa mawimbi ya sauti, kiwango cha desibeli, mpumuo wa sauti, kiwango cha tambo na tofauti kati ya fomanti ya kwanza na ya pili kama baadhi ya sifa zinazobainisha sauti zoloto za wahubiri wa Kipentekosti
{"title":"Baadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wake","authors":"Teresiah Nyambura, Peter Githinji","doi":"10.37284/jammk.6.1.1166","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1166","url":null,"abstract":"Makala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika eneo la Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Tulitumia mihimili miwili ya nadharia ya “Modeli ya Mtazamo wa Wasikilizaji” (Bell, 1984, 2014). Mhimili wa kwanza unadai kuwa Mtazamo wa wasikilizaji hutumika katika viwango vyote vya lugha iwe ni lugha moja au wingi lugha kwani haiangazii tu kubadilisha mtindo wa utamkaji wa sauti, bali pia uchaguzi wa jinsi ya kutamka sauti na upole wa mazungumzo. Mhimili wa pili hudai kuwa mtindo wa matumizi ya lugha katika uzungumzaji huwa chanzo cha mabadiliko katika mahusiano ya mazungumzo. Usampulishaji wa kimaksudi ulitumika kwa sababu ya urahisi wa kupata walengwa wa makala haya. Kiasa kikubwa cha data kilitokana na kanda za sauti za mahubiri mbalimbali kutoka kwa wahubiri tofauti. Hatimaye, kanda tatu ambazo wahubiri walizolota na tatu ambazo wahubiri hawakuzolota zilitumika. Kanda za mahubiri zilichujwa kwa kutumia programu ya PRAAT ili kupata sifa za kiakustika zinazobainisha sauti zoloto. Mbinu za hojaji, mahojiano na wahubiri binafsi, uchunzaji na mahojiano na makundi legwa zilitumika katika uchanganuzi na ufasili wa data. Matokeo ya utafiti yalibainisha vigezo vikuu vitano ambavyo ni kipimo cha hezi, urefu wa mawimbi ya sauti, kiwango cha desibeli, mpumuo wa sauti, kiwango cha tambo na tofauti kati ya fomanti ya kwanza na ya pili kama baadhi ya sifa zinazobainisha sauti zoloto za wahubiri wa Kipentekosti","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"17 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-04-10","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"122426745","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Ukopaji wa leksimu baina ya lugha tofauti ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Kwa hivyo, makala haya yamechunguza jinsi lugha ya Kiswahili imechangia katika upanuzi wa Lubukusu kimofofonolojia kupitia ukopaji wa nomino. Hali hii ilisababishwa na dhana kwamba Kiswahili kimeathiri Lubukusu kiisimu kupitia vipengele kama vile fonolojia, mofolojia na sintaksia. Hata hivyo,makala haya yamejikita tu katika viwango viwili vya kiisimu; fonolojia na mofolojia. Malengo matatu yalishughulikiwa katika makala haya ambayo ni: kubainisha mabadiliko ya kifonolojia yaliyojitokeza katika nominomkopo kutoka Kiswahili hadi Lubukusu, kutambulisha mabadiliko ya kimofolojia yaliyojitokeza katika nominomkopo kutoka Kiswahili hadi Lubukusu na kuchunguza ulinganifu wa kifonolojia na kimofolojia uliopo baina ya nominomkopo za Lubukusu na leksimu changizi za Kiswahili. Hatua zote za makala haya zilitimizwa kupitia mihimili ya nadharia ya Mlingano Chanzi, modeli ya kiutohozi iliyoasisiwa na Smith (2009) na ni maendelezo ya Nadharia Upeo (OptimalityTheory) iliyopendekezwa na Prince na Smolensky (1993). Data ilikusanywa kutoka maktabani na nyanjani. Data ya maktabani ilipatikana kupitia udurusu wa vitabu, tasnifu, majarida na makala ya mtandaoni. Nyanjani, sampuli iliteuliwa kimaksudi kupitia mahojiano kwa walengwa 24 wa jamiilugha ya Babukusu kutoka Kaunti Ndogo ya Kiminini, Kauntiya Trans-Nzoia. Mahojiano yalihusu habari za kibinafsi na maswali teule kutoka kwa vikoa 12 vya kisemantiki. Uchanganuzi wa nominomkopo zilizokusanywa kutoka nyanjani ulidhihirisha kwamba kuna mfanano wa kimaumbo kati ya nomino hizo zikiwa katika mazingiraya Kiswahili na hata zinapohamishiwa katika mazingira ya Lubukusu. Uchunguzi wa matokeo ulionyesha kwamba nominokopwa za Lubukusu kutoka Kiswahili hupitia mabadiliko ya kifonolojia, kimofolojia na mabadiliko hayo yaliongozwa na sheria za kimofofonolojia zilizorahisisha usimilisho wa nomino hizo kopwa katika sarufi ya Lubukusu.
我们的目标是,在未来的日子里,让我们在斯瓦希里语的语言环境中,在卢布库的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,在我们的语言环境中,让我们的语言环境更加美好。在今后的日子里,我们将在斯瓦希里语的语言环境中,在卢布库苏语的语言环境中,努力提高我们的语言能力。在未来的日子里,我们将继续努力,让我们的生活更加美好。我们的目标是:让我们的生活更加美好:kubainisha mabadiliko ya kifonolojia yaliyojitokeza katika nominomkopo kutoka Kiswahili hadi Lubukusu、在卢布库斯的斯瓦希里语提名表中加入 "对未来的支持 "和 "对未来的支持",在卢布库斯的提名表中加入 "对斯瓦希里语的支持"。史密斯(Smith,2009 年)和普林斯(Prince,1993 年)的 "最优化理论"(Nadharia Upeo,OptimalityTheory)模型,都是通过数据分析得出的。数据可帮助我们更好地理解 "最优化理论"。这些数据可用于对生命、社会、经济和环境的分析。现在,我们可以在 "巴布库苏 "第 24 期的 "Kaunti Ndogo ya Kiminini"、"Kauntiya Trans-Nzoia "栏目中找到相关信息。在 12 个国家中,有 12 个国家提名了候选人。在提名过程中,我们会对提名人的语言进行调整,以适应卢布库苏的语言环境。在卢布库提名系统中,斯瓦希里语的 "语言"、"词汇 "和 "词汇 "均可用于 "词汇 "和 "词汇 "的使用,而斯瓦希里语的 "语言 "和 "词汇 "则可用于 "词汇 "和 "词汇 "的使用,而斯瓦希里语的 "语言 "和 "词汇 "则可用于 "词汇 "和 "词汇 "的使用。
{"title":"Mchango wa Kiswahili katika Mofofonolojia ya Nominomkopo za Lubukusu","authors":"Tom Juma James, Jacktone O. Onyango","doi":"10.37284/jammk.6.1.1162","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1162","url":null,"abstract":"Ukopaji wa leksimu baina ya lugha tofauti ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Kwa hivyo, makala haya yamechunguza jinsi lugha ya Kiswahili imechangia katika upanuzi wa Lubukusu kimofofonolojia kupitia ukopaji wa nomino. Hali hii ilisababishwa na dhana kwamba Kiswahili kimeathiri Lubukusu kiisimu kupitia vipengele kama vile fonolojia, mofolojia na sintaksia. Hata hivyo,makala haya yamejikita tu katika viwango viwili vya kiisimu; fonolojia na mofolojia. Malengo matatu yalishughulikiwa katika makala haya ambayo ni: kubainisha mabadiliko ya kifonolojia yaliyojitokeza katika nominomkopo kutoka Kiswahili hadi Lubukusu, kutambulisha mabadiliko ya kimofolojia yaliyojitokeza katika nominomkopo kutoka Kiswahili hadi Lubukusu na kuchunguza ulinganifu wa kifonolojia na kimofolojia uliopo baina ya nominomkopo za Lubukusu na leksimu changizi za Kiswahili. Hatua zote za makala haya zilitimizwa kupitia mihimili ya nadharia ya Mlingano Chanzi, modeli ya kiutohozi iliyoasisiwa na Smith (2009) na ni maendelezo ya Nadharia Upeo (OptimalityTheory) iliyopendekezwa na Prince na Smolensky (1993). Data ilikusanywa kutoka maktabani na nyanjani. Data ya maktabani ilipatikana kupitia udurusu wa vitabu, tasnifu, majarida na makala ya mtandaoni. Nyanjani, sampuli iliteuliwa kimaksudi kupitia mahojiano kwa walengwa 24 wa jamiilugha ya Babukusu kutoka Kaunti Ndogo ya Kiminini, Kauntiya Trans-Nzoia. Mahojiano yalihusu habari za kibinafsi na maswali teule kutoka kwa vikoa 12 vya kisemantiki. Uchanganuzi wa nominomkopo zilizokusanywa kutoka nyanjani ulidhihirisha kwamba kuna mfanano wa kimaumbo kati ya nomino hizo zikiwa katika mazingiraya Kiswahili na hata zinapohamishiwa katika mazingira ya Lubukusu. Uchunguzi wa matokeo ulionyesha kwamba nominokopwa za Lubukusu kutoka Kiswahili hupitia mabadiliko ya kifonolojia, kimofolojia na mabadiliko hayo yaliongozwa na sheria za kimofofonolojia zilizorahisisha usimilisho wa nomino hizo kopwa katika sarufi ya Lubukusu. \u0000 ","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"43 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-04-06","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"133290120","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Makala haya yananuia kuainisha na kuchanganua makosa ya kifonolojia miongoni mwa wanafunzi wanaozungumza Kiigembe katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Athari hizo hutokea kwa sababu ya kuingiliana kwa lugha hizi mbili ambazo ni Kiswahili na Kiigembe. Ni kutokana na maingiliano haya ambapo tunapata athari ya Kiigembe katika Kiswahili na athari hizo pia hutegemea miundo ya lugha zinazohusika. Makala haya yameongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Linganuzi. Hii ni nadharia ya ujifunzaji wa lugha ya pili ambayo hulinganisha na kulinganua lugha mbili ili kuonyesha jinsi zinavyofanana na kutofautiana. Data ya makala haya inatokana na sampuli ya wanafunzi mia mbili na arobaini wa shule za upili za kutwa kutoka Kaunti Ndogo ya Igembe Kusini, Kaunti ya Meru nchini Kenya. Utafiti wa nyanjani ulihusisha mahojiano, hojaji, usimuliaji wa hadithi na pia uandishi wa insha. Matokeo ya utafiti yalibainisha kuwa kuna tofauti kidogo katika baadhi ya fonimu za lugha ya Kiigembe na ya Kiswahili. Tofauti katika miundo ya lugha hizi mbili imebainika kuwa chanzo cha athari ya Kiigembe inayojitokeza katika lugha ya Kiswahili
{"title":"Makosa ya Kifonolojia Miongoni mwa Wanafunzi wa Kiigembe katika Ujifunzaji wa Kiswahili","authors":"Jackson Kimathi Kanake","doi":"10.37284/jammk.6.1.1153","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1153","url":null,"abstract":"Makala haya yananuia kuainisha na kuchanganua makosa ya kifonolojia miongoni mwa wanafunzi wanaozungumza Kiigembe katika ujifunzaji wa lugha ya Kiswahili. Athari hizo hutokea kwa sababu ya kuingiliana kwa lugha hizi mbili ambazo ni Kiswahili na Kiigembe. Ni kutokana na maingiliano haya ambapo tunapata athari ya Kiigembe katika Kiswahili na athari hizo pia hutegemea miundo ya lugha zinazohusika. Makala haya yameongozwa na nadharia ya Uchanganuzi Linganuzi. Hii ni nadharia ya ujifunzaji wa lugha ya pili ambayo hulinganisha na kulinganua lugha mbili ili kuonyesha jinsi zinavyofanana na kutofautiana. Data ya makala haya inatokana na sampuli ya wanafunzi mia mbili na arobaini wa shule za upili za kutwa kutoka Kaunti Ndogo ya Igembe Kusini, Kaunti ya Meru nchini Kenya. Utafiti wa nyanjani ulihusisha mahojiano, hojaji, usimuliaji wa hadithi na pia uandishi wa insha. Matokeo ya utafiti yalibainisha kuwa kuna tofauti kidogo katika baadhi ya fonimu za lugha ya Kiigembe na ya Kiswahili. Tofauti katika miundo ya lugha hizi mbili imebainika kuwa chanzo cha athari ya Kiigembe inayojitokeza katika lugha ya Kiswahili","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"186 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-29","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"121757014","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Nyanja mbalimbali katika jamii hutegemea matumizi ya lugha. Hali hii huzua changamoto ya namna ya kutumia raslimali za lugha zinazopatikana katika jamiilugha fulani. Juhudi ya kufahamu na kutagusana na ulimwengu huhitaji matumizi ya kiisimu ya kipekee. Katika muktadha wa kidini kuna changamoto ya asili ya maneno, mamlaka, utambulisho na ushirikiano wa wahusika. Aidha, miktadha mbalimbali ya kidini hutumia lugha kutimiza mahitaji yake maalum. Lugha hutenda matendo, huomba maombi ya kukemea, husimulia hali za kijamii na hata huonekana kudhibiti matendo ya Maulana. Ni kwa misingi hii ndipo kazi hii inajukumika kutalii jinsi lugha ya Kiswahili na Kibukusu zinavyotagusana katika mawanda haya ya dini, hasa Dini ya Musambwa (DYM) ambayo inaaminika kuwa ya kiasili katika jamii hii ya Wabukusu katika Kaunti ya Bungoma. Kazi hii inazingatia misingi ya Spolsky (2004, 2006, 2009) ambaye anajadili kuwa sera ya lugha halisi ya jamii hupatikana kwenye matumizi yake. Anazingatia Mwelekeo wa ikolojia ya lugha uliozinduliwa na Haugen (1972) unaochunguza mwingiliano baina ya lugha na mazingira. Muundo wa kiuchanganuzi ulitumiwa. Kupitia uchunzaji wa kutoshiriki moja kwa moja mtafiti alihudhuria ibada na kunasa mazungumzo yao kwenye kanda ya kunasia sauti. Mazungumzo hayo yalinakiliwa na orodha ya uchunzaji ilitumiwa kubainisha na kueleza namna lugha ya Kibukusu na Kiswahili zilivyotumiwa katika shughuli za kanisa hilo. Hali ya kuchanganya na kubadili msimbo, utohozi na hata matumizi ya Kiswahili kwa Kibukusu haikuweza kuepukika. Utafiti huu unadhihirisha kuwa raslimali za lugha zilizopo katika ikolojia fulani huchagizana katika kukamilisha majukumu ya mawasiliano katika muktadha husika.
我们将继续努力,为我们的家庭提供更多的帮助。我们还将继续努力,使我们的国家更加强大,使我们的人民更加幸福。我们的目标是:让我们的国家成为世界上最富裕的国家之一,让我们的民族成为世界上最强大的民族之一。在孩子们的成长过程中,我们会遇到各种问题,如:马内诺、马姆拉卡、乌坦布里希奥、瓦胡西卡等。此外,我们还将为孩子们提供更多的帮助。我们要做的是,在我们的国家,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是,我们要做的是。在本戈马,穆桑布瓦青年会(DYM)的成员们都在学习斯瓦希里语和基布库苏语。斯波尔斯基的研究报告(2004、2006、2009 年)中也提到了这一点。在非洲的研究中,我们注意到豪根(Haugen,1972 年)在非洲的研究中提出了一些新的观点。Muundo wa kiuchanganuzi ulitumiwa.我们的目标是,通过对国家、社会和环境的研究,使人们认识到国家的重要性,以及国家在社会发展中的作用。该计划的目标是:通过在全国范围内开展的各种活动,提高人们的意识和能力,从而提高他们的生活质量。在库昌加亚和库巴代里,在 Kibukusu 和 Kiswahili 的基础上发展斯瓦希里语。我们的目标是,在我们的国家,在我们的民族,在我们的社会,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中,在我们的社会中。
{"title":"Nafasi ya Ikolojia ya Lugha katika Mtagusano wa Kiswahili na Kibukusu katika Mawanda ya Dini katika Kaunti ya Bungoma","authors":"Martin Barasa Mulwale, F. Indede, B. Ambuyo","doi":"10.37284/jammk.6.1.1147","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1147","url":null,"abstract":"Nyanja mbalimbali katika jamii hutegemea matumizi ya lugha. Hali hii huzua changamoto ya namna ya kutumia raslimali za lugha zinazopatikana katika jamiilugha fulani. Juhudi ya kufahamu na kutagusana na ulimwengu huhitaji matumizi ya kiisimu ya kipekee. Katika muktadha wa kidini kuna changamoto ya asili ya maneno, mamlaka, utambulisho na ushirikiano wa wahusika. Aidha, miktadha mbalimbali ya kidini hutumia lugha kutimiza mahitaji yake maalum. Lugha hutenda matendo, huomba maombi ya kukemea, husimulia hali za kijamii na hata huonekana kudhibiti matendo ya Maulana. Ni kwa misingi hii ndipo kazi hii inajukumika kutalii jinsi lugha ya Kiswahili na Kibukusu zinavyotagusana katika mawanda haya ya dini, hasa Dini ya Musambwa (DYM) ambayo inaaminika kuwa ya kiasili katika jamii hii ya Wabukusu katika Kaunti ya Bungoma. Kazi hii inazingatia misingi ya Spolsky (2004, 2006, 2009) ambaye anajadili kuwa sera ya lugha halisi ya jamii hupatikana kwenye matumizi yake. Anazingatia Mwelekeo wa ikolojia ya lugha uliozinduliwa na Haugen (1972) unaochunguza mwingiliano baina ya lugha na mazingira. Muundo wa kiuchanganuzi ulitumiwa. Kupitia uchunzaji wa kutoshiriki moja kwa moja mtafiti alihudhuria ibada na kunasa mazungumzo yao kwenye kanda ya kunasia sauti. Mazungumzo hayo yalinakiliwa na orodha ya uchunzaji ilitumiwa kubainisha na kueleza namna lugha ya Kibukusu na Kiswahili zilivyotumiwa katika shughuli za kanisa hilo. Hali ya kuchanganya na kubadili msimbo, utohozi na hata matumizi ya Kiswahili kwa Kibukusu haikuweza kuepukika. Utafiti huu unadhihirisha kuwa raslimali za lugha zilizopo katika ikolojia fulani huchagizana katika kukamilisha majukumu ya mawasiliano katika muktadha husika.","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-03-27","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"127441211","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}
Utafiti huu unaeleza changamoto zinazowakumba wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini katika ushairi wa Kiswahili. Utafiti huu ulilenga kuchunguza changamoto zinazokumba wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini katika ushairi wa Kiswahili katika shule ya upili. Nadharia ya Uchanganuzi Makosa ilielekeza utafiti huu. Utafiti huu ulifanywa katika shule ya upili ya Fanaka (jina la msimbo) katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, Kaskazini Magharibi mwa Kenya. Data ilikusanywa kupitia mahojiano, uchunzaji na uchanganuzi wa matini. Matokeo ya utafiti huu yalibaini kuwa wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanakabiliwa na changamoto ya ugumu wa kujibu maswali ya ushairi. Changamoto ya ugumu wa ushairi kwa wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini imetokana na mtazamo hasi kuwa ushairi ni mgumu, ukosefu wa miongozo ya ushairi, ukosefu wa vitabu teule vya ushairi, na walimu kutotumia mbinu na nyenzo mwafaka za kufundisha ushairi. Utafiti umetoa mapendekezo ya jinsi ya kuboresha ufundishaji wa ushairi katika shule za upili nchini Kenya. Aidha, utafiti huu unatoa mchango kwa ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili kwa wanafunzi wa kigeni wanaojifunza Kiswahili
{"title":"Changamoto Zinazowakabili Wanafunzi Wakimbizi wa Sudan Kusini katika Ushairi wa Kiswahili","authors":"E. E. Lokidor","doi":"10.37284/jammk.6.1.1106","DOIUrl":"https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1106","url":null,"abstract":"Utafiti huu unaeleza changamoto zinazowakumba wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini katika ushairi wa Kiswahili. Utafiti huu ulilenga kuchunguza changamoto zinazokumba wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini katika ushairi wa Kiswahili katika shule ya upili. Nadharia ya Uchanganuzi Makosa ilielekeza utafiti huu. Utafiti huu ulifanywa katika shule ya upili ya Fanaka (jina la msimbo) katika kambi ya wakimbizi ya Kakuma, Kaskazini Magharibi mwa Kenya. Data ilikusanywa kupitia mahojiano, uchunzaji na uchanganuzi wa matini. Matokeo ya utafiti huu yalibaini kuwa wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanakabiliwa na changamoto ya ugumu wa kujibu maswali ya ushairi. Changamoto ya ugumu wa ushairi kwa wanafunzi wakimbizi kutoka Sudan Kusini imetokana na mtazamo hasi kuwa ushairi ni mgumu, ukosefu wa miongozo ya ushairi, ukosefu wa vitabu teule vya ushairi, na walimu kutotumia mbinu na nyenzo mwafaka za kufundisha ushairi. Utafiti umetoa mapendekezo ya jinsi ya kuboresha ufundishaji wa ushairi katika shule za upili nchini Kenya. Aidha, utafiti huu unatoa mchango kwa ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi wa Kiswahili kwa wanafunzi wa kigeni wanaojifunza Kiswahili","PeriodicalId":112928,"journal":{"name":"East African Journal of Swahili Studies","volume":"27 1 1","pages":"0"},"PeriodicalIF":0.0,"publicationDate":"2023-02-23","publicationTypes":"Journal Article","fieldsOfStudy":null,"isOpenAccess":false,"openAccessPdf":"","citationCount":null,"resultStr":null,"platform":"Semanticscholar","paperid":"116789341","PeriodicalName":null,"FirstCategoryId":null,"ListUrlMain":null,"RegionNum":0,"RegionCategory":"","ArticlePicture":[],"TitleCN":null,"AbstractTextCN":null,"PMCID":"","EPubDate":null,"PubModel":null,"JCR":null,"JCRName":null,"Score":null,"Total":0}